hizi

Hizi Koyke (1902 – September 1991), born Koike Hisako, was a Japanese singer based in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hoteli na Migahawa ya siku hizi imekaa kimchongo sana yaani hawataki kuandika menyu kabisa!

    Kwanza enzi hizo tulizoea jina moja tu la hoteli. Hili neno mgahawa lilikuja kama jipya/geni hivi na tukazoea taratibu kwahiyo hapa nitatumia neno mgahawa au hoteli kumaanisha kitu kimoja. Sizungumzii makitu makubwa makubwa hapa nazungumzia vimigahawa vya kawaida vinavyopatikana uswahilini...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi habari kwamba Tundu Lissu akiwa Mwenyekiti wa chadema atafukuza viongozi wote wa chama makao makuu na mikoani zina ukweli?

    Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe. Hizi habari ni za kweli? Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zinazolipa ila sio rafiki sana kwa mfanyabiashara anayeanza kujitafuta.

    Watu wengi tumekuwa tukipeana ushauri wa biashara zinazolipa hasa kwa wale vijana wadogo wanaoanza pilika baada ya kutoka masomoni. Nimekumbuka biashara kadhaa nzuri ila sio rafiki kwa anayeanza biashara ambaye bado mtaji wake ni mdogo. Haya ni maoni yangu ila sio sheria. 1. Biashara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Maarifa ya zama hizi

    Sijakulia miaka ya 90, ila ukweli zama hizi watu wana information nyingi bila maarifa... Zamani unakutana mtu katoka chuo, kweli yuko confident na kile amesoma, ila siku hizi hadi form4 leaver hatofautiani na mwanachuo kabisa. Je nini tatizo? Kwa experience watu wanamaliza chuo bila...
  5. JamiiForums Tanzania Hizi ndo Sababu za kiroho kwanini Beatrice Mwaipaja hatofanikiwa na ataendelea kuwa chini zaidi

    Habari wakuu . Kwanza pole Sana Beatrice Mwaipaja na pole Sana Martha Mwaipaja . Naanza hivi Martha Mwaipaja , she was no body hakuwa chochote na ameishi maisha ya kawaida Sana muda mrefu . Ila ameanza kufanikiwa baada ya yeye kuanza kupenda mafanikio ya wenzake Kama Diamond n.k Na kuujua...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Vijana wa siku hizi acheni mambo haya yanawamaliza

    Vijana wa siku hizi acheni mambo mengi ya kijinga ambayo ni pamoja na: 1.Kubeti 2. Energy drinks 3. Pombe 4. Club life 5. Too much time on social media 6. Ushabiki wa mpira wa miguu uliopitiliza na 7. Uwolowolo Mmekuwa rojorojo kama mkate kwenye chai. Watu wanapata shida kutambua kijana wa kike...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi maski za utumishi ukizicheki utajua kabisa tu kuna mtu kapigwa

    :D:D
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wanadai hizi ndiyo sababu za Tsh kuimarika dhidi ya Dola

    Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola. 1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola kununua Tsh ili waweze kulipa ada mbalimbali. Zamani watalii walikuwa wanalipa moja kwa moja kwa dola...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hayawihayawi hatimaye yamekuwa: Mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa

    Hayawihayawi hatimaye yamekuwa, mliokuwa mnasubiri Ajira za Ualimu nafasi zimetangazwa. Kazi hizo hapo chini zimeambatishwa
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za kukopeshana online credit companies bado hazijafungwa zote zipo zimebaki na zinasumbua binadamu

    Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
  11. G

    JamiiForums Tanzania Biashara ni kama mpira hata Messi unahitaji pasi, familia / ndugu / ukoo wakiungana hufanikiwa zaidi kuliko jeshi la mtu moja

    Sio lazima wanafamilia / ndugu / wana ukoo wote wawe wamekusanyika sehemu moja, No !! Inaweza kuwa Mzazi, Dada, Kaka, Last born, Baba mkubwa na mtoto wake kila mtu ana biashara yake ila kuna baadhi ya mambo wanafanya na kufaidika pamoja 1. Ununuzi kwa Wingi Kundi la Familia / Ndugu / Ukoo: Kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Terms and conditions za UTT AMIS naziona kama kandamizi, msaada kwa anae elewa zaidi anifafanulie

    Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS. Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Siku hizi kuna uchawi ambao unafanya mwanaume asiweze pata mwanamke?

    Habarini, Kuna issue moja nimeona among most men, comment ya Daniel mwasi na tit 4 tat wa JF, imefanya niandike huu uzi. Mwanaume unakuwa kimuonekano huna kasoro yoyote, pesa unayo, ila hutapata mwanamke hata mmoja wa kukuvulia nguo, labda ununue wadada wanaojiuza barabarani. Cha ajabu...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kama umeoa mke mwenye sifa hizi, fukuza kabla mambo hayajaharibika sana

    Kama umeona mwenye hulka/tabia mojawapo kati ya hizi, basi mkeo ni kahaba, na anayafanya haya kuvutia wanaume wengine. Fukuza kabla mambo hayajakuharibikia:- 1. Anabandika kope, nyusi, kucha na kuvaa mawigi. Unadhani anambandikia nani? 2. Anavaa nguo za kubana ama zinazoonesha maungo ama nguo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu 5 zitakazopelekea rais Samia kuukosa urais 2025 hizi hapa…

    1. Mkataba wa DP World. 2. Kuhamisha wamasai wa Ngorongoro. 3. Utekaji na mauaji. 4. Kukandamiza demokrasia ndani na nje ya chama. 5. Migawanyiko ndani ya ccm. Hivi sasa ccm siyo moja tena.
  17. JamiiForums Tanzania Tigo na Vodacom achaneni na tabia hizi or otherwise mtoe posho kwa wateja wenu

    Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha wanakosa hoja basi wanaanza kuuliza maswali kibao yasiyo na kichwa. Eti mteja anaulizwa kama tatizo hilo...
  18. JamiiForums Tanzania Hesabu za Yanga kwenda robo fainali ni hizi hapa, nje ya hapo hatoboi

    Yanga kabakiza mechi 4. Anatakiwa kushinda mechi 2 za nyumbani. Anatakiwa kushinda mechi 1 ugenini. Anatakiwa kupata sare mechi 1. Akiwa na point 10 anaenda robo fainali. Matokeo ya jana sio mwisho wa safari ya Yanga kwenda robo. Pia leo aombee sana sare ya Mazembe Vs Al hilal.
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  20. JamiiForums Tanzania Hivi hizi Pete za Ndoa, hazivuliwagi?

    Morning, Natumai tuko salama wote wanajamvi. Nina kitu naomba kueleweshwa hivi, hizi pete za uchumba na ndoa ukishavalishwa ndio unatakiwa kuvaa kila siku? Yaani unalala nazo? Unaenda nazo kuoga? Unaenda nazo kupika, kufua, kuosha vyombo? Mpaka chooni? Mfano mtu unajisikia wiki hii kupumzika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…