historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Historia mbadala: Hivi ingekuwaje kama UKAWA wangeshinda uchaguzi mkuu wa 2015

    Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa na ushindani sana mgombea wa CCM alipata kura milioni 6.8 na ule wa ukawa alipata milioni 6. Hivi vipi kama kwenye ule uchaguzi UKAWA wangeshinda urais na kupata majimbo mengi zaidi leo Tanzania ingekuwaje Kwenye nyanja za 1. Miundombinu 2. Demokrasia 3...
  2. Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

    Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania. Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
  3. Natamani kujua historia ya hii kwaya ya Amkeni fukeni

    Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣. In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
  4. K

    Kumbukumbu za Zilipendwa: Historia, Maudhui na Ujanja wa Kisiasa Nyuma ya Wimbo "Nakei Nairobi" (1984)

    Habari za muda huu Wana JamiiForums! Leo katika jukwaa letu, nawaletea kumbukumbu safi kabisa ya Zilipendwa, ikiwa ni muendelezo wa makala zetu za kiweledi zinazoangazia nyimbo za zamani zilizoacha alama kubwa barani Afrika. Kwa vijana wa sasa na wahenga wenzangu waliobahatika kuishi zama za...
  5. Kuna namna yoyote JPM anaweza kusamehewa na historia kwa kufuta upinzani wa kweli Tanzania?

    Nimepanda SGR kutoka Dar kwenda Morogoro nimefurahia usafiri wa starehe wa bei nafuu ila kila nikikumbuka Jiwe ndiye aliua upinzani bungeni akatuachia matutusa tu bungeni na kuligeuza bunge kuwa jumuiya mojawapo tu ya chama tawala au tawi la serikali kuu nashindwa kumsamehe kabisa. Hivi...
  6. Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anateyeuliwa kushika nafasi fulani, bila kumfahamu, historia yake, ni HATARI

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
  7. K

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake, Kabudi, Chenge, Jadi Chade

    Historia Viongozi hasara Tanzania: Kikwete na ndugu zake, Samia na ndugu zake hawa ni vilaza Kabudi, Chenge, Jadi Chade hawa wana akili lakini matumbo yamewafikisha hapo
  8. R

    Ansbert Nguro: Hakuna wa kuifuta historia ya Mbowe CHADEMA

    Mwandishi mkongwe wa habari nchini Tanzania, Ansbert Ngurumo, amesema Freeman Aikaeli Mbowe amekuwa akikabiliwa na kampeni ya kumchafua inayotoka hata ndani ya chama alichokijenga na kukiongoza kwa zaidi ya miongo mitatu. Ngurumo amesema ukosoaji kwa mwanasiasa ni jambo la kawaida, lakini kile...
  9. COP12 Dar Es Salaam: Tanzania Yaweka Historia

    Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
  10. Mpiga picha Bevin Thipa Msowoya alivyohifadhi historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika

    Picha ya kwanza ni Bwana Bevin Thipa Msowoya mpiga picha bingwa na maarufu akiwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Msowoya alikuwa na studio yake Magomeni ikijulikana kama Africa Photo Center. Picha hizo hapo juu ni picha alizopiga katika tawi maarufu la TANU aliloanzisha Ali Msham nyumbani...
  11. Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
  12. Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  13. Diamond Platnumz Aweka Historia Zambia, Amkosha Mwanamuziki Ayra Starr wa Nigeria

    Mwanamuziki nguli wa muziki wa Afro-pop na Bongo Fleva kutoka Tanzania, Diamond Platnumz (Chibu Dangote), ameweka historia nyingine kubwa kwenye sekta ya burudani nchini Zambia baada ya kutoa shoo ya kukata na shoka iliyowashangaza maelfu ya mashabiki waliojitokeza katika jiji la Lusaka. Shoo...
  14. Haitawezekana Kuifuta Historia ya Uhuru wa Tanganyika kwa Kupenyeza Historia Mbadala

    https://youtu.be/W9d6zalruoU?si=sbNzB0Ty7a_EjWri
  15. Bifu la Tabora Boys na Mirambo lisivyofutika kwenye historia

    Ukilitaja jina Tabora Boys, kwa mtu aliyewahi kusoma Tanzania ya zamani, huwezi kuwa umetaja shule kama shule nyingine, umetaja historia, umetaja nidhamu, umetaja viongozi, umetaja akili za darasani, michezo, gwaride na zile hadithi ambazo kila kizazi cha wanafunzi huwa nacho, huku baadhi...
  16. Siasa za kimtandao (Oligarchy/ Plutocracy): Historia inayojirudia Tanzania

    Kulingana na Jeffrey Winter (2011) katika kitabu chake cha siasa za kimtandao(Oligarchy) anasema " Mfumo wa siasa za kimtandao unajengwa na mtandao wa wasomi wa kiuchumi wanaotumia ukwasi wao kulinda mali zao na kushawishi maamuzi ya Serikali. Maelezo hayo yaliyotolewa na Jeffrey yanatupa...
  17. Historia na safari ya utumishi wa Generali Jacob John Mkunda

    Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya ya Mbulu, Mkoa wa Manyara, Mwaka 1979 hadi 1985. Akajiunga na Elimu ya Sekondari katika Shule ya...
  18. HISTORIA YA KATIBA YA TANZANIA

  19. Tamthilia ya spartacus: Vita, Usaliti & Ukweli wa Historia

    Kama kuna tamthilia iliyowahi kuchanganya ukatili wa vita, usaliti wa kisiasa, na maonyesho ya hatari ya arena za Rumi, basi ni Spartacus. Simulizi hii inaelezea historia ya kweli ya mtumwa na gladiator kutoka Thrace aliyetekwa na kuuzwa ili kuwaburudisha matajiri wa Dola ya Warumi mnamo miaka...
  20. Priscilla Kashakuwa Mswahili Wabongo Mtakoma; Aweka Historia Usiku wa Hina wa Zuchu, Akicheza Kibao Kata

    Mrembo Priscilla, ambaye pia ni mke wa mwanamuziki maarufu nchini Juma Jux, ameonekana akicheza Kibao Kata. Tukio hilo lilijiri kwenye sherehe ya Usiku wa Hina iliyoandaliwa na msanii Zuchu, sherehe iliyokusanya safu ndefu ya wasanii, staa na watu maarufu wa tasnia ya burudani nchini Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…