historia

Canal História, currently branded as História, is a Portuguese basic cable and satellite television channel that features history documentaries most of which are produced by History USA and Portuguese and Spanish historic productions, owned by the joint venture known as The History Channel Iberia, between A&E Networks and AMC Networks International Iberia. More recently, it started broadcast some reality television series. Initially it was a single Iberian channel founded by Multicanal (currently AMC Networks International Iberia) with feeds in Portuguese and Spanish. It was created in March 1999 and it split into different channels on 21 March 2012.Some Portuguese historic productions airing in Canal História include Foz Côa about Coa Valley Prehistoric Rock Art, O Tratado de Tordesilhas about the Treaty of Tordesillas, Marquês de Pombal concerning Marquis of Pombal, Portugal e a NATO (Portugal and NATO) and A História Do Azulejo (History of Azulejo).

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Ni Ipi Historia ya Kweli ya TANU?

    https://youtu.be/Q7HFK4UMSBI?si=GDh_byVtt_TsG1sd
  2. Hismastersvoice

    TBC Safari Channel historia ya Iyunga Sekondari inadosari

    Mimi nikiwa mmoja wa wanafunzi tulioingia shule hiyo miaka ya sitini baada ya serikali kuichukua na kuifanya sekondari ya kimataifa, niliona dosari kwenye historia inayohusu shule hiyo. Dosari mojawapo ni kuwa shule hiyo mwanzo ilikuwa ni kwa ajili ya watoto wa machifu! Hapana, baada ya...
  3. Yoda

    Miujiza ambayo kamwe hutakaa uisikie katika dini.

    Unaweza kuwa unadai umeona au umesikia miujiza mbalimbali kwa mitume na manabii wa kisasa pamoja na wale wa zamani katika vitabu ila kuna miujiza hutakaa kuisikia au kuiona ambayo ni pamoja na; 1. Mkono uliokatika kuota 2. Miguu uliokatika kuota 3. Mtu mwenye mapengo kurejeshewa meno 4...
  4. Registered_jf

    Kifo cha Herode mwaka AD 44

    Simulizi la kifo chake kutoka kwenye Biblia na kutoka kwa mwanahistoria Josephus. 1) Matendo 12 inatusimulia kuwa Herode Agripa aliwatesa wakristo, alivyoona wayahudi wamefurahia hilo akaanza kumuwinda kumuua Petro. Petro akakamatwa akafungwa gerezani akisubiri kuuawa siku ya Pasaka. Usiku...
  5. K

    Hakuna wakati kwenye historia yetu Watanzania wamekosa furaha kama 2025-2026

    Hakuna wakati kwenye historia yetu Watanzania wamekosa furaha kama 2025-2026. Sikumbuki ni wakati gani kila ukiongea na Mtanzania yeyote ni malalamishi tu kuanzia mwananchi wa kawaida mpaka viongozi
  6. R

    Hekaya ya Adam na Eva/Hawa katika Biblia yetu. Si historia halisi ila ina mafundisho

    https://youtu.be/eBNVCTK5oxE?si=1y2Io17Ykwq-lYC1
  7. ndege JOHN

    vita, mauaji na machafuko si kitu kipya duniani, historia inatufundisha nini?

    Nashangaa kuona watu wanashangaa kana kwamba vurugu za kisiasa, mauaji na matumizi ya nguvu dhidi ya raia ni vitu ambavyo havijawahi kutokea duniani. Hebu tuangalie historia kidogo. Kuanzia falme za kale za China, wafalme wa Ulaya, vita vya kikoloni, mapinduzi, vita vya dunia hadi migogoro ya...
  8. ndege JOHN

    Simulizi za kwenye biblia sio historia Kama unavyofikiria ni codes zinazofichua Hali zetu za kiroho

    umewahi kufikiria kwamba simulizi za Adamu na Hawa, nyoka wa Edeni, Kaini na Abeli, Sodoma na Gomora, Ayubu na hata majaribu ya Yesu yanaweza kuwa na maana kubwa zaidi ya namna ambavyo tumekuwa tukiyasoma? Vipi kama baadhi ya simulizi hizo si historia ya watu waliopita tu, bali ni ujumbe...
  9. Mohamed Said

    Picha Katika Historia ya Maisha ya Ali Mahfoudh

    https://youtu.be/3RsB4DbLjDk?si=WmeXPmVt8P22x5Rt[/UR HISTORIA YA ZANZIBAR NA UKOMBOZI WA AFRIKA: HAZINA YA PICHA ZA KAMANDA ALI MAHFOUDH NA MWALIMU NYERERE HOOK: Picha hizi adimu zinafungua ukurasa muhimu wa historia ya Zanzibar, Tanganyika na harakati za ukombozi wa Kusini mwa Afrika. Kutoka...
  10. R

    Tujikumbushe historia kidogo

    Mwaandaji. SOKA, HJ, 0718478250. Mahakama kuu ya Gambia imemuhukumu adhabu ya kifo mkuu wa idara ya usalama wa taifa wa zamani wa Gambi pamoja na wakurugenzi wengine wanne wa idara ya usalama wa taifa. Wote watano wamehukimwa kunyongwa hadi kufa kwa kumteka kiongozi wa chama Cha upinzani kwa...
  11. M

    Kungekuwa na chama chenye mizizi Mbeya, Ccm ingechomolewa ! Mbeya ni moyo wa harakati, historia ya kupambania haki na hawayumbi kirahisi kwa asali.

    Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
  12. Mtu Asiyejulikana

    Walau tungepata Mtaalamu wa Historia humu ndani

    Nimewasoma wachache kama akina Mshana Jr Pascal Mayalla etc. kuna mambo walijaribu kuyaelezea kwa kina nawapongeza. Kuna wakati nawaza kama tungepata mtaalamu wa Historia humu awe anatupatia madini ya ukweli ya mambo mbalimbali ya nchi, africa na dunia. Kwa miaka mingi tumekosa mtu wa namna...
  13. Mohamed Said

    Kilwa Road na Historia ya TANU na Said Chamwenyewe

    https://youtu.be/xLi-5ql_uLs?si=yoeLbqHDhobmNe6T
  14. R

    Historia ya mwanafalsa Karl Max

    https://youtu.be/Kh5IstVvrMI?si=DMv3cwoo5KARZgPS
  15. Mohamed Said

    Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Yenye Historia Kubwa ya Mwalimu Nyerere Imevunjwa

    https://youtu.be/x2tRI9JFItw?si=TPN2hXKMkti1RaR7
  16. Manyanza

    Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

    Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto. Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
  17. M

    Historia mbadala: Hivi ingekuwaje kama UKAWA wangeshinda uchaguzi mkuu wa 2015

    Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa na ushindani sana mgombea wa CCM alipata kura milioni 6.8 na ule wa ukawa alipata milioni 6. Hivi vipi kama kwenye ule uchaguzi UKAWA wangeshinda urais na kupata majimbo mengi zaidi leo Tanzania ingekuwaje Kwenye nyanja za 1. Miundombinu 2. Demokrasia 3...
  18. Zack Abdul

    Historia ya Mabalozi wa Marekani Tanzania

    Balozi William Trachman amekabidhi rasmi hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, na hivyo kuanza rasmi majukumu yake kama Balozi wa 21 wa Marekani nchini Tanzania. Katika kipindi cha zaidi ya miaka 60 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
  19. mcTobby

    Natamani kujua historia ya hii kwaya ya Amkeni fukeni

    Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣. In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
  20. K

    Kumbukumbu za Zilipendwa: Historia, Maudhui na Ujanja wa Kisiasa Nyuma ya Wimbo "Nakei Nairobi" (1984)

    Habari za muda huu Wana JamiiForums! Leo katika jukwaa letu, nawaletea kumbukumbu safi kabisa ya Zilipendwa, ikiwa ni muendelezo wa makala zetu za kiweledi zinazoangazia nyimbo za zamani zilizoacha alama kubwa barani Afrika. Kwa vijana wa sasa na wahenga wenzangu waliobahatika kuishi zama za...
Back
Top Bottom