hisa

  1. TIB RASILIMALI

    FAHAMU FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA SOKO LA HISA

    1. UTANGULIZI Katika dunia ya sasa, watu wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali zao. Miongoni mwa njia zinazoweza kutumika ni kuwekeza katika soko la hisa. Hata hivyo, baadhi ya watu wanapoanza kuwekeza, huwa na matarajio ya kupata faida ndani...
  2. TIB RASILIMALI

    Kwa nini ni muhimu kusoma taarifa za fedha za kampuni kabla ya kuwekeza? Mwongozo kwa wawekezaji wa soko la hisa

    1. UTANGULIZI Uwekezaji katika soko la hisa ni mojawapo ya njia zinazoweza kumwezesha mtu kushiriki katika umiliki wa kampuni na kunufaika na maendeleo ya biashara hiyo. Hata hivyo, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua hisa za kampuni fulani, ni muhimu mwekezaji kuwa na taarifa sahihi kuhusu...
  3. TIB RASILIMALI

    KUELEWA TOFAUTI KATI YA HISA NA HATI FUNGANI (BONDS): MWONGOZO WA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI YA UWEKEZAJI

    1. UTANGULIZI Uwekezaji una nafasi muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali kwa muda mrefu. Hata hivyo, kabla ya kuwekeza, ni muhimu kwa mtu kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana katika soko la mitaji. Miongoni mwa vyombo maarufu vya uwekezaji katika...
  4. O

    Benki ya NCBA Yapata Mmiliki Mpya: Nedbank ya Afrika Kusini Yanunua Asilimia 66 ya Hisa kwa Mabilioni

    Kampuni ya Nedbank Group ya Afrika Kusini imechukua udhibiti wa benki ya NCBA nchini Kenya baada ya kukamilisha ununuzi wa asilimia 66 ya hisa zake, katika makubaliano makubwa yanayotarajiwa kubadilisha mwelekeo wa benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano...
  5. Frank Wanjiru

    Azim Dewji: Wanasimba hawahitaji kujua Hisa wala thamani ya timu yao,wanahitaji furaha ya ushindi tuu.

    “Kwanza niwaambie Wanasimba hawana haja ya hisa sijui wamenyimwa hisa.. Nachoamini Wanasimba hawataki hisa wanataka furaha, ili ushinde unahitaji Wachezaji ndio maana Mwekezaji anawaleta. Hawa Viongozi wengine Machawa tu, unasema timu inauzwa ilikuwa na thamani gani miaka 10 nyuma?” Azim...
  6. TIB RASILIMALI

    Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  7. Jaji Mfawidhi

    Hisa za NMB zinashuka sana:Ushauri

    Leo 27-10-2026 hisa za NMB zimeshuka mpaka 1,870 , je sisi tulionunua kwa Tshs 2100 baada ya kusikiliza influensa tuziuze saa hii kukwepa hasara zaidi?
  8. O

    Wakenya wanaweza kununua Hisa za Dangote kwa kiasi cha Ksh. 490 kupitia NSE

    Wakenya huenda wakapata nafasi ya kuwekeza katika Dangote Petroleum Refinery kupitia Nairobi Securities Exchange (NSE) kwa kutumia Global Depositary Receipts (GDRs), mpango ambao bado unasubiri idhini ya mamlaka husika. Kupitia mpango huo, hisa moja itauzwa kwa takriban Sh49, huku kiwango cha...
  9. Hismastersvoice

    KERO Wenye mabasi ilazimisheni serikali iwauzie hisa kwenye vituo vikuu vya mabasi ya mikoani

    Hivi vituo vikuu vya mabasi ya mikoani uendeshaji wake ni wa siri na wanufaika hawajulikani huku wenye mabasi wakikamuliwa kwenye ushuru. Ili mnufaike na ushuru mnaolipa ni lazima nanyi muwe sehemu ya wenye hivyo vituo kwa kuwa na hisa, mkiwa na hisa mnaweza kutengeneza mazingira mazuri ya...
  10. Swalehe Hamiai

    👉NUNUA HISA/ FURSA YA KUWEKEZAKAMPUNI YA DAGHT DIGITAL MARKET💰

    👉 FURSA YA UWEKEZAJI ●Tunatafuta Mwekezaji/Mshirika wa TZS 3,000,000 Kuingiza Sokoni Platform ya AI (DAGHT DIGITAL MARKET) 👉Heshima kwenu wajumbe na wadau wa biashara na teknolojia hapa JamiiForums. 👉Ulimwengu wa biashara unabadilika kwa kasi sana, na matumizi ya Artificial Intelligence (AI)...
  11. TIB RASILIMALI

    Jinsi ya Kuepuka Makosa ya Kuwekeza kwenye Hisa au Hatifungani

    Habari zenu wakuu, Uwekezaji kwenye hisa au hatifungani (bonds) unaweza kuwa njia nzuri ya kujenga utajiri kwa muda mrefu. Lakini kama ilivyo kwenye uwekezaji mwingine, unaweza kupoteza fedha si kwa sababu uwekezaji ni mbaya, bali kwa sababu ya maamuzi mabaya ya mwekezaji mwenyewe. Katika mada...
  12. Gumasa

    Nahitaji kununua hisa, ninaanzaje?

    Jambo wakuu! Baada ya kusoma maandiko mengi sehemu mbalimbali yanayohusu ununuzi wa HISA,sasa ninajaribu kufikri kwa kina ili niweze kufanya maamuzi. Ninaomba kueleweshwa kwa ufasaha na uaminifu hatua za kufuata,usalama wa fedha,kiwango cha mtaji na mahali pa kuwekeza ili nipate faida. Ahsante!
  13. M

    Niwekeze wapi kati ya hisa au ardhi?

    Siku mmoja tulipa mgeni kutoka wataalamu wa mambo ya uwekezaji akatuma elimu juu y uwekezaji wa hisa, bond nk kwa kweli ilikuwa ni elimu nzuri na niliweza kujifunza kitu. Kitu ambacho nilibaini kila unapoitaji kupata elimu hakikisha unapata elimu kila maeneo ili uweze kujifunza na kupata...
  14. Mkalukungone Mwamba

    FIFA: Hakuna anayeuza soka", Ni mpango wa rais Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa

    Shirikisho la soka duniania FIFA limesema "hakuna anayeuza soka", lakini mpango wa rais wake Gianni Infantino wa kuruhusu wawekezaji kununua hisa katika biashara za mashindano ya FIFA umeibua upinzani mkubwa. - UEFA imetishia kususia Kombe la Dunia ikiwa mpango huo utaidhinishwa, huku Concacaf...
  15. Jaji Mfawidhi

    DSE Soko la Hisa Lavamiwa na matapeliwa wa Kimataifa

    Soko la Hisa Dar es salaam limevamiwa rasmi na matapeli wa Kimataifa. Hawa matapeli wanaweka Page za Insta na Fb na wanataka ufuatw link wakufundisgw namna ya kununua Hisa. Hawa matapeli hakuna hata mmoja mwenye jina la Kitanzania, hakuna namba ya simu wala ofisi zilipo hata kama ni kwenye...
  16. TIB RASILIMALI

    TIB RASILIMALI: Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds) Zinafanyaje Kazi? Mwongozo kwa Wawekezaji Wapya.

    Habari wakuu, Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti zake, faida, hatari zinazoweza kujitokeza, na namna ya kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji. Kupitia...
  17. T

    Kwa wanunuzi wa Hisa kuweni makini na Brokers

    Habari, Kwa mtu mwenye ndoto ya kununua Hisa za makampuni mbali mbali jiepusheni na Tanzania Security Limited(TSL) Kwa sasa huyu broker ameshakuwa broke embu fikiria kama kampuni inaweza kuzima namba za huduma Kwa mteja siku nzima je Hisa zako zitakuwa salama, kama unaweza kuuza Hisa zako...
  18. TIB RASILIMALI

    Ratiba ya Magawio DSE 2026: NMB, Twiga Cement, DSE, Swissport na Mkombozi Bank

    Unawekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE? Hii hapa ndiyo ratiba ya magawio yanayotarajiwa kulipwa kwa wanahisa wa kampuni zilizoorodheshwa DSE. 24 Juni 2026 • NMB Bank: TZS 610.15 kwa kila hisa 30 Juni 2026 • Twiga Cement: TZS 300 kwa kila hisa • DSE: TZS 69 kwa kila hisa, gawio la...
  19. Room 28

    Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa 20000000/15380=1,300.39 Ningekua na hisa 1300 Kwa ongezeko la leo 300+ =1300+300=1,600...
  20. TIB RASILIMALI

    NMB Yapendekeza Share Split ya 1:10. Fursa Mpya kwa Wawekezaji wa Soko la Hisa Tanzania?

    Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida. Pendekezo hilo...
Back
Top Bottom