hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Goba & Salasala tutakufa kwa magonjwa ya mlipuko kwa huu upuuzi kujaza na kuziba makorongo kwa takataka.

    Habari zenu wakuu. Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile. Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo...
  2. JamiiForums Tanzania Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

    Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa. Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari. Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kweli betting imekuwa janga maana hata pro athletes wameanza kuhusishwa na issue hii

    Kuna addiction flani ukishiingia katika betting inakushikilia na haitakuachia hivi hivi no matter we ni tajiri kiasi gani. Recently wacheza mpira maarufu wameanza kupigwa suspension ndefu kutokana na wao kujihusisha na betting. Mtu anaweza kuchomesha team ili tu apige kibunda. Vijana mtaani...
  4. JamiiForums Tanzania Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  5. JamiiForums Tanzania Tazama video hii ya maajabu kisha niambie ni sayansi gani imetumika hapa

    Hii video ya ajabu nimeiona leo kwenye mtandao wa kijamii wa tik tok yani imekuja yenyewe embu tazama mwenyewe kisha jiulize inawezekanaje au ni huu ni Uchawi nini ndugu zangu.
  6. JamiiForums Tanzania Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote

    Hii ni mojawapo ya filamu za bei ghali zaidi za filamu zisizo na sauti za wakati wote. Video hii ya upigaji picha kutoka kwa Buster Keaton "The General" (1926) iligharimu $42,000 (sawa na $600,000 leo). Kampuni ya uzalishaji iliacha mabaki ya gari-moshi huko Row River, kusini mwa Cottage Grove...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Habari zenu, Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia: "Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni hatari hii kachabalo, sijui wanakuwa wanajisiakiaje ila unaona kabisa wana enjoy

    katika kuchakata kwangu wanawake zaidi ya 70 (si wengi sana) ambao nimewahi wasababisha watoe maji mengi /wamwage ni wanawake 13 tu. wengine walikuwa wana come kawaida ila hawamwagi maji. nliamua kuanza fanya utafiti shida nini kwa wengine. nligundua kuwa 1. vyakula vinachangia sana 2. maumbile...
  9. JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
  10. JamiiForums Tanzania Kama ndoa zenyewe ndiyo hii wakuu aisee naungana na watu wa kataa ndoa,ndoa ni utumwa

    Hawa jamaa wa kataa ndoa wapo sahihi kabisa yaani jamani kwenye ndoa kuna mambo ya hovyo sna aisee asikuambie mtu kabisa kqwnye ndoa kuna mambo ya hovyokupitiliza bora wakati niko single ilikuwa poa sana Nilihisi kwenye ndoa nitapata peace of mind yaaani ndiyo kwanza napata depression na...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Ronaldo huwa Mfalme kila anakokwenda: Ameikamata ligi ya Saudia, angalia hii free kick yake!

    CR7 anaongoza orodha ya wafungaji bora akiwa na magfoli 11 pamoja na kwamba amecheza michezo miwili pungufu kuliko wapinzani wake katika orodha hiyo. Anaongoza pia orodha ya assist akiwa na assist 5 akifungana na wengine watatu hivi. Hii free kick yake ilimwacha kipa akiwa ametulia wakati...
  12. JamiiForums Tanzania 85% ya Wezi / Matapeli wa Mitandaoni ( Tuma kwa Namba hii ) wanatokea / wako Ifakara Mkoani Morogoro

    "Huwa wanakaa katika Nyumba Moja huku Wake zao wakiwa busy kuwapelekea Vyakula. Na baadhi yao ni Wasomi wakubwa sana tu hadi wana Doctorates ( PhD ) zao" Nukuu hii nimeitoa EFM Radio Asubuhi hii baada ya kumsikia Bwana Innocent Mungi Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Habari na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa namna hii sijawahi kuwaelewa wanachokifanya

    Kuna tabia huwa siielewi kutoka kwa watu tunaoamini ni wataalam! Afisa wa polisi anaposimamisha basi na kuhoji abiria mbele ya dereva kwamba "Wanaonaje mwenendo wa dereva" Sijui huwa unatarajia jibu gani jingine zaidi sifa njema kwa dereva! Hata kama lengo ni zuri lakini ukikosea namna ya...
  14. JamiiForums Tanzania Je pesa ndio Mungu wa dunia hii ( is Money the true God of this planet?)

    Je pesa ndio Mungu halisi wa sayari ya dunia? 1. The holy scriptures say YES. MHUBIRI 10:19 " Pesa huleta hajawabu ya kila kitu" ( From a spiritual perspective mwenye MAJAWABU ya kila kitu ni Mungu. Isije kuwa Nabii Suleiman alikuwa anatoa subliminal message kwa dunia kuhusu Mungu halisi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda alishindwa kuisambaratisha CHADEMA kipindi cha Magufuli. Je, awamu hii ana lipi jipya?

    Bashite akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliandamwa na kashfa nyingi za kuteka watu, kuanzia wanasiasa, wana harakati, wafanyabiashara wakubwa na hata wanamuziki. Ubalozi wa Marekani ulimtaja kwamba ni mtu hatari zaidi nchini Tanzania kwa uhai wa wasio na hatia. Wakamuondolea hadhi ya yeye...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio hali halisi ya Uhaba wa Mafuta Kyela, foleni utadhani zile za maduka ya RTC

    Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari. Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
  17. JamiiForums Tanzania Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

    Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu. ====== 'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released...
  18. JamiiForums Tanzania Dawa hii kuna mwenye taarifa zake?

    Mssada wa hii bidhaa
  19. JamiiForums Tanzania Hatukatai elimu ni muhimu ila kuwe na kipimo, Watoto shule za msingi masomo yamekuwa mengi, wakirudi home work, likizo tuition, Hii ni mbaya sana!!

    Mtoto ni kama vile kazaliwa kwajili ya kusoma tu. Tena siku hizi wameongezewa masomo na muda mwingi wapo shulenj, hawa ni watoto wenye umri mdogo kuliko hata sisi tulipokuwa shuleni, kumbuka siku hizi watoto wengi wanaanza la kwanza wana miaka mitano wanamaliza elimu ya msingi darasa la sita...
  20. JamiiForums Tanzania Tunzeni hii: Mechi ya leo kwa Mkapa Simba SC inaenda ama kuongeza 'Gap' kwa alama 6 au 5 kwani kuna watu leo watavurugana na hawatoamini

    Sasa Yusuf Bakhressa ulikuwa wapi Kufuata huo Ushauri uliopewa (na wanaojua Fitna za Soka la Bongo) ili Kuwamaliza hao Wapuuzi Kwako kuwa ni rahisi kama ambavyo inaenda kuwa rahisi leo? Kile mlichokifanya Jana Klabuni Kwenu ndiyo Dawa yao na mmeshawaweza na Kuwamaliza hivyo GENTAMYCINE najua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…