heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. papag

    Heshima ya Shahada yako

    SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI Adeladius Makwega – MBAGALA Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology. Mhadhiri wetu alikuwa Profesa Samwel Mshana, ambaye kwa sasa ni marehemu. Alikuwa mzee mwenye busara na...
  2. K

    Ongezeko la wanawake kukosa heshima kwa waume zao nini kipo nyuma ya haya yote?

    Wakuu natumai mu wazima wa afya njema. Awali ya yote ningependa niwape pole wanaume wenzangu mnaopambana kwaajili ya familia zenu ila mchango wenu unaishia kulipwa 1.Kiburi na kunyimwa unyumba kutoka kwa mwanamke 2.Kuchapiwa 3.Kununiwa na kuchukiwa bila sababu za msingi 4.Mke kuchepuka na...
  3. Eunice selin

    Heshima ni bora kuliko zawadi. Mtu anaweza kukununulia kila kitu, lakini akikudhalilisha hadharani, amekupokonya thamani yako.

    Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
  4. Echolima1

    Yoni Netanyahu apewa Heshima yake huko zenyewe,Uganda!!

    YONI NETANYAHU ALIHESHIMIWA ENTEBBE—MIAKA 50 BAADAE Sanamu ya shaba ya Luteni Kanali Yoni Netanyahu sasa imesimama katika kituo cha zamani cha Uwanja wa Ndege wa Entebbe, ikizinduliwa katika kumbukumbu ya miaka 50 ya Operesheni Entebbe. Yoni aliuawa alipokuwa akiongoza uokoaji wa mateka wa...
  5. secretarybird

    Sometimes tufundundishane tu Kwa njia ngumu ili heshima iwepo, huyu nyangwisi hatanisahau 😎

    Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki, unajifanya kataa ndoa ili kuficha ugumba wako.....hivi wewe unaijua raha ya ndoa?". Aisee! Ile kauli...
  6. Nicolas J Clinton Gabone

    Siasa za maigizo hazifuti damu, heshima hainunuliwi kwa vikao vya ikulu

    SIASA ZA MAIGIZO HAZIFUTI DAMU, HESHIMA HAINUNULIWI KWA VIKAO VYA IKULU Nianze na nukuu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere "Mtu mwenye akili akikuambia jambo la kipumbavu, na wewe ukijua ni la kipumbavu ukamkubalia, anakudharau." Kauli hii ya Mwalimu Nyerere siyo ya kutafakari kwa...
  7. Kipenzi Changu

    Uto mnawavunjia heshima mashabiki wenu

    Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
  8. Jidu La Mabambasi

    Msomi wa Heshima ambaye si Msomi, anapowaweka ndani Wasomi

    PROFESA ASHANGAA SERIKALI YA TANZANIA KUWAKAMATA WAHADHIRI WA VYUO VIKUU! Baada ya serikali ya Tanzania kuwakamata kwa tuhuma za kuchochea maandamano wahadhiri watatu na kuwanyima dhamana, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam enzi za utawala wa Julius Nyerere, Prof. Joseph Mbele amedai kuwa...
  9. Allen Kilewella

    CCM Zanzibar impe heshima yake John Gideon Okello

    Inajulikana kuwa aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964 ni mganda aliyejulikana kwa jina la John Gideon Okello, lakini CCM Zanzibar haitaki kumtambua wala kumpa heshima yake. CCM tunawajua ni wabinafsi lakini hili la kutokumpa heshima yake aliyeongoza mapinduzi ya Zanzibar litawagharimu...
  10. A

    Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  11. Allen Kilewella

    Heshima anayopewa Messi na Argentina star mwingine yupi anapewa?

    Heshima anayopewa Leonel Mess na wachezaji wenzake wa Argentina, ni mchezaji mwingine yupi wa timu ya Taifa duniani anayepewa heshima kama hiyo?
  12. venchwa

    Heshima ikierejeshwa tu naacha kupost ila mkiendelea na kiburi acha niitwe limbukeni na heshima ntachukua kwa lazima

    Wale haters naona wamepungua kwa posts na nyuzi zangu Sikutaka kuwa napost haya! Ila wale wajinga waliosema nakaa kwa shemeji nikasema anhaa hadi wakimbie nyuzi zangu
  13. Funny boe

    Unakuta ni mtu mzima mwenye heshima zake ila hajui kuandika kwa ufasaha, wengi wao wanafanya kusudi AU ni kweli hawajui?

    Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
  14. venchwa

    Nataka premium membership sasa niweke heshima

    Wanipe premium membership Ntaweka heshima sana Nttatoa Pesa kwa kwa wahitaji Ntaweka kila jambo Sawa Heshima Muhimu
  15. Walletking

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  16. Tlaatlaah

    Chadema HQ, kuweni na hofu ya Mungu kwa rambirambi wanazotoa waombolezaji, ni heshima zikafika kamili kwa wafiwa na familia kwa ujumla.

    Katika misururu ya misiba ya viongozi na wanachama wa chadema sehemu mbalimbali nchini, pamekuwepo na tetesi, minong'ono, tuhuma na malalamiko ya mara kwa mara dhidi ya wizi au upigaji wa fedha za rambirambi zinazotolewa na waombolezaji kwaajili ya wafiwa, na badala yake, wakusanyaji michango...
  17. sinza pazuri

    Kwa Heshima Kubwa, Dr. Leakey Tuna Ombi Moja Tu: Anzisha Podcast Yako

    Leo nilipita mitandaoni nikakutana na comment ya mtu mmoja, nadhani ni watoto walioanza kufatilia mpira juzi. Alikuwa anauliza, "Huyu Mzee Leakey ni nani?" Hakuwa anamfahamu. Kilichonivutia si swali lake, bali sababu iliyomfanya atake kumjua. Alisema amevutiwa na uwezo wa Dr. Leakey kuuchambua...
  18. Marry Diana

    Heshima Kwa mwanaume uliyezaa naye ni muhimu

    Shikamoon wakubwa wadogo zangu hamjambo. Suala la Sisi wanawake kumzalia mtu si la bahati mbaya, yaani ukiona tu nimebeba ujauzito ujue kabisa muhusika nimempenda, kubwa zaidi huwa ni Sura na mwonekano wake pamoja na huduma zake. Lakini sasa inapofikia mnakosana,hamuwezi kuishi pamoja,haina...
  19. Zack Abdul

    RAIS SAMIA AIPA NCHI HESHIMA KIUCHUMI

    ✅️Mbunge aeleza alivyoanza kuwatoa Watanzania kuombaomba misaada. ✅️Aeleza alivyoondoa utegemezi Kidogokidogo hadi kubakia asilimia 0.9 ✅️Alianza kupunguza kutoka Shilingi trilioni 1,Shilingi bilioni 925,Sasa bilioni 563.
  20. Natafuta Ajira

    Mwanamke kujitafutia kipato kwa njia ya heshima na halali ni wajibu wa lazima kama mtu mzima

    Siku za nyuma kuna member aliandika kuhusu mabinti wa chuo kikuu ambao wanafanya kazi kwenye mgahawa wa kuuza chakula wakiwa bado wanasoma. Members wengi waliwapongeza lakini ukiangalia cha ajabu haukioni. Kwanza kabisa mabinti wanakosa vipindi. Utaratibu wa wanafunzi kufanya kazi upo hata nchi...
Back
Top Bottom