hela

  1. Kwa nini mabosi au Watu wenye hela nyingi hawajengi kwao? Mkienda kuzika mpaka unaona aibu

    Hii n changamoto sana hapa mjini kwa kwelii.....Najiuliza kwa nini mabosi wengi maofisini wana shida kubwa hawajengi makwao wanapotoka??[sio wote] Na sasa hadi wafanyabiashara wakubwa wanajaza majumba Dar wanazikwa kijijinI. Majuzi kati nilienda kumzika bossi mmoja Tanga aisee nilishtuka. Dar...
  2. Ibada ya kuvunja chungu na kuvuka bonde la hela Nabii Suguye

    @prophet_nicolaus_suguye anakukaribisha kuabudu pamoja nao katika Kanisa la WRC Kivule Matembele ya Pili Jumapili hii ambapo ni Ibada maalum ya KUVUNJA CHUNGU CHA KICHAWI na kupita BONDE LA HELA @prophet_nicolaus_suguye anakuita Jumapili hii March 15, 2025 na anasema “Adui anataka kusitissha...
  3. Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  4. M

    Kiberiti kimelowana. Jibu kama mzazi wa kiswahili ambaye hana hela

    Kuna namna wazazi wa kiswahili au uswahilini huwa na majibu yao ambaye mengine yanachekesha, kukera au walivurugwa zaidi hujibu bila kushirikisha ubongo yaani kutumia lugha nyeusi. Mfano ukijiweka kwenye mazingira ya mzazi wa Kiswahili utajibuje mtoto akisema ameloweka kiberiki akitaka kuwasha...
  5. A

    KERO Wanachuo wa Mwaka wa Kwanza (RADIOLOGY) Chuo cha Nkinga wamekuwa wakilipishwa pesa ambazo washalipa

    Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka Chuo cha Nkinga Health Institutes, Igunga Tabora. Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi walilipishwa hela ya field sh Laki mbili ambayo unaingiza kwenye account ya chuo baadaye hiyo hela...
  6. R

    Trump atishia kuichukua Cuba, anadai nchi haina hela wana hali tete

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
  7. Kununua ardhi halafu huna pesa ya kujenga ni ujinga, Bora hiyo hela ufanyie biashara

    Kuna jamaa alikua ana milion 5 zake akakimbilia kununua kiwanja mwaka jana halafu hela ya kujenga hana Sasa hivi anateseka Hivi Hawa watu wana akili timamu acheni ujinga fanyeni biashara ardhi ni hasara Kwa mtu unaejitafuta huyu jamaa sa sa hivi kachoka njaa imemjaa hela zake katupa ardhini
  8. A

    KERO Hela za kujikimu kwa Ajira Mpya Buchosa – Mwanza ni kilio tangu Mwaka 2025

    Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao na Mwaka huu 2026 tangu January mpaka leo Mchi Wafanyakazi wapya hawajapewa hela zao za kujikimu.
  9. A

    KERO Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi!

    Vodacom wananikata hela ya Uwakala, nikiuliza wanasema kuna miamala batili, lakini hawathibitishi kivipi! Nimekuwa nikikatwa pesa katika kamisheni yangu ya miamala ya uwakala na M-Pesa nikifuatilia naambiwa kuwa nimefanya miamala batili bila maelezo zaidi Mimi ni wakala wa M-pesa, hivi...
  10. Plot inauzwa kwa dharula: Kama uko na hela hata nusu Njoo inbox!

    Sqm400; Kiluvya, 3km from mainroad, msingi ni vyumba viwili+sebule+jiko. Hati ipo. Mil 7, pesa nusu inapokelewa.
  11. Mwanaume tafuta Hela Ndugu waje kukutembelea

    Yangu ni hayo tu, leo sijisikii kuandika gazeti kubwa la Serekali kwa mada za kueleweka km hizi ili nikuchoshe sio vizuri kabisa mimi sihitaji kukuchosha mkuu, nimejisikia kukukumbusha tu. Sasa wewe kaza hilo shingo lako tegesha hilo fuvu usitafute hela halafu uone km kuna ndugu atakutembelea...
  12. Mkipewa hela ya ujenzi jengeni,msiwaibie ndugu zenu

    Kuna hii tabia ya baadhi ya watu wakipewa hela na ndugu,jamaa au wapenzi ,wawasimamie ujenzi sababu wao wapo nje ya mkoa au nchi wao wanakula hela zao na hakuna wanachokifanya
  13. Vijana tutafute hela michepuko yafikishana polisi kisa kugombania mume wa mtu

    Ukisikia ule msemo kua nakupemda wewe na huyo mke wako ndio unatumika hapa sasa Wasanii gach na yammtzy wamefikishana polisi sababu kubwa kugombania bwana ambae ni mume wa mtu mwiz wa kwanza alikua ni gach mwiz akaibia na yamm mwiz wa kwanza akaemda polis kushtaki vijana tutafute hepa...
  14. Tafuta Hela kwajili ya familia yako lakini usijisahau wewe mwenyewe

    Habari wakuu. Dunia tunapita kila kitu kitabakia Binadamu ni mchanga. Tafuta kwajili ya watoto wako na (mke) lakini kumbuka wewe Kwanza maana wewe ndio mtengeneza njia kwahiyo usipofurahia jasho lako basi utakuwa unazingua. Wanaume tunatafuta pesa ili kuona furaha ya watoto wetu lakini vipi...
  15. RC Chalamila: Ukiwa mmbea huwezi kuwa na hela mfukoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amefanya ukaguzi wa barabara ya Mivumoni, wilayani Kinondoni, na kusisitiza umuhimu wa miradi ya miundombinu katika kuchochea maendeleo ya wananchi. Amesema ujenzi wa barabara hutoa fursa za ajira kwa vijana, huongeza thamani ya ardhi na nyumba, pamoja na kuchochea...
  16. Je, ushawahi nyandua mwanamke mpaka akaanza kukuhonga hela?

    kuna ile mwanzo wa mapenzi atukatai mwanamke kachukua vichenji vyako kadhaa Asa je umeshawahi kupindua meza unamnyandua mwanamke mpaka anaanza kukuhonga wewe hela?
  17. Hela inatafutwa kwa nguvu jamani, mmh!

    Natoa pole na pongezi kwa yeyote mwenye kutafuta riziki yake, mchezo sio mdogo🙌🏾, Mungu MKUU na atutangulie!
  18. T

    Arusha: Mtoto ajinyonga na kuacha barua yenye ujumbe huu, 'Mungu mpe bibi hela ya marejesho'

    Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari...
  19. Content creator maarufu duniani kijana wa kisenegali Khaby Lame asaini dili la pesa ndefu zaidi ya Trilioni 2.5 hela yenu ya madafu!!

    Khaby Lame ndiye mtu maarufu zaidi kwenye mtandao wa TikTok akiwa na wafuasi milioni 160. Mapema wiki hii, alisaini mkataba wa dola milioni 975 na kampuni ya Rich Sparkle Holdings, akiipa kampuni hiyo haki za kipekee za chapa yake. Ushirikiano huo pia utaunda nakala ya akili mnemba (AI) ya...
  20. JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…