hela

  1. Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  2. Kaninyima namba ya simu ila mzigo kanipa simuelewi

    Kuna manzi simuelewi sijui ana agenda gani yani nimemsomesha hadi kanipa mzigo nikamuomba namba ya simu kakataa katakata, tukionana ananipa mzigo bila tatizo ila namba yake amegoma kabisa kunipa. Huyu atakua ana shida gani? Kuna mda huwa natamani nimpigie napata shida sana yani hadi nikutane...
  3. F

    Mzee Mwinyi asimulia alivyopotea Ulaya alipokuwa mwanafunzi; mzungu akataa kugusa hela yale isipokuwa kwa ncha ya penseli

    Katika kitabu chake cha 'Mzee Rukhsa, Safari ya Maisha Yangu', Mwinyi anasema siku hiyo alikuwa anarejea Newcastle kutoka London alikokwenda kwa ajili ya likizo ya chuo. Anabainisha kuwa kipindi hicho alikuwa anaishi kwenye nyumba iliyokuwa inamilikiwa na Kanisa la Methodist, ikipokea wageni...
  4. Nimeacha uzinzi, hela ya gesti nawekeza VICOBA!

    Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID. Pesa ya kulipia gesti na pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.
  5. M

    Una hali ngumu, halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela

    Hivi imewahi kukutokea? Una hali ngumu mno...... halafu watu wote waliokuzunguka wanakuona una hela!?!. Na wanakuchukia sababu wanaamini unawanyima au unawafanyia midhaha. Wakati ukweli ni kwamba unapumulia oxygen.
  6. Bado kuna Wanawake wasiopenda hela

    Aisee kuna wadada warembo "pisi kali" ambao hawapendi kabisa hela, kontrare tu popyula bilifu. Mimi binafsi nimeshakutana na wadada kama watatu wanne hivi ambao pamoja na kuwa nao kwenye mahusiano kwa muda mrefu (mwaka na zaidi) hawakuwahi kabisa kuniomba hela na hata pale walipoomba ni kwamba...
  7. Huyu mtoto ana vitu viwili ambavyo hela haiwezi kuvinunua. Furaha na Afya njema

  8. F

    Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  9. Kwanini Marais wastaafu? Ni upendeleo?

    Rais analizwa na maisha ya Rais mstaafu Rais anamnunulia BENZI la dollar 400,000 Rais mstaafu.? Wakati huo mwanae akiwa Rais wa Zanzibar. Rais anahailisha mechi inayofatiliwa na watu zaidi ya million 200+ Afria kwa sababu ya kitabu cha maisha yake. Maana yake unajali MTU kuliko watu. Rais...
  10. S

    Rais Samia, amuru Tundu Lissu alipwe haki zake zote anazodai pamoja na hela ya matibabu

    Mama Samia, kama kweli umedhamiria kurudisha umoja wa kitaifa na kutibu majeraha yaliyotokana na uongozi uliopita, moja ya jambo linalostahili kufanyika ni kwa serikali yako kumlipa Tundu Lissu haki zake zote zikiwemo fedha za matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi. Japo mini si kiongozi...
  11. Hii hela ya Field tunayotoa Watu wa Diploma mbona ni kama wizi

    Wakubwa shikamoo Tuliolingana Mambo Vipi!! Wakuu naomba nipo mwaka wa tatu, nasomea Diploma ya Clinacal Officer, CO Wiki ijayo tunaenda Field Sasa kinachonishangaza ni hizi gharama za Field tulizoambiwa tutoa Hapa chuoni kwetu kuna wanaotoa 170,000, wengine 180,000 mpaka 200,000 Hizo hela...
  12. Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufilisi

    Mkuu, Acha kutoatoa hela kwa wanawake watakufilisi. Hizo hela wekeza kwenye miradi, someshea ndugu wa familia yako yaani kaka na dada zako wa mama mmoja ili kupunguza utegemezi. Kama umeoa hizo hela tumia na mke wako wa ndoa. Kama hutaki sikubembelezi endelea kuhonga.
  13. Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

    The value of Kenya’s avocado exports jumped 93 per cent to Sh4.26 billion in the first quarter of this year compared to the previous period, data by the Horticulture Directorate shows, buoyed by improved demand in global markets. Kenya, which is ranked eighth globally in avocado production...
  14. I

    Hela ya mwanamke ni ngumu

    Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana[emoji16], sijui wakoje.
  15. S

    Hela ya kuandalia futari Wabunge, haiwezi kutumia kununulia madawati ya watoto wetu wanaokaa chini mashuleni?

    Kumekwa na hii tabia ya viongozi wa nchi hii kuwaandalia wabunge futari jambo ambalo naamini linafanyika kwa gharama za serikali huku Serikali hii ikikemea matumizi mabaya ya fedha za Umma. Japo mini si muislamu, najiuliza kuna thawabu yoyote wanapata hawa viongozi kwa kutumia fedha ya umma...
  16. N

    Mijadala haipo kwa ajili wananchi - wanakula hela zetu tu

    Hata siku moja hutasikia kamwe kuna Mpango au Bajeti imepingwa na imesababisha mjadala mzito na wenye manufaa kwa wananchi. Jana usiku nikaamua kufuatilia kilivyokuwa kipindi cha bunge - yaani kupitisha Bajeti - nilicheka sana sana yaani (kwa sauti ya Mtumishi Magembe). Yaani alianza Shangazi -...
  17. C

    Sakata la Harmonize & RayVanny: Ni utoto, sema tatizo wana hela

    YES, kwa vigezo vyovyote, hawa wasanii wawili, Konde Boy na Ran Vany, ni watoto. Sio kiumri pekee, lakini hata kimuziki. Katika umri, ni daraja moja na watoto weeeengi waliopo Bongo Fleva hivi sasa, ambao nyakati zinawabeba kwa sababu ya mitandao ya kijamii na tofauti na kaka zao, wana hawana...
  18. Baada ya kudhulumiwa hela zake, Sven Vandbroek (Kishingo) aishitaki Timu ya Simba FIFA

    Hii ndio Taarifa ya sasa ambayo inasambaa mitandaoni, kwamba kumbe Kuku kishingo anaidai Simba US DOLAR 44,000 ambayo ni zaidi ya hela za madafu mil 100. Ngoja tuone ukweli ni upi.
  19. Kama huna hela usiombe namba

    Aisee ni balaa namba tatu zote nilizoomba nimepiga hesabu nikisema niwape hela walizoniomba ni kama Laki Moja inapukutikaa chap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yaani hakuna cha mke wa mtu wala nini wote wanalia njaaaa mara sijui vikoba sijui naumwaa khaa acha nibaki njia kuu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…