hela

  1. Usitoe tena hela kwa mkeo kwa ajili ya salon

    Mwanamke wa kiafrika anayenyoa nywele au kutokusuka huwa analeta baraka ndani ya nyumba. Nywele fupi za mwanamke huwa zina baraka kubwa Sana kwake na mumewe.
  2. Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  3. Uzuri na hela

    Wasalaam wana JF Nilikua na intoxicate myself nahisi kama kuna uhusiano kati ya uzuri na hela. Niko sehemu very poshy iko na watoto wazuri sana nadhani ata mbinguni hakutakua na watu wabaya. Kwani waislam wanasemaje mabikira 7 si ni pisi kali?
  4. Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

    Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli. Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
  5. M

    Makarani wa Sensa si mmepewa hela ya kula? Kwanini mida ya saa 7 hadi Saa 9 mnapenda kung'ang'ania katika nyumba moja tu?

    Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu. Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
  6. M

    Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

    Naam habarini wakulungwa mabaharia. Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona 1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro. Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo...
  7. Z

    Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  8. Walienda Egypt kupoteza hela na muda

    Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu. Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda ambae amekosea na kuzingua tokea kipindi cha kwanza, unamuanzisha Kyombo, kweli jamani unamuacha...
  9. Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?

    Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha? Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
  10. NBS acheni dhuluma, walipeni Makarani hela zao

    Kwema Wakuu, Semina Kwa Makarani wa Sensa imeanza Jana. Makarani wameshaanza mafunzo, na mdogo wangu ni mmoja wao akiwa anafanyia Mafunzo yake chuo cha Ustawi wa Jamii. Sasa toka jana wanapigwa kalenda juu ya fedha zao za Mafunzo, Chakula na za Kujikimu. Hawajalipwa za Jana na za Leo pia...
  11. APHFTA lipeni watu hela zao.

    Association of Private Health Facilities in Tanzania (APHFTA) lipeni watu waliokuwa wanahudumu kwenye Mradi wenu wa "Tohara salama". Kama hamna hela za kuwalipa waambieni.
  12. S

    Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
  13. M

    Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

    Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule. Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani. Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati...
  14. Wanapiga tena hela ya umma eti kutafuta vazi la Taifa

    Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu? Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
  15. M

    Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  16. Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

    Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
  17. K

    Sitasahau siku nilipootea begi la hela Bank na kushindwa kuzitumia

    W w w
  18. Kwanini IMF itupe sisi hela ya mkopo Sasa?

    Wazungu mitaala Yao yote Inafundisha elimu kuhusu critical thinking, problem solving na assertiveness. Elimu hii inawapatia wazungu wote uwezo wa kujihoji na kujiuliza wenyewe maswali kama why me (kwanini Mimi, kwanini sisi na kwanini wao?), Elimu hii inawawezesha pia kumwambia mtu NO au YES...
  19. Kwa Tanzania mil 700 ni hela ndogo sana

    Yaaani dalali anaweza kuongeza au kupunguza milioni 700 Kama sio kitu, yaani utafikiri kaongeza jero kumbe ni milioni 700 kabisa.
  20. F

    NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

    Kweli dunia haipo fair Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…