Jana ktk hotuba yake ya kuwaombeleza October 29 alitoa mfano wa mateso waliopata Isreal kutoka kwa wazunguu.
Mashallah kwa bahati hakusema kwamba yametoka kwa waarabu , kasema kwa wazungu. Angalikuwa Lema ashawataja waarabu, lkn Heche kawataja wazungu
Alichokosea aliposema licha ya mateso hayo...