Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo
Shuleni
1. Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama huwapendi watani zangu
Fact.
.Best student udsm 2005 - Benson Kagashe
. Best student 2009 Mr Denice...