haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

    Ndugu zangu wadanganyika, Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi. Ukweli ni kwamba...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwenye maisha: Kupata ni majaliwa haimaanishi wewe ni bora kuliko mwingine

    Hii ni experience ya maisha YANGU. Tahadhari nisinukuliwe vibaya kwa kupingana mawazo. Imani, utamaduni uliyojengeka katika nchi yetu. Kupata ni majaliwa haimanishi wewe bora kuliko wengine. Usimdharau mtu. Leo unayemuona hafai kesho anafaa. Amini kwenye UWEZO wako, mchakato kutoka hatua moja...
  3. JamiiForums Tanzania Haya ni makosa makubwa mawili yanayofanywa na wajasiriamali wengi na kuishia kujuta.

    Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa wanaojiita Motivational speakers na life coaches. 1. Kudhani wanaijua biashara na kutojifunza zaidi Huu...
  4. JamiiForums Tanzania Matukio kama haya ya Kimafia yenye kutumia Akili Kubwa ndiyo yananifanya nizidi tu KuwapendaWaisraeli 24/7

    Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha Kifo cha Komandoo mahiri aitwae Yurin ( Yuri ) Netanyahu ambaye alikuwa ni Kaka mkubwa wa Waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mashirika ya kikristo yanayotoa huduma mbali mbali kwa jamii zote duniani

    Kumbuka mashirika ya kikristo yapo kwa ajili ya kuwahudumia watu wote bila kujali Imani zao. na mashirika haya yana ajiri watu bila kuangalia misingi ya Imani yako licha ni mashirika ya kikristo. yapo mashirika ambayo bado yanaendeshwa na kanisa na yapo mengine yanajiendesha yenyewe ila mali...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

    kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria. Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  9. JamiiForums Tanzania Tunataka kuwa Taifa takatifu? Bila sexual workers? Tufanye haya

    Ripoti zote za mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) zifanyiwekazi bila uonevu wala kuoneana haya Sauti ya umma isikilizwe na kuheshimiwa Polisi waishi kwenye viapo vyao wasivuke mipaka ya PGO Utawala Bora iwe ni mandatory siyo option Kuku wote watagie bandani (wenye akili wamenielewa) Baada ya...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo matatu ambayo pande zote mbili zinazovutana hazitaki ukweli ujulikane. Je, ni kwanini?

    Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu. 1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda . 2. Ukweli kuhusu kupotea Ben saanane na kushambuliwa Tundu lissu , si CCM wala CHADEMA ambae anatumia nguvu kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

    Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi la wanadamu. Siku hizi kumeshamiri wimbi [si geni kihistoria] la kupinga Uwepo wa Familia ya Baba...
  12. JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

    Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo. Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka. Kilichotakiwa ni kuwa awe hakuwahi kucheza mechi za mashindano ya timu za taifa lingine. Mwaka 2021 FIFA...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

    Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini. Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.? Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano...
  14. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

    Wataalam, Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania. Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa. Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kusoma Certificate in Nursing au kuchaguliwa advance?

    CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
  16. JamiiForums Tanzania Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...? Civics D History D Geography C Kiswahili C English D Physics F Chemistry D Biology C Mathematics F Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mazao ya falsafa ya 4R

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuruhusu maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumatano Januari 24.2024 ni ishara ya utekelezaji wa falsafa ya 'R4' iliyoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo inatajwa kuimarisha Demokrasia na umoja...
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mtangazaji wa TBC Taifa kutamka haya Hewani?

    "Tafadhali ewe Mtanzania fanya kila uwezalo na kama una Babu yako Mganga wa Kienyeji mwambie asaidie kwa Ndumba ili Taifa Stars iifunge Zambia na hata tulicheza na Congo DR tushinde pia" Kuna Mtu miaka ya nyuma aliwahi kuniambia kuwa kama kuna Media ambayo Watumishi wake Wanarogana / Wanapigana...
  19. JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

    Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…