haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

    Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo. Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka. Kilichotakiwa ni kuwa awe hakuwahi kucheza mechi za mashindano ya timu za taifa lingine. Mwaka 2021 FIFA...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya msafara wa Paul Makonda

    Tumekuwa tukiona Mhe. Paul Makonda akiingia na Toroli, Bulldozer, Baiskeli n.k kwenye ziara zake mikoa tofauti nchini. Je ulishawahi kujiuliza ni jinsi gani msafara wa magari wa Makonda unavyoonekana akiwa anaelekea kwenye ziara zake huko mikoani.? Hapa nimekuletea picha tofauti za muonekano...
  3. JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

    Wataalam, Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania. Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa. Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kusoma Certificate in Nursing au kuchaguliwa advance?

    CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'D' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D'
  5. JamiiForums Tanzania Kwa haya Matokeo anaweza kuchaguliwa kwenda Form 5 wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kuuliza kuhusu haya Matokeo ya huyu dogo ataweza kuchaguliwa Form 5 wadau...? Civics D History D Geography C Kiswahili C English D Physics F Chemistry D Biology C Mathematics F Kwa results hizo ataweza kuchaguliwa 5...? Kama hatochaguliwa aende kozi gani...
  6. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mazao ya falsafa ya 4R

    Kitendo cha Jeshi la Polisi kuruhusu maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo, Jumatano Januari 24.2024 ni ishara ya utekelezaji wa falsafa ya 'R4' iliyoasisiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo inatajwa kuimarisha Demokrasia na umoja...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Mtangazaji wa TBC Taifa kutamka haya Hewani?

    "Tafadhali ewe Mtanzania fanya kila uwezalo na kama una Babu yako Mganga wa Kienyeji mwambie asaidie kwa Ndumba ili Taifa Stars iifunge Zambia na hata tulicheza na Congo DR tushinde pia" Kuna Mtu miaka ya nyuma aliwahi kuniambia kuwa kama kuna Media ambayo Watumishi wake Wanarogana / Wanapigana...
  8. JamiiForums Tanzania 2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

    Ni michuano ya 34 ya Mataifa huru ya Afrika ambayo itafanyika Ivory Coast kuanzia January 13 mpaka February 11 ya 2024. Itashirikisha timu 24 ikiwemo sisi Tanzania. Michuano hiyo itafanyika katika majiji matano huku viwanja sita vitatumika katika michuano hiyo. Hii ni mara ya pili kwa Ivory...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania ilipocheza na Zambia kinafiki Mayele wenu alijifanya kutupa moyo watanzania, haya mwambieni atutie moyo tena dhidi yao kesho

    Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo serikali inapaswa kufanya haya ili tupate timu bora ya taifa itakayowakilisha vyema taifa letu

    Mpira wa miguu ni mchezo maarufu na wa kusisimua unaounganisha tamaduni na mataifa. Timu ya taifa ya Mpira wa miguu inaweza kutumika kama kichocheo cha kukuza fahari na mshikamano miongoni mwa raia wa nchi. Hivyo, ni muhimu sana kwa serikali kuweka msingi bora kwa vijana ili kutengeneza timu...
  11. JamiiForums Tanzania Kama maandamano ya Kenya hayakuleta matokeo, tutegemee nini kwenye haya yetu ya Januari 24, 2024?

    Kwema Waheshimiwa! Kwanza sijajua maandamano haya ni endelevu au ni ya siku moja tuu. Maandamano ya amani ni nini hasa? Huwezi ita maandamano ya amani wakati muda huohuo ni kudai haki Fulani. Hakuna maandamano ya hivyo. Kudai haki zipo njia nyingi kama kukaa mezani, lakini yakishakuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Nyimbo za kwenye vitabu vya siku hizi mbona hatujui zinaimbwaje

    Nimejaribu kufuatilia nimegundua pamoja na maendeleo makubwa ya sasa na njia za mawasiliano kuboreshwa, bado kuna kitu watu wa elimu wameyumba sana. Zamani vitabu viliandikwa vinyimbo nyimbo na takribani kila sehemu uliyokwenda ungekuta watu wanajua toni ya wimbo husika lakini siku hizi...
  13. JamiiForums Tanzania Kupenda ni mara moja tu, haya mahusiano mengine nikuigiziana tu!

    ....
  14. JamiiForums Tanzania Haya ndo mafanikio ya simba 2023/2024

    Kama mnakumbuka mlichanga pesa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa Bunju, ile pesa ilitumika kujenga ukuta wa Bunju na kuimarisha kambi ya timu” Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu Mafanikio mengi ni kama yafuatayo kufungua whatsApp channel Kuchukua ngao ya hisani kwa timu ya wanaume Kuchukua...
  15. JamiiForums Tanzania Mechi za AFCON game ikimuhusisha mwarabu na mwafrica mweusi haya ndo yanaendelea kwenye vibanda umiza Tanzania

    Hizi mechi za AFCON hua naangaliaa kwenye vibanda umiza kwa sababu ya vibe la mashabiki. Mechi ikimuhusisha mwarabu na MTU mweusi mwarabu ni anatukwana sana n'a MTU mweusi. Yani Maneno yavuka mipaka unakua ni uhasama Utani n'a Maneno ya kishabiki yanawekwa pembeni then mwarabu anatukwana...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya mabango ya Mama Samia kila kona, nani anagharimia? Yanatusadia nini kama nchi?

    Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango? Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani? Haya mabango kila kona nchini yanaendelea kusimikwa kana kwamba tupo kwenye kampeni za uchaguzi aa...
  17. JamiiForums Tanzania Zingatia haya kulinda afya yako ya mwili

    Kumekuwa na malalamiko humu ndani watu wanapoleta matatizo yao ya kimwili na baadhi ya watu kuanza kuleta mizaha. Mjadala wangu leo umebase sana kwenye magonjwa yasiyoambukiza kisukari, pressure, Kansa and the likes. Wakati tunakua huko kijijini hayo magonjwa walikuwa wanasema ni magonjwa ya...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Naombeni matumizi sahihi ya iko na ipo au tuko na tupo. Ukitoa maelezo na mfano wa sentensi itakuwa vizuri zaidi
  19. C

    JamiiForums Tanzania Haya chukueni upesi haya yafuatayo kutoka kambini huko nchini Ivory Coast

    1. Kocha wenu ambaye pia ni dalali ameshafanya kutompanga kabisa mchezaji Kibu Denis katika mechi za Afcon kwakuwa amekataa kuwa wakala wake na hata ikitokea akaanza kumpanga kuanzia mechi ya Zambia na Congo DR itakuwa ni kwa kutuzuga tu ila hatompa dakika 90 bali atampa nusu tu yaani dakika 45...
  20. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…