haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je kuna athari yoyote kutumia haya mafuta wakati wa kusugua Papuchi?

    Sometimes najikuta nasugua machine muda mpaka kuna kauka kule chini. Basi nimepata demu analoana vizuri mwanzoni. Nikisugua sana akimaliza mara moja au mbili anakuwa mkavu. Mimi bado nakuwa nahitaji maana anakuwa kuna vijicent vyangu amekula. So si sahihi eti dk 5 au 10 nimwache. Nataka ale kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini haya yanafanyika Zanzibar?

    Wana Jf bila shaka mpo salama, Hongereni kwa majukumu ya kutwa zima ya ujenzi wa uchumi mtu mmoja mmoja, Familia na Taifa, Bila kuwachosha nijielekeze kwenye hoja yangu, Kwa Zanzibar unakuta kuna malalamiko sana chini kwa chini hasa linapokuja swala la kuajiliwa kwenye taasisi za serikali na...
  3. JamiiForums Tanzania Ukata wa dola Tanzania, tufanye haya kuepuka

    ✅Nadhani tupunguze matumizi yasio ya lazima, kuna miradi ya miundombinu isioendana na uhalisia wa uchumi wetu na miradi inayofilisi nchi sababu malipo mengi yanafanyika Kwa dola huku vyanzo vikibaki vile vile. ✅Tuepuke kuchukua mikopo mikubwa kufanya miradi isio na tija.Mikopo mikubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira haya wakuu, nifanyeje ili heshima yangu mtaani iweze kurudi?

    Jana nilitembelewa na mzazi mwenzangu (mchepuko) kutoka mkoa wa jirani; na lengo la safari yake ni kwa ajili ya kupeana vitamini S, pamoja na kujadili mambo ya kimaisha, kibiashara n.k Kwa sababu ni muda mrefu tulikuwa hatujaonana, takribani miezi mitano hivi; ikawa ni furaha kwetu wote kuonana...
  6. JamiiForums Tanzania Haya mabasi ya mwendo kasi gerezani kimara yana majaribu makali sana

  7. JamiiForums Tanzania Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

    Unaambiwa Mtumishi wa uuma wa ngazi ya chini aliyefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 30. Anapostaafu analipwa 33% tu ya mafao yake. Yaani kama mtumishi hiyo wa umma alistahili kupata milioni 100 kama mafao (kumbuka hii ni pesa yake halali aliyokatwa kupitia mshahara wake kwa miaka yote...
  8. JamiiForums Tanzania Fiston Mayele leo unajifanya mjuaji. Tumekutengeneza sisi Yanga na haya leo unayaita majini

    Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
  9. JamiiForums Tanzania Masikini Lowassa, nilihisi haya yatamkuta, yamemkuta

    Masikini Mh Edward Ngoyai Lowassa, mwanasiasa machachari tuliyemjua kwa miaka mingi, ametangulia mbele za haki. Si vizuri kumuongelea vibaya marehemu, lakini hata Rais Mwinyi aliwahi kusema, maisha ni kitabu, tuishi vyema ili watakao kisoma kitabu chako cha maisha, wafurahie hadithi ya maisha...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa haya anayoyafanya Makonda najaribu kufikiri nje ya box

    Ndugu zangu wadanganyika, Matatizo au changamoto ambazo kiini chake ni mfumo mzima mbovu wa nchi hii, auwezi kutatuliwa kwenye mikutano na wananchi, kwa kuinua mwananchi mmoja na kumsikiliza kisha unampigia simu sijui waziri au mkurugezi kutatua shida ya huyo mwananchi. Ukweli ni kwamba...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo kwenye maisha: Kupata ni majaliwa haimaanishi wewe ni bora kuliko mwingine

    Hii ni experience ya maisha YANGU. Tahadhari nisinukuliwe vibaya kwa kupingana mawazo. Imani, utamaduni uliyojengeka katika nchi yetu. Kupata ni majaliwa haimanishi wewe bora kuliko wengine. Usimdharau mtu. Leo unayemuona hafai kesho anafaa. Amini kwenye UWEZO wako, mchakato kutoka hatua moja...
  12. JamiiForums Tanzania Haya ni makosa makubwa mawili yanayofanywa na wajasiriamali wengi na kuishia kujuta.

    Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa wanaojiita Motivational speakers na life coaches. 1. Kudhani wanaijua biashara na kutojifunza zaidi Huu...
  13. JamiiForums Tanzania Matukio kama haya ya Kimafia yenye kutumia Akili Kubwa ndiyo yananifanya nizidi tu KuwapendaWaisraeli 24/7

    Wiki iliyopita Makomandoo wa Israel ( Sayeret Matkal ) waitumia Akili Kubwa kama ile waliyoitumia kule nchini Uganda walipoenda kuokoa Mateka Wao mbele ya Idi Amini ambayo hata hivyo ilisababisha Kifo cha Komandoo mahiri aitwae Yurin ( Yuri ) Netanyahu ambaye alikuwa ni Kaka mkubwa wa Waziri...
  14. JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya mashirika ya kikristo yanayotoa huduma mbali mbali kwa jamii zote duniani

    Kumbuka mashirika ya kikristo yapo kwa ajili ya kuwahudumia watu wote bila kujali Imani zao. na mashirika haya yana ajiri watu bila kuangalia misingi ya Imani yako licha ni mashirika ya kikristo. yapo mashirika ambayo bado yanaendeshwa na kanisa na yapo mengine yanajiendesha yenyewe ila mali...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Makabila haya yanaongoza kwa kuwekana wao kwa wao kwenye nafasi za Umma

    kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache...
  16. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria. Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  18. JamiiForums Tanzania Tunataka kuwa Taifa takatifu? Bila sexual workers? Tufanye haya

    Ripoti zote za mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) zifanyiwekazi bila uonevu wala kuoneana haya Sauti ya umma isikilizwe na kuheshimiwa Polisi waishi kwenye viapo vyao wasivuke mipaka ya PGO Utawala Bora iwe ni mandatory siyo option Kuku wote watagie bandani (wenye akili wamenielewa) Baada ya...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mambo matatu ambayo pande zote mbili zinazovutana hazitaki ukweli ujulikane. Je, ni kwanini?

    Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu. 1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda . 2. Ukweli kuhusu kupotea Ben saanane na kushambuliwa Tundu lissu , si CCM wala CHADEMA ambae anatumia nguvu kubwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kataa Ndoa School of Thought, ni upi mtazamo wenu juu ya Masuala haya?

    Inatambulika dunia kote, toka dunia hii imeanza—haijalishi kwa dhana ya Uumbaji wa Mungu au Evolution ya kisayansi— Baba, Mama na Watoto (Familia), ndio imekua jumuiko la kwanza, kuu na la msingi la wanadamu. Siku hizi kumeshamiri wimbi [si geni kihistoria] la kupinga Uwepo wa Familia ya Baba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…