haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watu hawana aibu wala haya kabisa yaani kwenye nyumba za ibada watu wanaombana namba na kutongozana? Nimechukia aisee

    Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Inamaana haya mashimo ya kwenye Barabara ya Kyela (Mbeya) mmegoma kuyafukia au mmeamua tu kuyapotezea?

    Hivi ni TANROADS inamaana haya mashimo kwenye hii Barabara ya Kyela kuelekea Junction hamuyaoni au ni ujeuri tu? Hii Barabara imekuwa kero kubwa sana kwa sisi watumiaji maana ina mashimo Hadi basi, kila siku magari yana pasua vioo pamoja na kuvunja vipuri. Kibaya zaidi naye Mbunge wetu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo 6 niliojifunza nikiwa kwenye biashara kwa miaka 12

    1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo Jiandaeni kwa mabadiliko haya

    Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit. Wa China na watu wenye viwanda wao ufanya B2C yaani Busness to consumption ( uunda bidhaa kiwandani kisha kuiuza kwa mlaji, ndo...
  5. JamiiForums Tanzania Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza...

    Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza... Jibu haya maswali au angalia majibu ya haya maswali kutoka kwa wachangiaji alafu ndo ujiulize je unaweza biashara au upo hapa kufata ushauri wa motivation speaker Kutoka kwa Benny Haraba 1.. je unakipaji chochote 2.. je una...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ni ngumu kukwepa vikwazo vya uchumi!

    Kwa ubakaji wa demokrasia wa kitoto tusingangae kuwekekwa vikwazo kama nchi. Kuna wanaosema tusijali lakini ukweli ni kwamba nchi yetu inategemea sana watalii ambao wanatoa hizo nchi. Utalii ni sehemu kubwa sana ya pato la nchi. Pili nchi yetu inategemea sana misaada hasa Afya kwa mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Tuchambue haya majina ili kubakiwa na majina 10 ya wanaJF walioupiga mwingi humu 2024

    Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora. 1. MamaSamia2025 2. Pascal Mayalla 3. Lucas Mwashambwa 4. Tlaatlaah 5. Mbaga Jr 6. USSR 7...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi na wajuvi wa Kiswahili, nini Kiswahili cha haya maneno?

    1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule. Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa? President - rais. Elect-chagua/ chaguliwa. Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake? 2. Nini Kiswahili cha haya maneno...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

    1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend 2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend 3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno 4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na...
  10. JamiiForums Tanzania Fanya haya kupata faida kwenye hisa

    Kunufaika na hisa (au uwekezaji katika soko la hisa) kunahitaji kuelewa jinsi zinavyofanya kazi na kuwekeza kwa busara. Hisa ni umiliki wa sehemu ndogo ya kampuni, na unaponunua hisa unakuwa mshirika wa kampuni hiyo. Hapa ni njia za kufaidika na hisa: 1. Faida Kutokana na Ongezeko la Thamani...
  11. JamiiForums Tanzania Katika kuwalinda watoto, mambo kama haya mitandaoni ndio ninayoyapiga vita Kila siku

    Inawezekana likawa ni suala ambalo watu mmelizoea mitandaoni na kulichukua poa tu lakini Kwa maoni yangu Binafsi ni jambo la hatari linaloharibu watoto ambao ndio kizazi cha kesho. Narudia kama tutashindwa kuweka mikakati ya kuwalinda watoto dhidi ya upuuzi Huu unaoendelea, ni wazi tutakua na...
  12. JamiiForums Tanzania Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu, vinginevyo utateseka

    Older mnaokimbiliaa ndoa Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima Ni yule aliye na hofu na Mungu Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà Ukishayaoaa yanageuka kuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  14. JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa/olewa tafakari haya pamoja na mchumba wako

    ..
  15. JamiiForums Tanzania Miaka ya zamani niliambiwa haya maneno kuntu kuhusu kuishi na mwanamke

    "Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani...
  16. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya kumng'oa huyu mkoloni mweusi

    Nikiwa kama mpenda demokrasia ya kweli na mtu niliyefadhaishwa na namna chaguzi zetu zinavyoendeshwa. Ningependa kuchangia yafuatayo kwa chama cha CHADEMA, chama hiki angalau kinabeba matumaini kwa wapenda demokrasia ya kweli 1. Chama kianzishe RUNINGA na RADIO yake, ndani or hata nje ya...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Haya Matokeo ya Uchaguzi Mnayaelewa?

    Habari wakuu. Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo. Nimeangalia naona kama namba sizielewi. Labda nyie mnisaidie Hiyo
  18. JamiiForums Tanzania RC Mtanda kwa haya Jitafakari

    Wana jamvi, kuna Mkuu wa mkoa mmoja Anaitwa Saidi Mohamed Mtanda ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyepokea Kijiti kutoka Kwa Amos Makala akitokea Mkoa wa Mara baada ya kuwa Mkuu wa wilaya kwenye wilaya kadhaa hapa nchini. Mwanza ndiyo Mkoa wake wa Kwanza kuongoza tangu ateuliwe kukaa kwenye kiti...
  19. JamiiForums Tanzania Uhusiano unapovunjika inauma lakini kuna haya yafuatayo

    Ni sawa kuumia kwasababu mnakumbukumbu pamoja na mwenza wako ambazo huwezi kuzifuta mara moja na kuzisahau ghafla Ila tambua kwamba mlipitia machungu pamoja wakati wa maisha yenu ya kimapenzi,hivyo hiyo iwe ni sababu ya kuku kumbusha kwamba,kuna wakati ambao mlishea maumivu pamoja,hivyo ni...
  20. JamiiForums Tanzania Yapi Katika Haya si Kweli? Mhadhiri Kijana Anamuuliza Mkuu wa Idara ya Historia

    Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia. Nimemwandikia hayo hapo chini: WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1933 African Association imeanzishwa na Cecil Matola (President)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…