haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao hauna maana kwa haya ninayoyaona mitaani

    Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka husika na vitambulisho zinahusika.
  2. JamiiForums Tanzania Yote haya aliyaleta Bashiru Ally Kakurwa

    Mambo ya kupita bila kupingwa . Kununua wapinzani . Kuvuruga uchaguzi . Ni Kazi kubwa ya Bashiru Ally Kakurwa.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  4. JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  5. JamiiForums Tanzania Haya pesa ya bure hiyo

    Huko kwenye betting napata odds ngapi? Nimeona kwa jicho la tatu matokeo ya kesho
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

    Alisema kabisa kwa kinywa chake kuwa katiba hii akitokea dictator ataumiza sana watu. Ndicho kinachotokea leo! https://youtu.be/br-LSD8AjSw
  7. JamiiForums Tanzania Natabiri hili kutokea kwenye mikutano ya CHAUMMA

    Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa. Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na...
  8. JamiiForums Tanzania Kibwana Shomary na Israeli Mwenda haya mmeshamaliza kumpiga Mwiba wa maana Yao Kwasi sasa nasubiria kuona kati yenu nani atampiga Mwiba mwenzake

    Watoto wa Morogoro mnaocheza Mpira mnaogopeka sana kwa Miba kutoka kwa yule Mtaalam wenu Mkuu wa Matombo.
  9. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  10. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo mafundisho nitakayokuwa natoa nikianzisha kanisa langu

    Shalom! Niko mbioni kuanzisha kanisa langu na yafuatayo yatakuwa mambo ambayo nitayafundisha 1. Kwamba ukifa kunakuwa na mzani utakaotumika kupima ubaya na uzuri uliofanya ukiwa duniani na iwapo ukiwa na mabaya mengi basi utatupwa kwa jehanamu ukiwa na mazuri mengi basi utaingia peponi. Hii...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

    Mama amekasirika sana Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya...
  12. JamiiForums Tanzania Bifu na malawi,south afrika na leo kenya ila ndio rekodi ya kwanza kwa raisi wa chama tawala.Na idd amin alifanya haya haya

    Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka. Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo. Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu. Unaficha nini...
  13. JamiiForums Tanzania Nyash, Nyapu, Kisimi, Kushenyenta, Fimbo ya Musa, Mpododo, kichwa Cha pili hivi ni nani alileta haya maneno na kuyapa maana

    🤔🤔🤔Eti mdau tujuze?
  14. JamiiForums Tanzania Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

    Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead!
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakugusia utekaji kwenye hotuba yake ya funga mwaka au ni yale yale kuwa kutekwa, kuuawa na kupotezwa si tatizo?

    Kwanza, namshukuru mheshimiwa rais, Samia Suluhu Hassan. Pili, sijui watanzania wanachukuliaje hotuba yake ambayo haikugusia utekaji na mauaji vinavyoendelea? Kweli ameanza na tumeanza mwaka kinamna bila tumaini wala mipango ya kuondokana na kadhia ya utekaji ulioanza kuzoeleka nchini. Pia...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo yote haya kayataka mo!

    Wakuu lawama zote namtupia mwekezaji wa simba bwana moo kwakuamua kuichukua simba na kuitengeneza kuwa tishio hapa afrika na duniani kwa ujumla, hii yote imepelekea simba iogopeke hasa inapo kipiga kwenye uwanja wa mkapa, sio timu za afrika tu zimeonja joto ya jiwe kwa mkapa, pia timu za ulaya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndio madhara yatokanayo na kujiona mkamilifu 100%

    1.Mahusiano yatakushinda kwa sababu hata kwenye makosa yako utamlaumu mwingine hivyo utaachwa kila mara na bado utajiona upo sahihi kuachwa 😊 2.Utaendelea kubaki na makosa yako na wengi watachukia kufanya kazi na wewe wataanza kukukwepa. 3.Utaona kila mtu hafai kwa sababu utataka upate mtu...
  19. JamiiForums Tanzania HAYA WIMBO WA WANAUME WATETEA HAKI ZA BINADAMU, THE LAST MAN TZ ASHIKA KIJITI CHA ROMA MKATO

    YouTube https://youtu.be/lr1WEEFWsR0?si=j7pi7_Rb-5u9jwcI Full video
  20. JamiiForums Tanzania Haya ni majibu ya kijana anayeishi maisha ya useja

    Tulikuwa katika mazungumzo na vijana tofauti kuhusu maisha, kijana mmoja akaleta mada ya useja Kwa kuanza tulianza na mfano kwa kijana mmoja anayesemekana anaishi peke yake Nilianza na swali la kwanini ameamua kuishi peke yake nakama sababu ya ugumu wa maisha inachangia Kijana yule hakuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…