hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  2. Masauni Akagua Maeneo Yaliyoathirika Na Mafuriko Kigoma Ujiji, Aahidi Hatua za Haraka

    Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
  3. Kweli, sifa ya mwanaume halisi ni kupenda na kuchukua hatua.

    Nikija nikimpata huyu mrembo, sitaitoa nje kabisa, nitailoweka humo humo ndani mpaka asubuhi. Kwa uzuri alionao, anafanya mapigo yangu ya moyo yaende mbio sana, nimekuwa kama zezeta, akisema anataka hichi au kile ninampatia. Hapa nipo najipanga, siku atakayonitunuku, nitailoweka mpaka...
  4. E

    Serikali imechukua hatua gani kwa hatari hii ya kemikali?

    Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...
  5. Masauni: Tanzania Yapiga Hatua Soko la Biashara ya Kaboni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
  6. Masauni Ataka Mifumo Endelevu Ya Ukusanyaji Taka Na Hatua Za Kukabiliana Na El Nino

    Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amewataka viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kuweka mifumo endelevu ya ukusanyaji na utunzaji wa taka, kudhibiti uchafuzi wa mazingira na kuchukua hatua za kupunguza athari za mvua za El...
  7. Hatua za kuingia kwenye uraibu

    Kwenye maisha yetu ni rahisi sana kuingia kwenye changamoto za uraibu bila ya kutaka au kutotaka. Lakini jambo la msingi ni kufahamu namna ya kumsaidia mtu..... Lakini kabla ya hapo ni vema kufahamu kuwa huyu mtu anapitia hatua kama majaribio yaani experimentation ili kuingia kwenye uraibu...
  8. T

    Hatua Gani zitachukuliwa kama hakuna El'NINO

    Ili ikawe fundisho kwa watu wanaotabiri Tabiri Vitu uongo uongo... Vipi hati katika mkoa wako? Jamaa wanadanganya hadi Rais? Kaingia mkenge
  9. M

    Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  10. Responded Rais wa FEMATA, John Bina: Tutawashtaki Waliohusika Kula Hela za Wachimbaji Waliolipia Safari ya Canada

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo. Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
  11. Tanzania yataka hatua kali dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

    TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
  12. TANZANIA IMEPIGA HATUA SANA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU SDG’s

    Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa eneo la Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania imepiga hatua kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana kwenye sekta mbalimbali ikiwemo nishati, maji, afya, elimu, Mawasiliano pamoja na uchukuzi ambapo...
  13. Maombi yana nafasi yake, lakini usitumie maombi kama mbadala wa mipango, kazi, maarifa na hatua za kiuchumi

    Chochote unachofanya katika maisha haya, usisahau jambo moja: umaskini hauondoki kwa moto. Unaweza kutumia siku saba usiku kucha ukipiga kelele ukitazama dari, ukitokwa na jasho chini ya madhabahu, ukifunga na kujaribu “kumfunga” shetani wa kufikirika lakini mwenye nyumba bado atafika tarehe...
  14. Madaktari Bingwa wa Saratani wakutana Dar kujadili hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo

    Madaktari Bingwa wa Saratani na wataalamu mbalimbali wa matibabu ya ugonjwa huo, wamekutana Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa kujadili maendeleo na hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo tishio duniani. Akizungumza katika Mkutano huo, Rais wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa...
  15. Masauni Akagua Hatua Zilizochukuliwa Kukabiliana Na El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameanza ziara mkoani Morogoro ya kukagua hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na mvua za El Niño kwa ajili kubaini mapema maeneo na miundombinu hatarishi ili hatua zichukuliwe kabla ya mvua...
  16. K

    Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Habari za leo watu wa humu. Usiku wa kuamkia leo nilikua na hamu sio poa, si ni kawa namuomba wife anipe, akakataa kabisa sababu eti juzi aliona ex wangu kanitumia ujumbe wa kunisalimia kwenye simu. Sasa wakuu, kwa hali kama hii natakiwa kuchukua hatua gani? Au nikachape za nje?
  17. Msemo wa Dudubaya sasa wafika shuleni hii ni hatua nzuri sana kitaifa

    You Bella wochi u a baki
  18. O

    Mwanamke wa Nigeria amsimamisha Rais William Ruto New York, amshukuru kwa hatua zake kwa Afrika

    Rais William Ruto akiwa New York, Marekani, alipata wakati wa kukutana na mwanamke kutoka Nigeria aliyemkaribia na kumshukuru kwa kile alichosema ni mchango wake kwa Afrika. Katika video hiyo, mwanamke huyo anamwambia Ruto, “Your Excellency, we want to thank you…”, huku akieleza shukrani zake...
  19. A

    HOJA Viroba katika sura mpya ya vichupa: Tishio kwa afya za vijana nchini, mamlaka zichukue hatua kabla haijawa ya janga

    Miaka 10 iliyopita, Serikali ilipiga marufuku viroba vilivyokuwa vikitumika kuhifadhia na kuuza pombe kali, ambavyo vilitajwa kuwaathiri zaidi vijana na watoto kutokana na kupatikana kwa urahisi. Hatua hiyo ilichukuliwa miongoni mwa juhudi za Serikali za kudhibiti matumizi ya pombe na wakati huo...
  20. US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…