Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE
Na GULATONE MASIGA
Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
Wanaukumbi.
🇺🇸 Thomas Massie amewasilisha hoja ya kumshtaki (impeach) Pete Hegseth kuhusiana na vita dhidi ya Iran.
Anamtuhumu Hegseth kwa kuanzisha vita bila idhini ya Bunge, kukiuka kanuni za ulinzi wa raia, na kulipiza kisasi dhidi ya wakosoaji wake.
Mashtaka hayo yanahusu pia operesheni...
Naomba ujumbe uwafikie Polisi Tanzania hasa Mkoa wa Shinyanga, kumekuwa na matukio ya wizi sana majumbani, taarifa zinafika Polisi, RB na Mpelelezi unapewa lakini hakuna kinachoeleweka.
Matukio badala ya kupungua yanaongezeka, mfano Mtaa wa Majengo Mapya tunaibiwa sana na vitu havipatikani (TV...
Anonymous
Thread
hatua
maeneo
mengi
mfano
shinyanga
umeongezeka
wizi
Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
Anonymous
Thread
chupa
hatua
kuchukua
kuchukua hatua
miaka
miaka 10
mitaa
mtoto
mtoto wa
serikali
serikali za mitaa
ukuta
▪︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi
▪︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika...
Kuna stage tatu ambazo hutumika kuharibu nchi yoyote mtu mwenye Nia ya kuharibu nchini anatumia stage tatu tuisome Tanzania ya tarehe 29 Oktoba 2025 kama case study.
Nchi haihitaji kuvamiwa na jeshi la kigeni ili iingie kwenye machafuko makubwa. Kuna mazingira ambayo yanaweza kusababisha taifa...
Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguza athari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi.
Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja na changamoto zinazoendelea katika soko...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa mrejesho kuhusu hoja ya Mdau aliyeandika ~ Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka.
MWAUWASA:
Tunapenda kufafanua kuhusu changamoto iliyowasilishwa ya upatikanaji wa huduma ya maji kwa eneo...
Kuna jambo ambalo nafikiri tunapaswa kulitafakari. NGOs nyingi zinazofanya kazi za usawa wa kijinsia, afya ya uzazi na haki za binadamu zinafanya kazi chini ya usimamizi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu.
Baadhi ya mashirika haya hupokea ufadhili mkubwa kutoka...
Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameiagiza Kamati husika ya Bunge kuwahoji watumishi wa umma wanaodaiwa kukiuka Waraka wa Serikali wa mwaka 2021 unaoelekeza taratibu za ununuzi wa magari ya serikali, na kuchukua hatua stahiki dhidi yao.
Zungu amesema kutokana na hali ngumu ya kiuchumi duniani...
Ukiangalia panda shuka za Yanga kwa kiasi kikubwa kimechangiwa na uongozi wa Yanga kwa kufanya makosa kadhaa ambayo inawapa mashaka kuwa sasa kazi inafanywa kwa hisia, au kwa kubahatisha tu.
Eng. Hersi amekuwa na mwendelezo wa kuvurunda katika usajili wa wachezaji na makocha hasa hasa kwa...
Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii...
Ligi ya Tanzania imeendelea kuonesha kuwa inazidi kukua kwa timu zake 4 kufuzu kwenda hatua ya Makundi,
Simba, Yanga zimefuzu klabu bingwa kwa kutoa kichapo kizito kwa timu walizokuwa wanacheza nazo
Huku, Azam na Singida black stars wakiipeperusha bendera ya Nchi kwenye kombe la shirikisho.
Wananchi wa vijiji vya Magomeni na Majimaji katika Jimbo la Tunduru Kaskazini wamekutana na Mbunge wao, Ado Shaibu Ado kutoa kero zao kuhusu migogoro kati yao na wafugaji Oktoba 18, 2026.
Wameeleza kuwa wafugaji wanavamia mashamba na nyumba zao, kuwaua, kuwavunja mikono na kuwaibia mifugo, huku...
Ni wazi,
na sote ni mashuhuda wa ombwe la uongozi linaloonekana wazi kabisa kwenye taasisi hiyo ya kitaalamu Tanzania.
TLS imeacha misingi na malengo ya kuanzishwa kwake na kutumbukia kwenye mikono ya uongozi wa vibaka wa kisiasa na wanasiasa uchwara, ambao haijulikani wanafanya makusudi au...
What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking?
Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili?
Je,
ukiwatazama...
Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.