hati fungani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jinsi Hati Fungani (Treasury Bills & Bonds) Zinavyofanya Kazi

    Kuna usemi unasema "Serikali ina hela", lakini je, unajua kwamba unaweza kuikopesha Serikali hizo hela zako na ikakulipa faida nzuri tu, na kwa usalama mkubwa? Hii inafanyika kupitia kitu kinachoitwa Treasury Bills (T-Bills) na Treasury Bonds. https://youtu.be/CiVSpA24V8Y Kwenye uchambuzi mpya...
  2. Wakuu msaada: Serikali inawezaje kulipa watu faida kwenye Tresury Bills & Bond [ Hati fungani ] wakati hali yetu kiuchumi ni mbaya kama taifa?

    Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali. Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
  3. Kuelewa tofauti kati ya hisa na hati fungani (bonds): Mwongozo wa kufanya maamuzi sahihi ya uwekezaji

    1. UTANGULIZI Uwekezaji una nafasi muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali kwa muda mrefu. Hata hivyo, kabla ya kuwekeza, ni muhimu kwa mtu kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana katika soko la mitaji. Miongoni mwa vyombo maarufu vya uwekezaji katika...
  4. Elimu ya uwekezaji: Fahamu hati fungani na namna zinavyoweza kukuza uwezo wako wa kifedha

    1. UTANGULIZI Katika safari ya kujenga maisha bora ya kifedha, ni muhimu kwa kila mwananchi kuelewa njia mbalimbali za kuweka akiba na kuwekeza. Mara nyingi watu wanapozungumzia uwekezaji katika soko la mitaji, fikra zao huenda moja kwa moja kwenye hisa. Hata hivyo, kuna bidhaa nyingine muhimu...
  5. W

    Mradi wa hati fungani Tanga kazi iwe saa 24

    Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Maji wa Hati Fungani Tanga ametakiwa kuhakikisha anafanya kazi kwa saa 24 ili mradi ukamilike. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametoa maelekezo hayo akikagua mradi wa Hati Fungani Tanga unaoendelea katika eneo la Moe. "Hatuna muda wa kupoteza, mkandarasi...
  6. Mabadiliko Kanuni BoT (GN No. 206, 2026) kuruhusu Wawekezaji wa Kigeni kununua Hati Fungani: Fursa au Mtego wa Kifedha kwa Tanzania?

    Wakuu, nadhani mmeona Taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia barua ya Agosti 6, 2026, ikizungumzia Maboresho ya Kanuni za Fedha za Kigeni kupitia Tangazo la Serikali (GN) Na. 206 la mwaka 2026 (Foreign Exchange (Amendment) Regulations, 2026). Suala hili limenivutia sana kutaka kulijua...
  7. N

    Namna ya kuuza hati fungani ya BOT

    Wakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
  8. Maarifa ya Hisa, Hati Fungani: Sikiliza Podcast

    Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji n.k. 🎙️ Sikiliza MAELEZO PODCASTS — Tupo kwenye audio channels zote 📌 Spotify: https://open.spotify.com/episode/5zCZZAV4Y6Hk5HMOGUKJ2D?si=-u-CP6feSeWM2JN-yMuHyQ&utm_source=copy-link Apple Podcasts...
  9. Tahadhari Wanunuaji wa Hisa, Hati fungani na Uwekezaji DSE!

    hivi karibuni matapeli wa kimaraifa wameingia sokol la hisa la dar es salaam , wanakuja na kama ka advert kwenye insta, huwezi ona hiyo account, inakuwa ni advert tu , ukiingia huko umetapeliwa na kudukuliwa. Wanajifanya wanakufundusha lakini ni utapeli mtupu. Kama wewe unataka kujifunza na...
  10. BoT: Zanzibar yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba, inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu

    Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk, ambayo inalenga kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo. Akizungumza...
  11. Hatifungani ya Samia Kianzio Tsh 500000: Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu

    Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
  12. Kabla hujanunua hati fungani za serikali, zingatia haya

  13. Wakuu hati fungani za BOT zikoje? Riba au faida yake ni % ngapi?

    Wakuu msaada hapa naisikia sana hii lakini sielewi maana. Nipeni ABC
  14. BOT wamefungua dirisha la kuwekeza hati fungani

  15. Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  16. Kwa wale wanaotaka kuikopesha serikali kwa hati fungani

    Baada ya Bajeti ya serikali kupitishwa na kuanza kufanya kazi mwezi Julai, kuna fedha serikali itajipatia kwa njia ya mikopo. Kuna sehemu itakopa kutoka mashirika ya nje na nchi wahisani lakini kuna kiasi serikali itakopa. Kukopa ndani ya nchi, ndiyo huwa Hati fungani/ Government bonds. Tayari...
  17. Nimependa wazo la kijiji cha Mundindi kununua hati fungani, wameweza ndoto iliyowashinda Simba SC

    Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
  18. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali

    WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
  19. UTT vs Hati fungani za serikali, ipi Bora zaidi kuwekeza?

    Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali. Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya...
  20. Hivi hati fungani ndiyo kukopesha Serikali?

    Jamaa yangu aliniuliza maswali kedekede juu ya hili neno hatifungani. Nilianza kwa kumwambia "hatifungani hutolewa na Serikali/kampuni ili iweze kupata fedha za kujikimu, ambapo mtu au taasisi hukopesha Serikali/kwa kumiliki hizo hati fungani.... Akauliza: Kumbe nako ni uwekezaji, unalipwaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…