Nawasikiliza watoa elimu za kifedha [Certified financial educators] wanashauri watu wanunue hati fungani za serikali.
Jamaa mmoja wa BOT kwenye semina aliwahi kuhakikishia ukumbi mzima haijawahi kutokea serikali ikashindwa kumlipa mtu aliyewekeza huko. Na inaonekana sio bongo tu ni karibu...
1. UTANGULIZI
Uwekezaji una nafasi muhimu katika kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali kwa muda mrefu. Hata hivyo, kabla ya kuwekeza, ni muhimu kwa mtu kuelewa fursa mbalimbali za uwekezaji zinazopatikana katika soko la mitaji.
Miongoni mwa vyombo maarufu vya uwekezaji katika...
1. UTANGULIZI
Katika safari ya kujenga maisha bora ya kifedha, ni muhimu kwa kila mwananchi kuelewa njia mbalimbali za kuweka akiba na kuwekeza. Mara nyingi watu wanapozungumzia uwekezaji katika soko la mitaji, fikra zao huenda moja kwa moja kwenye hisa. Hata hivyo, kuna bidhaa nyingine muhimu...
Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Maji wa Hati Fungani Tanga ametakiwa kuhakikisha anafanya kazi kwa saa 24 ili mradi ukamilike.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametoa maelekezo hayo akikagua mradi wa Hati Fungani Tanga unaoendelea katika eneo la Moe.
"Hatuna muda wa kupoteza, mkandarasi...
Wakuu, nadhani mmeona Taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia barua ya Agosti 6, 2026, ikizungumzia Maboresho ya Kanuni za Fedha za Kigeni kupitia Tangazo la Serikali (GN) Na. 206 la mwaka 2026 (Foreign Exchange (Amendment) Regulations, 2026).
Suala hili limenivutia sana kutaka kulijua...
Elimu ya Hisa, Hati Fungani, Uwekezaji n.k. 🎙️ Sikiliza MAELEZO PODCASTS — Tupo kwenye audio channels zote 📌
Spotify: https://open.spotify.com/episode/5zCZZAV4Y6Hk5HMOGUKJ2D?si=-u-CP6feSeWM2JN-yMuHyQ&utm_source=copy-link
Apple Podcasts...
hivi karibuni matapeli wa kimaraifa wameingia sokol la hisa la dar es salaam , wanakuja na kama ka advert kwenye insta, huwezi ona hiyo account, inakuwa ni advert tu , ukiingia huko umetapeliwa na kudukuliwa.
Wanajifanya wanakufundusha lakini ni utapeli mtupu.
Kama wewe unataka kujifunza na...
Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk, ambayo inalenga kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo.
Akizungumza...
Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu
Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia.
Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000
Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao.
Wasio na Pensheni.
Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau.
Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
Baada ya Bajeti ya serikali kupitishwa na kuanza kufanya kazi mwezi Julai, kuna fedha serikali itajipatia kwa njia ya mikopo. Kuna sehemu itakopa kutoka mashirika ya nje na nchi wahisani lakini kuna kiasi serikali itakopa.
Kukopa ndani ya nchi, ndiyo huwa Hati fungani/ Government bonds.
Tayari...
Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali.
Naombeni ushauri wapi ni Bora kati ya sehemu hizo mbili? kwa maana ya wanaotoa faidi kubwa zaidi ya...
Jamaa yangu aliniuliza maswali kedekede juu ya hili neno hatifungani.
Nilianza kwa kumwambia "hatifungani hutolewa na Serikali/kampuni ili iweze kupata fedha za kujikimu, ambapo mtu au taasisi hukopesha Serikali/kwa kumiliki hizo hati fungani....
Akauliza: Kumbe nako ni uwekezaji, unalipwaje...
Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.