hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Hakuna muwekezaji afungue hospital ukanda wa Ubungo, Kimara, Mbezi yote basi hata Kibaha

    .
  2. Msanii

    Siyo Samia pekee, hata mahakama imejipanga kushughulikia wakosoaji

    Tusikwepe kuiona picha kubwa inayochezwa na mihimili ya serikali haramu ya Tanzania dhidi ya raia, wakosoaji na wanaharakati wa Haki na Demokrasia nchini Mahakama inapopokea kuendesha kesi za kisiasa dhidi ya wapinzani ni ushahidi kuwa mahakama imekubaliana na Executives kubaka Katiba, Haki na...
  3. Crocodiletooth

    Hakuna hata nyanya moja itatupwa 🍅 🍅 🍅!

    Kuliko kufikiri mambo ya lissu na mdomo wake ambao ndiyo umemponza ni bora twende na wazo zuri la kibiashara tunajua tuna 🍅 paste!,lakini pia tunaweza kupata 🍅 powder tukaokoa nyanya nyingi aww ambazo huozea mashambani!....... Hapa suala ni kuzingatia usafi tu, Ongeza Ginger,garlic kidogo...
  4. kavulata

    Hata kama Jaji ningekuwa mimi Kavulata angekutwa na kesi ya kujibu

    Unaposema utakwenda kuzuia uchaguzi Mkuu wa kikatiba unaoipatia Jamhuri yetu viongozi wake wakuu kama Rais, Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, Makamu wa Rais, wabunge na madiwani usifanyike maana yake unadhamiria nchi ama iendelee kuongozwa na viongozi batili ambao muda wao kwa mujibu wa katiba...
  5. kavulata

    MO haidai Simba hata shilingi moja, inamdai yeye

    Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba. Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo...
  6. mwaibile

    Hata saa mbovu ipo wakati husema ukweli

    Tuwe na siku njema
  7. Hance Mtanashati

    Dj Choka hana busara hata kidogo. Maradhi yake isiwe sababu ya kuwahukumu watu

    Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi. Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu. Ila shida ya huyu jamaa omba yake ni kama ana lazimisha , hana ile hekima ya kumuomba mtu na mara...
  8. KanyeWest_Tz

    Kila nikiona yanayo tokea sasa hivi, hata sishangai

    Nimejikuta na kutana na clip ya jembe maghufuli mtandaoni. Na Hakika alikuwa ni mtu wa kipekee sana. It was once in a lifetime. Watanzania sisi hakika tumerogwa.. Na huu ndo ukweli Mchungu. Yaani kipindi kile waliokuwa wanamuunga mkono magu walikuwa watu hali ya chini. Maana alifanya juhudi...
  9. polokwane

    Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  10. Idugunde

    Boniphace Mwabukusi ni kibaraka na pandikizi la CCM. Hafai kuaminika hata kidogo

    Ukisikiliza mpaka mwisho utakubaliana na mimi Idugunde 👇
  11. min -me

    Hata kama atalipa ukishamkopea pesa ukwisha

    Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa. Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana , sasa nimeona kama nimeokota pesa na nipo bar mda huu nazilamba bia kwa furaha , huku nikipotezea...
  12. kavulata

    Hata huyu yumo kwenye orodha ya chadema ya waliotekwa na serikali?

    Chadema ina orodha ndeeefu ya watu wasioonekana waliotekwa na serikali. Yaani kwa mujibu wa chadema kila asiyeonekana nyumbani kwao ametekwa na serikali, lakini huyu mama alitoroka mwenyewe usiku na kwenda Kenya na kurudu mwenyewe baada ya miaka 42 kupita. Hata polisi wetu hawakujua alienda wapi...
  13. Labani og

    GSM akichekewa atakuja kumsajili hata Mo dewj

    Wananchi wameamka asubuhi, Kisha wamechagua ukatili. Matumizi makubwa sana ya nguvu kumuua mbu, aliye juu ya nyeti za aliyetahiriwa bila ganzi. Pesa zipo bank? GSM zipo mfuko wa shati. Watu wa motoni hao. Sele Gomez ni Mwananchi, Kuna sajili zina maanisha "Mimi ni Giant kwenye hii nchi" Yanga...
  14. Carlos The Jackal

    CCM , Nionyesheni Picha hata ya Mwandamanaji mwenye Bunduki, aliyeua Watanzania Oktoba 29?

    Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi. Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
  15. M

    Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  16. M

    PostGE2025 Madeleka: Nashangaa mpaka leo Polisi wameshindwa kukamata mtu hata 1 wa mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda kujificha kwenye kivuli kwamba kuna Tume yenye sura ya kimataifa, kuna majaji kutoka Uganda, na wengine...
  17. Design Your Idea

    Kwanini vijana wa kijaluo ni wazito wa kurudi vijijini ilipo asili yao na hata kama wakirudi wanaenda kwa kujificha jificha?

    Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana. Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time. Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya vijana hawa kutorudi vijijini?
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  19. K

    Ukanda pwani kuoa na kuacha ni kama kumsukuma mlevi. Yaani mwanamke anaachika nakuolewa hata mara tano, kwao kawaida sana

    Wadau myimwike, Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo. Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
  20. figganigga

    Siku 100 zimepita, Meli ya Uvuvi aliyoizindua Samia, Imeshindwa kuvua samaki hata mmoja

    Tarehe 25 Aprili 2026, Mzanzibari Samia Suluhu Hassan alizindua Meli ya Uvuvi kwenye maji ya kina kirefu, hadi sasa sijaona Samaki waloletwa. Eti Uchumi wa Bluu.. Meli ilitengenezwa kwa zaidi ya Bilioni 25. Je, itazirudisha lini? Leo ni siku 106 tangu izinduliwe. Hakuna samaki hata mmoja...
Back
Top Bottom