hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  2. Tlaatlaah

    Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  3. MakinikiA

    Zelensky ameambiwa hayuko salama popote alipo hata anakojificha ...

    ZELENSKY FELT THE BLASTS IN HIS BUNKER🚨🚨🚨 Russia launched a massive missile strike on Kyiv overnight. The blasts were so powerful he felt them underground. That is not a military message. That is a personal one. Moscow is telling Zelensky he is not safe. Not in his office. Not in his...
  4. 1995El

    Kuna vitu ukivipoteza Maishani, hata Pesa haiwezi kuvirejesha

    Kuna vitu ukivipoteza, huwezi kuvipata tena hata ukiwa na pesa. Wakuu, nimekuwa nikifikiria jambo hili. Maisha yanatufundisha kucheza na vitu vingi kwa sababu tunaamini vinaweza kurudi. Pesa ikipotea, unaweza kuitafuta tena. Kazi ikipotea, unaweza kupata nyingine. Simu ikiharibika, unanunua...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    TUKUSHANE:Wanaume hatuombi msamaha Kwa wake zetu na hata kukiri kosa ni mwiko.

    Hizi ni Moja ya kanuni za mwanaume makini. Nikweli wanaume tunakosea na tuna makosa mengi tu kama binadamu lakini kitendo Cha kuombaomba msamaha Kwa mwanamke hiyo fuse imeshakata Haina mawasiliano tena. Mwanaume hupaswi kuomba msamaha Direct au kukiri kosa Moja Kwa Moja ni HAPANA badala yake...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa ya mzaliwa wa kwanza; mwanaume anaweza kuwa na wazaliwa wakwanza hata ishirini.

    SIFA YA MZALIWA WA KWANZA; MWANAUME ANAWEZA KUWA NA WAZALIWA WAKWANZA HATA ISHIRINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sifa namba moja ya mzaliwa wa kwanza ni kuwa wakwanza kwa Mama aliyemzaa. Yaani kifungua mimba kwa Mama yake. Mwanaume unapozaa na mwanamke asiye na mtoto na ambaye hajawahi...
  7. Dennis Robert Shughuru

    Sitamani kuwa Rais bali natumia haki yangu ya kikatiba ambayo hata wewe unayesoma huu uzi unayo kama ni mtanzania na huna jinai

    Kwenye nyuzi zangu kumeibuka watu wananikasirikia eti nikisema nikiwa Rais wa Tanzani unajua kuna watu wanavituko sana Katiba ya Tanzania haijamkataza mtu kuwa na nia ya kuwa Rais wa Tanzania hata wewe unayesoma kama ni mtanzania na huna jinai basi una-haki hiyo kwa hiyo usinikasirikie mimi...
  8. J

    Kwa nini mafuta hayashuki bei? Data zinaonyesha mafuta yanatoka mashariki ya kati kwa wingi kuliko hata kabla ya vita

    Mafuta yalipanda bei kwa sababu Iran alifunga mlango wa Hormuz baada ya kushambuliwa na Marekani na Israel Lakini kwa sasa data zinaonyesha kuwa mafuta yanapata Hormuz pamoja na njia nyingine mbadala, tena kwa wingi kuliko kabla ya vita kuanza. Je ni kwa nini hayashuki bei hapa kwetu?
  9. Manyanza

    Wicknell Chivayo mbona hata kwenye orodha ya mabilionea wa Africa hayupo ?

    Hii hapa ni orodha ya matajiri wa Africa mwaka 2026, mbona huyu jamaa hayupo kwenye hii orodha na alitamba na kujulikana kama bilionea?
  10. Wakusoma 12

    Kwa mjibu wa wataalam hata mwaka 2023–2024, kulikuwa na El Nino kwanini mwaka huu tumeipa promo sana?

    Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
  11. Design Your Idea

    Je ushawahi kufikiria kuwa katika hii dunia kuna watu wana vibali automatically na kuna wale wengine hata ulie vipi tabu ndio ujira wako hadi kifo?

    Kuna mtu unakuta matendo anayofanya na kero anazo fanyia wengine ni sawa sawa na giza lakini mtu huyo huyo hayampati magumu yoyote na kila analogusa linageuka kuwa dhahabu. Alafu kuna yule ambaye atasali sanaaaa, atalia sanaa na atapambana sana lakini magonjwa, majanga, vifo na aibu ndio...
  12. Traxtion

    Hata Zanzibar pia wananchi wanalalamikia serikali

    Kumekuwa na usemi kuwa CCM inawapa maisha mazuri Wazanzibari na kuwakandamiza Watanganyika, kitu ambacho sio kweli Yani kiufupi CCM wanaboronga kote tu. Huku Tanganyika na kule visiwani. Watanzania kiujumla wanateseka chini ya hiki chama, viongozi wa Tanzania kutoka bara na visiwani wote...
  13. Sifi Leo

    Mama, wasamehe Dr Hamisi Kigwangala, na January Makamba wape hata UDC au ukatibu tawala

    Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe. Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu. Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Sisi tuliozaliwa familia zenye imani mchanganyiko. Hatuonagi shida hata serikali nzima iongozwe na Dini moja

    Hamjambo! Moja ya faida ya kutokea familia zenye Imani mchanganyiko. Yaani ukoo wa Baba dini hii, ukoo wa Mama dini nyingine. Au imani mchanganyiko, tamaduni mchanganyiko ni pamoja na kutokuwa mtu wa imani kali au udini. Sisi wengine Msikitini tunaingia. Kanisani tunaingia. Usabatoni...
  15. Keynez

    Dunia imebadilika sana, hata hausikii ndege zikitekwa

    Dunia ya sasa imepoa sana. Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege wakairusha hadi destination fulani salama. Wahuni walikuwa wanateka hadi treni. Yaani ilikuwa dunia fulani...
  16. Traxtion

    Kwa nini Tanzania tusingeanza ujenzi wa Industrial Parks nyingi kubwa kila pembe ya nchi hata 20+?

    Kwa nini Tanzania hatupo serious na ujenzi wa viwanda licha ya population yetu kuwa kubwa na kukua kwa kasi Kwa nini tusitake advantage ya population yetu wenyewe inayokua sasahivi tukaanza kujenga viwanda vingi nchini na kuuza products humuhumu? Kwa mfano sasahivi ingependeza uwepo mradi wa...
  17. kavulata

    Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

    Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao. Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari...
  18. M

    Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  19. idiomer

    Ni nini hasa kinasababisha waziri hata mwaka hajamaliza anatolewa?

    Dkt Juma Homera aliteuliwa 18/11/2025 kuwa waziri wa katiba na sheria. 27/09/2026 Dkt Juma Homera ameteuliwa kuwa waziri wa nishati Hii inaathari gani ?
Back
Top Bottom