Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Hili liwe fundisho,
Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao,
Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
Samia alikuwa na nafasi nzuri ya kuanza ukurasa mpya kupitia haya maadhimisho kuelekea Maridhiano ya Kitaifa lakini kashindwa kuitumia hii fursa.
Watu mbalimbali, mashirika mengi na nchi nyingi duniani zimeungana na Watanzania kuwaenzi watu walioathirika na kupoteza maisha siku hiyo zikiwemo...
Kuna ukweli kiasi gani katika madai kwamba Zanzibar inaweka mfumo wa kisiasa na kiutawala ndani ya Tanganyika unaoweza kuiwezesha kuendelea kushikilia mamlaka kwa miongo kadhaa ijayo, hata pale ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakapokuwa anatoka Tanganyika?
Je, huu ni mkakati wa...
Nikiwa sekondari, vijana tulikuwa tunaadhimisha na kulaani mauaji ya waafrika kule Afrika Kusini.
Katika kitongoji cha Sharpeville, mwaka 1960 waliuwawa waafrika 69, na hata Nyerere alilaani mauaji hayo kwa miaka mingi baadaye.
Sasa leo, rais anayependwa na wanananchi kwa 98%, serikali yake...
Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii...
Ukweli mchungu ni kwamba sio Yanga,Simba Wala Azam wayavuka makundi licha ya kujifariji,makundi yamewakalia vibaya sana.
My Take
Ambae hataki kukutana na vigogo akashiriki Kagame CUP
Ikulu ya Marekani imekiri kuwa mirija ya kunywea kinywaji ni hatari kuliko hata chupa za plastiki.
Ikumbukwe chupa hizo ni hatari zaidi kwa afya na zinasababisha kansa.
chupa za Maji na vinywaji za Dar es
Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
Ndugu zangu Watanzania,
Ukitaka Kujua CHADEMA na Mwaipaya Wanafanya Maigizo na Futuhi ni kitendo cha wao na hao mashuhuda wao kushindwa kuweka hata picha ya gari walau hata moja ama namba ya gari lililohusika katika utekaji huo .
Hawa jamaa ni matapeli sana na watu wanaosumbuliwa na ujinga na...
Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao
matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti.
Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji .
Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
Tumepiga hatua kubwa sana katika sayansi na teknolojia. Tuna magari, ndege, darubini, kompyuta na vyombo vinavyosafiri angani. Tunaweza kutambua mawimbi ambayo macho yetu hayawezi kuyaona na kuchunguza vitu ambavyo hatuwezi kuvigusa moja kwa moja.
Lakini je, maendeleo haya yanamaanisha kwamba...
Hivi vyeo vinaondoka.
Kuna kuhamishwa
Kuna kustaafu/kustaafishwa
Tunapoelekea Tanzania ya 2050 suala la Maadili lazima tulitizame kwa picha hiyo !!
Leo unapambana sana kudeal na Matukio ya mmojamoja na makundi , ni jambo zuri, ila Mama, fikiria Leo ukitoka utaacha nini kama kielelezo kwenye...
Kuna mda mwengine hata katiba na sheria za hapa tanzania zinapitiwa juu kwa juu.
Nimeona ile video wakijitamba wale watoto wengine mambo ya kubeti,wengine kuingia rasmi na mambo kudanga.
Ukiangalia kisheria wale washafikisha umri wa 18.
Na umri ule anauwezo wa kuoa,kuolewa,kufanya kazi na...
Habari zenu wakuu,
Japo mnasema Kitanda hakizai haramu lakini Kwa hapa nimekuwa nimekuwa Na mashaka, Ni miaka miwili Sasa imetimia Toka niachane Na Yule binti wa kizaramo Na kuachana kwetu Kwa upande wangu sikuwa Na sababu kubwa japo Nina Imani Kwa upande wake sababu ilikuwepo japo mpaka Leo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu.
Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
Heshima yenu, wakuu.
Leo nimejiuliza maswali mengi baada ya kuamshwa saa 3:57 usiku na kelele za hapa nilipo ugenini. Kwa kweli, nilishikwa na butwaa.
Imagine mtu anapiga kelele kwa nguvu, sijui kama ni maombi au anataka kufanikisha nini. Hata matamshi anayoyatoa siyatambui kuwa ni ya lugha...
Ndugu zangu Watanzania,
Tulishasema sana na nilishasema wazi kabisa huku Jukwaani Ya Kuwa Lissu hapaswi kuwepo Uraiani katika Siku zake zilizo salia Hapa Duniani. Lissu anastahili Adhabu kali sana itakayo kuwa Fundisho Kwa Wavunja sheria wa hapa Nchini.
Lissu anastahili Adhabu ambayo itabakia...
Imagine mtu amekuomba umtumie pesa. Wakati huo huna au unayo ila ilikuwa na kazi nyingine, utajiminya au utahangaika mpaka umtumie, lakini ikifika yeye hafanyi hata effort ya kukujulisha kwamba amepokea.
Unaweza kubaki na wasiwasi, ukidhani labda pesa haijafika, kuna tatizo la mtandao au...