hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwa hiki kinachoendelea kisichofikia hata robo ya vita, nahamasika kujenga zaidi kijijini, ngoma ikivuma sana ikalipuka tutaishi vichakani kama kuku

    Baada ya matukio ya MO29 (Oktoba 29) na sasa tukiwa tunaelekea kwenye maandamano ya D9 (Desemba 9), hali ya taharuki imeongezeka sana. Yale tuliyoyaona MO29—ambayo hata hayafikii robo ya hali ya vita yamenifanya kuwa makini sana. Mijini hali ni ngumu. Huwezi kutulia wakati mambo yanapowaka...
  2. M

    PostGE2025 Hata wapinzani wanafunga comments? John Mrema vipi?

    Jon mrema amefunga comments ktk Twitter ktk account yake. Kaandika mambo mengi lkn ukitaka kukoment amezuia. Hata wapinzani wa ccm wanafunga comments?
  3. Kwa hali iliopo sasa, hata report ya CAG ni useless and pointless

    Wanaweza toa report sahihi ila isifanyiwe kazi yoyote mana wahusika ni washirika wa Samia au watatoa report ya kumpamba tu. Kifupi taasisi zote zimeshakua paralyzed na wanafanya kumridhisha au kutomkasirisha samia. Wapigaji nao watatumia mwanya huu ipasavyo. Inasikitisha kuona nchi...
  4. S

    Onyo: Udini ukifanikiwa, hata majeshi yatagawika na wanaotegemea majeshi, nao itakula kwao

    Huu ndio ukweli mchungu kwa mtu yeyote mwenye kuona mbali. Majeshi yakigawika kwa misingi ya imani za kidini, hayawezi kuwa loyal kwa mujibu wa viapo vyao na itawaathiri hata wale wanaotegemea dola iwaweka madarakani. Mtatoa order, ila askari kabla hajatekeleza hio order, atajiuliza kwanza...
  5. Fact Check: Anaposema "hata huko yanatokea" anamaanisha mambo gani yanatokea wapi?

    Tunaambiwa haya mambo yanatokea huko duniani, serikali ya JMT inayaona na haiyasemei kitu. Are we not comparing apples to oranges? Kama ni watu kupigwa risasi huko duniani - je, wanapigwa risasi katika mazingira sawa na yaliyotokea Tanzania? Na je, uwajibikaji baada ya matukio hayo unafanana...
  6. PostGE2025 Rais Samia: Hata wafuasi wa vyama vya upinzani walitupigia kura kwa sababu vyama vyao vilikimbia uchaguzi.

  7. PostGE2025 Tundu Lissu hata akiachiwa kwa sasa haina maana yoyote. Too late

    Hamjambo wote! 1. Ndugu zangu Watanzania, mnakumbuka miezi ya nyuma kidogo niliandika nyuzi takribani tatu mfululizo nikiisihi serikali kumiachia Tundu Antipas Lisu. 2. Nafikiri wengi wenu mnakumbuka. Niliandika vile kutokana na sababu kuna Jambo na mambo mengi niliyaona katika spiritual...
  8. PostGE2025 Jaji Chande: Kuhusu mgongano wa kimaslahi kwa Dkt. Stergomena kuwa kwenye Tume isiwape tabu, wote tumekula kiapo

    Akijibu swali la mwandishi kuhusu uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Tax, kujiunga na tume ya kuchunguza yaliyotokea wakati wa uchaguzi pamoja na kuwepo kwa tuhuma kwamba Jeshi analolisimamia lilihusishwa na mauaji ya waandamanaji, mwenyekiti wa tume...
  9. Q

    AU haitashirikiana na serikali ya Guinea-Bissau ambayo haijaua hata mtu mmoja. Serikali ya Samia imeua watu zaidi ya elf 10, alafu AU ipo kimya.

    Umoja wa Afrika (AU) umeisimamisha nchi ya Guinea Bissau kushiriki katika shughuli zake zote, siku mbili baada ya jeshi kumpindua Rais Umaro Sissoco Embaló. Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU, Mahmoud Ali Youssouf, amethibitisha kusimamishwa huko, akisema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia ukiukaji wa...
  10. Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  11. Q

    D9 dunia nzima itakuwa inaiangalia Tanzania, kitendo cha kuua hata mmoja tu itakuwa One Way Ticket to ICC

    UN is watching YOU. AU is watching YOU. EU is watching YOU. SADC is watching YOU. ICC is watching YOU. EAC is watching YOU. COMMONWEALTH is watching YOU INTERNATIONAL NGO's are watching YOU. COUNTRY FRIENDS are watching YOU. NEIGHBORS are watching YOU. YOUR FRIENDS are watching YOU. TANZANIA...
  12. Kama unaweza anza kuhifadhi pesa kwa Pesa za kigeni kama USD au hata Ksh

    Wana ukumbi very soon tunaenda kushuhudia yale ya Zimbabwe verry soon. Kama unaweza hifadhi pesa kwa USD hata ikibidi Ksh, Mfano nawaza kuanza kuhifadhi kwa Ksh kuanzia sasa make niko jirani nao
  13. Sema Kweli Hata Kama Watu Wataipuuza Au Kuikataa

    Eze 2:7 SUV [7] Nawe utawaambia maneno yangu, kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana. Agizo alililopewa nabii Ezekieli ni kusema na Israeli waliokuwa wanaasi na walio wagumu wa mioyo. Kazi yake ilikuwa kuhakikisha ujumbe wa Mungu unawafikia watu hawa, bila...
  14. PostGE2025 Jenerali Jacob John Mkunda Hafai Hata Kuwa Mkuu wa Sungusungu

    Nadhani baada ya kifo cha Rais Magufuli, mrithi wake alitafuta jenerali dhaifu zaidi jeshini ili ampe nafasi ya ukuu wa majeshi ndipo alipomteua ndugu Jacob John Mkunda mzaliwa wa Morogoro na kumpa jukumu hilo kubwa kuliko uwezo wake. Huyu bwana amejikuta akitumika kulinda maslahi ya dola na...
  15. TEC wanatoa Tamko moja. Wananyamaza. Sisi tunatoa mia moja hawajibu hata moja. Ni Dharau

    Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana. Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
  16. Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

    Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana. Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote. Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote . Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE. SASA , Onyo...
  17. Msigwa hata kama ungepewa nafasi ya kuijibia serikali ungejibu nini? Kuwa watu hawakuuliwa?

    Naomba unijibu kama mtu ambae anatumia common sense. Sio akili za kulinda kitumbua na ugali kama Maliyamungu wa Iddi Amini. Rais Samia katamka hadharani kuwa baada ya vijana kuimba kuwa wataka kama ya Madagascar watu waliuliwa. Uhalifu ulifanyika Je, ulihataji kuzuiwa kwa mtutu wa bunduki...
  18. M

    PostGE2025 Ndio kusema. Mama hataki hata kuonana na raia? Mbona hayati JPM alikuwa anapungia watu mikono!

    Msafara wa Mama Samia umipata hapa Arusha si muda mrefu ukielekea KIA cha ajabu ameshusha mapazia kwenye gari yake. Mbele anaonekana amekaa mpambe wake yeye haonekani wala hapungi mkono kwa wananchi kama.ilivyokuwa kwa JPM Hataki kuonana na wananchi?
  19. H

    Ni muhimu sana Watanzania tujenge utamaduni wa kujadiliana kwa hoja zenye staha hata pale tunapotofautiana kimtazamo

    . Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa. Matusi, kejeli na dhihaka haziwezi kuleta suluhu ya changamoto zetu kama Taifa. Badala yake, huchochea hasira, kuharibu...
  20. Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ?

    Mpaka sasa hivi tangu serikali imejichagua yenyewe na kuapishana hakuna hata mmoja aliyekuja mbele ya umma sasa wanaongoza wakina nani ? Nilisema hakuna hata mmoja kati yao mwenye huo ubavu, na hali ya uwepo wa maandamano yasiyo ya kikomo ndio wanachizika kabisa Kitakacho tokea sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…