harufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Athuman Yahya Ayubu

    KERO Stand kuu ya mabasi Msamvu vyoo vyake vinatoa harufu mbaya

    Stand kuu ya mabasi msamvu vyoo vyake vinatoa harufu mbaya sna upande wa mabasi yanayoelekea dsm huwezi kukaa kwa sababu ya harufu inayotoka mule usimamizi wa stand tunaomba mmwage dawa ya kukata harufu abiria tunateseka
  2. A

    KERO Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Msamvu, Morogoro vinatoa harufu kali na mbaya

    Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Msamvu vinatoa harufu kali na mbaya kiasi cha kuwafanya abiria washindwe kukaa kwa amani katika eneo la mabasi yanayoelekea Dar es Salaam. Hali hiyo inasababisha usumbufu mkubwa kwa abiria wanaosubiri usafiri, kwani harufu inayotoka kwenye vyoo hivyo imeenea hadi...
  3. Zee la madawa

    Nini inasababisha wanawake wengi ( slay queen) kutoa harufu mbaya ya mdomo?

    Aisee hii inakera sana utakuta mdada amevaa vizuri na anavutia vizuri tu ila ukimsogelea ukitaka kumuongelesha ile anafungua tu mdomo wake anatoa harufu mbaya ya mdomo tena mbaya mpaka inafikia anaharibu hali ya hewa aisee hii sio mara moja yaani kati ya Maslay quuen 10 ninaoongea nao 8 au 9...
  4. A

    KERO Wakazi wa Kongowe na Misugusugu tunateseka na harufu kali kutoka kiwanda cha pombe

    Wakazi wa Kongowe na Misugusugu, Kibaha, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya harufu kali inayotoka katika kiwanda cha pombe kilichopo Misugusugu. Harufu hiyo hujitokeza zaidi kati ya saa 7 na saa 9 usiku, wakati ambapo wananchi wengi wanakuwa wamepumzika. Hali hii inatukosesha utulivu na...
  5. A

    KERO Njia ya Pugu Road (Vingunguti hadi Jet Corner) kuna harufu kali, sijui tatizo ni nini?

    Wale tunaoishi na kufanya shughuli zetu Pugu Road, kuanzia Vingunguti hadi Jet Corner kipindi cha nyuma eneo hilo lilikuwa na hali ya hewa nzuri, lakini siku hizi hali imebadilika, kumekuwa na harufu mbaya na nzito ambayo wakati mwingine inafanya iwe vigumu hata kufanya kazi na kuendelea na...
  6. N

    Kambaka samaki akidai ana harufu kama sehemu za siri za mwanamke

    Mwanaume mmoja ameripotiwa kukamatwa baada ya kutuhumiwa kufanya kitendo cha ukatili wa kingono dhidi ya samaki, huku akidai kuwa alifanya hivyo kwa sababu samaki huyo alikuwa na harufu aliyodai kufanana na ya sehemu za siri za mwanamke. Taarifa kuhusu tukio hilo zimeenea kwa kasi kwenye...
  7. battawi

    Kukosa Harufu Miaka 3: Madaktari Nisaidieni

    Ndugu wana jamiiforum hasa madaktari, mimi ninashida ya kukosa kusikia harufu kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. Madaktari wamejaribu kunipa dawa za ku spray pamoja na vidonge vya alegy lakini bado sijapata nafuu yoyote. Naomba msaada kwenye tuta. Nipigie I 0773 031227
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    Nataka kufungua kiwanda cha Condom, vikinga Ukimwi+STDs na dawa za kuzuia harufu mbaya kwenye papuchi

    Bidhaa nitakazo zalisha kiwandani ni 1. Condom (bei ya jumla 500/= condom 3) 2. Mafuta ambayo unayapaka kwenye mkuyenge kabla hujamla mtoto ukishapaka unakula kavu kavu na hupati maambukizi ya HIV wala STDs zote. (bei ya jumla ni 8000/= 3. Tiba ya kuzuia harufu kwa wadada maana sikuhizi kati ya...
  9. A

    KERO Responded Mwenzetu Warioba yupo ICU - Hospitali ya Kwangwa, Watumishi wanatubambikia bili zenye harufu ya Rushwa

    Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani akapishana kauli na hao watu ambao walianza kumshambulia na kumuumiza vibaya. Kwa sasa anapigania maisha...
  10. Parabolic

    Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria

    Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...
  11. A

    DOKEZO Harufu ya upendeleo, upigaji uagizaji wa mafuta Tanzania, bei zikipanda

    Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta. Ongezeko hilo limehusishwa na vita kati ya Iran, Israel na Marekani, ambavyo vilisababisha mshtuko mkubwa...
  12. N

    Mwanamke akiwa na harufu namuacha aisee

    Habari. Mimi sijui nina shida gani wazoefu. Nikibahatika kulala na mwanamke yoyote nikakutana na harufu kali Ile ya shombo nashindwa kuelewa sijui wanawake hawajijui kama baadhi wanatoa harufu. Aisee hata niwe serious vipi na wewe kwa mahusiano Tutaachana Tu
  13. M

    Huwa unatumia nini kuifanya nyumba yako iwe na harufu nzuri?

    Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu murua sana hutatamani kutoka ukiingia. Kuna njia za Kiasili ambazo wengine hutumia kwenye nyumba...
  14. Mshana Jr

    Harufu zinazokera

    Panda usafiri wa wengi baada ya kazi utakutana na harufu za kila aina.. Na zinakera hasa.. Na zikiwa combined unaweza kupata kinguzumkuti cha kiafya . Midomo inayonuka . Vikwapa .Janabha . Pad za mp . Boxer zilizorudiwa kuvaliwa bila kufuliwa . Vifuniko vya asali vichafu . Jasho sehemu za...
  15. C

    Je, kuku ana uwezo wa kunusa harufu ? nilifanya utafiti huu nikagundua anaweza kutambabua harufu

    Muda si mrefu nitachapisha makala yangu kuhusiana na hili na nitakuja kuiuza humu JF Naomba niwapitishe kidogo kwenye utafiti nilioufanya na namna nilivyofanya I1li kutambua kweli kuku wanatumia macho tu kutofautisha chakula au wananusa harufu pia. Nilichukua nylon ambayo ilikua imewekewa...
  16. Pdidy

    Yanga yagoma kuingia vyumbani kuna harufu kali nzito...Kumeanza kuchangamka

    UPDATES 👇 Kikosi cha Young Africans kimegoma kuingia na Kukaa kwenye vyumba vya kubadilishia wakidai kuwa kuna harufu mbaya, inaelezwa Yanga SC wamepuliziwa dawa vyumbani. Yanga SC ni wageni kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya NBC dhidi ya Azam FC, Benjamin Mkapa. Mr. Reporter
  17. O

    Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  18. A

    KERO Kuna harufu mbaya na kali katika Soko / Machinjio ya Kuku Shekilango (Dar es Salaam)

    Ukipita barabarani maeneo ya Shekilango unakutana na harufu kali sana ya uozo inayotoka machinjio ya kuku yaliyopo ndani ya Soko la Shekilango. Hivi Manispaa husika Ubungo / Kinondoni wameshindwa kudhibiti hali hii? Afya za walaji wanaoenda kununua na kuchinjiwa kitoweo cha kuku ikoje? HAPO...
  19. kanjuki

    Kwenye hii michango ya shule za umma kuna harusi ya ufisadi

    Habari ndugu watanzania wenzangu, sera ya elimu kwa sasa katika shule za umma ni elimu bure yani wewe mzazi jukumu lako mzazi ni kumuandaa mtoto na kuhakikisha mtoto anafika shule, lakini katika uhalisia ulivyo kwa uchunguzi wangu unakuta michango ambayo unatoa ili mtoto apokelewe shule ukipiga...
  20. Abraham Lincolnn

    Umeunguza mboga badala ya kuzima moto unapuliza perfume kuzuia harufu isisambae

    Kwa sisi wakatoliki, Unapoenda kutubu dhambi, Jambo Moja la msingi, Lazima ukiri na utamke kwa kinywa chako kwamba aidha ulizini, Uliiba, Ulisema uongo nk. Kabla ya kwenda kukiri lazima uwe umejutia na udhamirie kuziacha, na kama kutakuwa na malipizi itakupasa kukamilisha kwa ajili ya ondoleo...
Back
Top Bottom