Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
Hello everyone,
I have been using CT Pool for 2 weeks and I like it.
It's a cloud mining app. You don't need to buy a machine or pay for electricity. They give you a free Pool Miner when you register. You just click Activate and it mines by itself. Your phone doesn't get hot or use battery...
Watu wengi wanaona ujenzi unaendelea kila mahali na kufikiria kuwa kufungua hardware moja kwa moja ni biashara yenye faida. Lakini ukweli ni kwamba, hardware yenye bidhaa nyingi si lazima iwe hardware yenye faida kubwa. Mafanikio yanahitaji mipango, eneo sahihi, bidhaa zinazohitajika na...
Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya.
Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa.
Natanguliza shukrani
Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport au mambo ya common market, hayo yatakuwa Tu yenyewe tukiwa, tunataratibunnzuri za maisha.
VN HARDWARE ni duka la kisasa la vifaa vya ujenzi linalolenga kutoa suluhisho kamili na la kuaminika kwa sekta ya ujenzi.
Tunajihusisha na usambazaji wa vifaa bora vya ujenzi kwa mafundi, wakandarasi, kampuni na wateja binafsi, tukizingatia viwango vya ubora, ufanisi na huduma ya kitaalamu...
Habari wakuu,
Nina wazo la kuanzisha workshop ndogo ya furniture specifically milango na frame za mbao kwa lengo la kupanua wigo wa biashara na ku compliment biashara ya hardware mfano kuongeza mzunguko wa bidhaa zitakazohitajika katika matengezo ya milango au zinazotoka na milango mfano Vitasa...
Habari wadau wa jukwaa hili.
Mimi ni kijana na mfanyabiashara wa vifaa vya ujenzi niko Dar wilaya ya Kigamboni.
Biashara hii nimeianza miezi miwili iliyopita, changamoto niliyonayo ni mtaji mdogo (nimeweka Tsh 9mil ukiachana na gharama za kodi, shelves na matengenezo mengine madogo madogo)...
Ndio maana wengi wanakimbia ukanda huu wa biashara
Unakuta unakosa nguvu na kuwa na variety nyingi dukani za kuvuta wateja wasiondoke kwa maana wasikose bidhaa fulani dukani kwako
Kwa hio kama unaingia katika sekta uwe vizuri financially, tofauti na hapo utakaa ndani unahesabu mabox.
Amani iwe nanyi, watu wa Mungu.
Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli.
kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu.
1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji)
Advantage:
-Connection ya mafundi na mimi...
Habari wanajukwaa,
Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector katika ujenzi kwa kuanza na hivi vifaa 👇🏻
Electrical items
Insulation tape
Bulb enery savers...
Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo ni Nafaka, vifaa vya simu pamoja na umeme, mwisho ni hardware.
Nafaka nilitaka nideal na maharage...
Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki.
Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi.
Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vinavyo toka kila siku mfano Vitasa vya mlango, Rangi 5L, Misumali n.k...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.