Kama hawa wabunge wanaoitwa COVID -19 ni haramu ni kwa nini Chama kinapokea (kama kinapokea) ruzuku inayotokana na watu haramu wanaovunja ibara ya 78(e) ya Katiba ya JMT inayotabanaisha kuwa ili mtu awe mbunge ni lazima atokane na chama cha siasa?
Bila shaka hii ni danadana tu ilihali akina...
Habari wakuu,
Hili swali nimekuwa najiuliza kitambo. Pombe ya gongo ni haramu na inawaangamiza raia wengi kiafya. Pamoja na kupigwa marufuku lakini bado inatengenezwa na kuuzwa kwa kificho.
Hakuna mchakato wa kitaalamu wa kuipitisha pombe hii kwenye mitambo ya kisasa ya distillation na kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.