Wadau leo nilibahatika kumsikia Mzee ktk mahojiano yake na Salama. Ktk kipindi kile nili note kauli mbili ambazo zimenifanya nibadilishe mtazamo kuhusu uislamu na baadhi ya vitu.
1. Kumbe nyama ya Nguruwe sio haramu, ktk uislamu muumin anaruhusiwa Kula kitimoto endapo hamna kitu Cha Kula...