hana

  1. Huyu CEO wa simba hana uwezo wowote, naomba ajiondoe mapema before too late

    Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe kabla hajatolewa kwa nguvu kwenye hiyo nafasi, amepelea hana uwezo, hajiwezi. simba inahitaji...
  2. H

    PostGE2025 Rais Samia hana kosa lolote makosa yako kwenye wingi wa wasaidizi wabovu anaowakumbatia

    Habarini,ni wazi uongozi au jeshi bora siku zote hutikana na watu wake wa chini kuwa bora kwa uadirifu katika nidhamu,hekima,ukweli na uwajibikaji. Wasaidizi wengi wa Rais ni mamburura wa kutupa wanaomuingiza chaka Rais kwa kumpa taarifa za uongo na utendaji kazi wao mbovu. MaRC, maDc, maDas...
  3. Ina maana hana taarifa za utekaji?

    Hotuba nzima sijaskia suala la utekaji likizungumzwa licha ya kuwa moja ya ajenda kuu za watu walioandamana siku ya Uchaguzi Ameongelea katiba Japo majibu hayaridhishi ila walau ameongelea Ameongelea Serikali iliyopo kung'oka madarakani, kimsingi sijaridhika na alicho sema ila najua ilikuwa...
  4. Muliro anaonekana hana furaha kabisa.

  5. Mzee wa Mawe hana hata mwezi mmoja tangu achaguliwe kuwa bosi eti kashawamisi jirani zake, Michezo

    Huyu hata wiki tatu hana ofisini. Anajifanya kuwamiss majirani zake, michezo hii. Kuna muda anajaribu kujifanya kama Banza Stone lakini hafit kwenye maigizo yake. Mwambieni abadili script bhana, anachuja mapema
  6. Shetani hana rafiki: Israel yatimua Majenerali wake sababu ya October 7, 2023

    Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe. 1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General...
  7. R

    Kwwli Trump hana interest na TZ?

    Mauaji haya nilitegemea ayasemee kidogo
  8. Sheikh Alfarouk: Kwenye kuapishana kwenu msitumie Msahafu. Mtu hana udhu anakama? Acheni kufanyia kejeli

    Sheikh Haji Alfarouk; "Endeleeni na Siasa zenu, kwenye kuapishana kwenu, msikamate Msahafu, kwasababu mnachoapia ninyi ni kuilinda Katiba mpaka kufa kwenu. Mtu yupo kwenye siku zake anachukuwa Msahafu anaapa, Sheikh awataka Viongozi wa Kisiasa kuachana na kitabu kitakatifu cha Quran"
  9. B

    PostGE2025 Eti yaliyotokea "yametutia doa kidogo." Damu za maelfu kumwagika ni doa kidogo? Unakosa utu kiasi hicho?

    Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo. Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo. Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja janja ya kutuandaa ki saikolojia ili auze, agawe, na kuhondomola ardhi na migodi na misitu na mali...
  10. PostGE2025 Rais hana Mamlaka Kisheria ya kutoa msamaha kwa washtakiwa/watuhumiwa

    Wakuu vyombo vyetu vya habari ni vimepigwa ganzi! Wasomi wamepigwa ganzi! Nawaelewa maana nchi hii kupotea ni dakika. Juzi rais anasema amewasamehe walioshtakiwa! Kimsingi rais hana mamlaka ya kusamehe washtakiwa/watuhumiwa. Prerogative of mercy ambayo rais anayo ni kwa watu...
  11. S

    Kwanini Mungu wa biblia na quran anapewa sifa ambazo hana?

    Ni Mungu mwenye huruma... Ni Mungu mwenye nguvu.... Kweli huyu ni Mungu wa mchongo.
  12. M

    Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  13. Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  14. Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  15. J

    Huyu Samia ana tabia kama za Milton Obote. Kwanini hajitokezi na kulituliza Taifa? Je, hajali, au hana uwezo?

    ..hivi ni kwamba hana uwezo? ..au hajali haya yanayoendelea? ..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi? NB: ..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
  16. M

    Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  17. Suluhu hana suluhisho, ubabe wake umefikia mwisho, jukwaani anatoa mipasho, hoja zake hazina mashiko.

    Yule fedhuli mwenye roho ya korosho, Mwenye hoja zisizo mashiko, Anadhani katiba ni hadithi za esopo, Kila mara hutoa boko, Kwasasa amekosa soko, Kila kona mi miwasho, Mikali zaidi ya ile ya uamsho, Ataipata ya joto, Kiti kitawaka moto. Wahuni wenye mikoko, Wanaotegemea pisto...
  18. Njaa imetanda Sudan huku wakiuana na kuchinjana hadi basi tu, binadamu amechafukwa hana huruma

    Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
  19. Waungwana kama kanji hana mnara huyu jamaa ajengewe mnara chapu

    Haiwezekani huyu jamaa anavyo tupuna na kutupukutisha asiwe na mnara aisee duh Huyu jamaa hata uji wa mgonjwa haachi achiliambali wa mtoto Haiwezekani mshahara wa mwezi mzima apitenao shwaa hata chenchi asinibakishie Ina maana kesho naenda kazini by foot. Shikamoo kanji
  20. Mnaowapondea Wapare, mbona huyu wangu hana hizo tabia?

    Ile trend ya wapare wachoyo +wachawi mbona uyu MARIAM wangu Hana hayo anapenda tu makande Mzuri mcha Mungu muelewa au bado navutiwa timing?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…