KUELEKEA SAFARI YA MARIDHIANO YA KITAIFA: RAIS SAMIA AFANYA MASHAURIANO NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo, tarehe 16 Novemba, 2026, amekutana na kufanya majadiliano na wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ikulu jijini...
Nimekutana na kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 na kwa sasa tiyari amesomea masuala ya ufundi magari kupitia VETA, kwa sasa hana kazi rasmi abayo ameajiriwa lakini hakosi kazi za hapa na pale.
Lakini kijana huyo kaja na wazo ataka awe mtengenezaji vipindi kupitia mtandao wa You Tube na awe...
Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya.
Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni.
Kwa mujibu wa matokeo ya...
baada
bila
bungeni
hana
israel
kiongozi
kukosekana
kuongoza
kushikilia
kuwa
madaraka
mkuu
mpya
muafaka
nchi
ndogo
netanyahu
nguvu
rais
serikali
uchaguzi
viti
vyama
waziri
waziri mkuu
zaidi ya
Habari ndiyo hiyo!
Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State
=====
Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
NI jiji la mwanza tulivu mida ya asubuhi baba kiki akifanya usafi kwenye duka kubwa la electronics, fridge, tv, pass, maredio nk
Amevaa nguo za ghaarama nyumba anayoishi ni ya gharama, watoto wake wakisoma chekechea za gharama kipindi hicho, mkewe mama kiki sijui ni mlinganishe na nani ili...
Tunakoelekea waziri Mkuu na Makamu watatumwa mpaka kwenye vibao kata, ili hali sio shughuli za kiserikali.
Ila sishangai maana Kizimkazi festival, huwa inasababisha watumishi wa umma wote kufunga ofisi za umma na kwenda kukata viuno kule Zanzibar Kizimkazi ili mama afurahie mauno ya watumishi...
tangu mwanzo tunajua lisu hana hatia tunajua aliyefanya mauaji kwa hiyo bado tunataka uwajibikaji kwa wauaji kwa sababu wanajulikana.wauaji laana yenu ipo palepale mtalipia SAMUYA and co.
Hamjambo wote!
Lema anahaki ya kuongea atakachoongea. Kulingana na maoni yake yanayoendeshwa na uelewa wake, maslahi yake na na muono wake. Hiyo ni haki yake.
Lakini Lema atafanya Kosa la kiufundi ikiwa atadhani anaushawishi ndani ya CHADEMA.
Huo ushawishi hana.
LEMA ajue Chadema ndio...
Watekaji, kama ni kweli msimuue Twaha Mwaipaya!
Hana kosa, hata kama ana kosa mpelekeni mahakamani!
Chances are very feeble kuwa atasalimika maana hii ni mission from Malawi!
Unadhani changamoto yake ni nini hata ang'ang'ane YouTube tu, tofauti na maaskofu, wachungaji, mitume na manabii ambao hawana ukongwe sana katika kuhubiri, lakini wamejitanua hadi nje ya YouTube, na wamejizatiti mpaka kufikia hatua ya miliki channels zao wenyewe kwenye visimbuzi mbalimbali...
Na kwahivyo,
hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV.
Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake,
kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS.
Matukio ya Rais wa...
bado
hana
huyu
kimya
kutumia
maadili
mawakili
mbona
mpya
ofisi
ofisini
rais
rais wa tls
shutuma
tls
tuhuma
tunataka
uchaguzi
uchaguzi wa rais
uchunguzi
vurugu
wakati
watanzania
Hii kitu ni nzuri kwa Watanzania watu CCM kugombana wenyewe kwa wenyewe.
Lakini mchengerwa ni fisadi na mwizi hawezi kumshutumu Mtanzania yeyote
Zile frem za mbagala pembeni ya kituo Cha mwendokasi atuambie ametoa wapi pesa za kujanga frem pale?.
INASHANGAZA KIJANA ANASIMU KUBWA LAKINI ANASEMA HANA OFFICE WALA KAZI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Shahidi.
Moja ya mambo yanayonifanya nishangae ni kuona kijana wa miaka 18 -40 mwenye simu kubwa lakini anakuambia sina office, sina kazi, na analalamika, anashutumu, analaani watu wengine...
Hapo VIP!
Kitendo cha TFF kuwakataa marefaa kutoka nje kuchezesha Darby,na kulazimisha Arajiga achezeshe Darby,ni kitendo cha kuthibitisha yakwamba mwenye uwezo wa kuifunga Simba ni Arajiga Na sio yanga kama yanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.