Hamu is a surname and given name. Notable people with the name include:
Ana Hamu, Māori woman
Bruna Hamú (born 1990), Brazilian actress and model
Hamu Kayondo (born 1990), Ugandan cricket player
Hamu Shiru (died 1932), Yezidi tribal leader
Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa.
Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi.
Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza...
Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo...
Nilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga,
Moringa aka Falcao, tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo.
GSM mna dhambi sana
Mimi ni kijana in my 20's miaka michache iliopita nilikuwa tongoza tongoza na nilikuwa nabadilisha sketi, nkaacha, badae nikawa na tabia ya kununua makahaba wanaojiuza barabarani, baada ya muda nilipima hivi Mara mbili, nikajikuta niko salama, Nilijitafakari na sikuona faida wala tuzo ya hayo...
Miongoni mwa Wadada na Wanawake ambao wapenda Demokrasia Tunasubiri Kwa hamu watimiliwe CHADEMA ni huyu Jesca Kishoa.
Ambaye amefanya CHADEMA Iramba kama KIKOBA !Kwa Unafiki ambao amekuwa akitufanyia na kutufanyia sisi punda wake.
Hakika kama Kuna kitu Cha Maana ambacho Baraza Kuu litafanya na...
Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika.
Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina...
hakuna shaka na itabaki kuwa hivyo. baada ya Mwalimu Nyerere alietusaidia kuupata uhuru wa Tanganyika, Dr. John Joseph Pombe Magufuli anabaki kuwa Rais bora wa wakati wote.
kizuri hakikosi kasoro. agenda yake ya kutaka kufuta upinzani haikuwa nzuri na hilo nilimpinga waziwazi kwa kumnyima kura...
Natamani sana kuwa na watoto, ila nina mambo yanayonikosesa furaha kila nikiwaza juu ya kuwa na watoto,.
Miongoni mwa mambo hayo nina makubwa mawili nayo ni;-
1. Umasikini, Umasikini ni janga kubwa kwa upande wangu, huwa nakosa amani pale ninapoiona kesho ya watoto wangu kwenye swala...
Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa.
Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla.
Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa.
Je nitakua nina matatizo kiafya.
Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana.
Jana jmos asubuh tuliongea akanambia amenimiss ananihitaj niende kwake ila kutokana na majukumu ya kikazi nikamwambia sitoweza...
Yapata mwaka sasa kuna magreda yamekaa tu pale jangwani. Yakienda kushoto na kuhamia kulia. Mara kati kati. Nasubiri kuona je! Haka kamvua ka kawaida hakato payumbisha. Na pakiyumba nini itakuwa shida?
NAPENDA sana kuogelea lakini Nikiwaza kwenda kuogelea maji ya baharini/Ziwani kuna mtihani mwingine huwa naogopa kuogelea maji ambayo sioni ndani yake kuna nini kwa kuhofia nyangumi, wanyama wa majini na mazingaombwe ya majini!
Hivyo sehemu pekee ya kistaarabu ni Swimming pool lakini huku nako...
Kweli Rau madukani acha paitwe Rau madukani.
Ni hivi,juzi nilikutana na dada mmoja mrembo sana pale Rau madukani anaitwa Reah.
Nikatupa ndoano akanasa fasta sana bila kusumbua hata kidogo. Tukapanga tukutane jioni kwenye dina ili tuzungumze kidogo.
Sasa kipindi tunapata dina bidada akaanza...
Kwema wasomi?
Kuna jamaa angu ni in service wa halmashauri moja hapa Tanzania, mwaka 2019 alinifuata kuniomba ushauri wa program na chuo cha kusoma hapa Tanzania, kwa uelewa wangu kiasi niliokua nao kwa kipindi hicho, nikamahauri ni Bora atafute chuo cha private walau huko kunakua na unafuu na...
Eeh bhana maisha bado yana safar ndefu..tunaendelea kuishi na kitu pekee napenda maishani ni ubunifu wa jinsi ya kuishi vizur na kwa furaha na binadamu.
Before 2018 nilikua mtu wa kukutana na mabinti wengi wanao nipenda baadhi nikapendana nao pia, hatukuweza kudumu kwa sababu mbalimbali...
Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku.
Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba.
Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili...
Get it now.
This machine is manually operated.
It has no any technical problems.
Not repainted at all.
located at kunduchi Dar es salaam.
Priced at 3.6million Tshs
come with your technician and get this drive.
Hotline: 0625750755
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.