halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,036

    Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene...
  2. Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto

    Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto. Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
  3. Tuliifurahia squid game, ila kwenye maisha halisi sio rahisi

    Nilisikia hii series ikitamba sana na ikapata umaarufu mkubwa watu walipokuwa wanauawa kwenye game na kujishindia pesa nyingi. Tangu game ya kwanza mauaji yaliyokuwa yanafanyika hayakuwa justified lakini ile movie ilipata umaarufu mkubwa. Waliopenda game ile ni watu wengi ikiwemo watu wa haki za...
  4. Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

    Hamjambo! 1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi. 2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe. 3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
  5. Unakumbuka nini kuhusu Radio Free Africa Mwanza, Hizi zilikuwa Enzi halisi za Kusikiliza RADIO

    Enzi zile RADIO FREE AFRIKA ilikuwa moto wa kuotea mbali! Moja ya redio zilizofanya mapinduzi makubwa kwenye burudani, elimu na vipindi vya redio Tanzania. Hapa tunawakumbuka watangazaji waliotikisa nchi na vipindi vilivyotupa utamu ambao watoto wa 2000 hawaufahamu kabisa 😄👇 Orodha ya...
  6. A

    Maana Halisi ya NRNE (No Reform No Election)

    Kume kuwa na tafsiri potofu ya baadhi ya watu kwamba NRNE ni Ku hamasisha uvunjifu wa Amani, wakati No Reform No Election, maana yake Halisi ni kwamba uchaguzi unaofanyika katika mazingira yakuto kutoa nafasi sawa kwa wengine ni sasa Sawa na kutokuwepo Kwa uchaguzi. Wahusika wajitafakari na...
  7. Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

    Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
  8. Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  9. Dkt. Mwigulu Nchemba aunga mkono ununuzi wa jezi halisi (original), anunua jezi 200 za Simba

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameunga mkono kampeni ya kununua jezi halisi (original) za timu ya Simba SC, akitoa rai kwa wapenda soka wote kuepuka jezi bandia (feki). Dkt. Mwigulu ameunga mkono kampeni ya kuhamasisha mashabiki kukataa jezi feki na kununua orijino kwa kununua jezi 200...
  10. USHAURI WA KWELI NA HALISI vijana msiangaishwe na neno VIBAMIA

    Huwezi shindana na tundu linalofyatua mafuvu ya kila Aina. Kimapana na kimarefu huwezi. Tafuta pesa kula mlo Safi(IKIWEZEKANA WA ASILI) fanya mazoezi jipende penda familia yako (KAMA UNAYO)ishi kwa furaha. Vibamia ni neno la kuwadhoofisha vijana kifikra wasijikubali walazimishe kidole kizame...
  11. GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
  12. KWELI Kati ya picha hizi, moja ni halisi na nyingine imehaririwa kwa Akili Unde

    Mdau shiriki kuthibitisha kati ya picha hizi mbili, ipi ni halisi? Bainisha tofauti tano zilizopo katika picha hizi.
  13. L

    GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Ndugu zangu Watanzania, Unaweza ukashindana na yeyote yule hapa Duniani katika jambo lolote lile. lakini kamwe huwezi kushindana na kumshinda Mtu aliyepewa kibali na Mungu katika Jambo fulani. Huwezi kushindana na Mbarikiwa wa Mungu.Huwezi kushindana na kusudi la Mungu. Huwezi kuuzuia wakati wa...
  14. M

    Polepole kamilisha kazi ya chuma, tuletee majina halisi ya wauza sembe nchini

    Polepole Polepole Polepole nimekuita mara tatu. Unakumbuka vizuri chuma mwanzoni mwa uongozi wake alitikisa watu kwa kuibua list ya wauza sembe nchini. Wengi walitajwa, na bila shaka chuma aliamua kusitisha ile operesheni. Sasa hebu tuletee list ya wauza Sembe ili Jamii iwaepuke, iwaogope...
  15. Maana halisi ya Demokrasia ni mgawanyo wa madaraka kwa zamu, bila kujali ubora wa kiongozi

    Kumekuwa na kauli za "Hata hao wapinzani na wao wanapigania matumbo Yao, utasikia mtu anasema hata huyo LISSU anajipambania yeye na familia yake" Ni ukweli kwamba hata tukiwapa nchi chadema wataila wanavyotaka, lakini ndio demokrasia inavyotaka. Lengo la Demokrasia ni kuua tawala za kifalme na...
  16. Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
  17. G

    Kama taifa linawategemea hawa, basi tusahau kabisa maendeleo halisi

    Nimefuatilia yanayoendelea hapa nchini kwetu, nimejukuta nikijiuliaza swali, hawa ndio viongozi wa kutuletea watanzania maendeleo tunayoyatamani kama nchi? Kesi ya Lissu bila shaka watu/viongozi wanaotegemewa walikaa wakapanga kumpa kesi ya uhaini ili kumkomesha. Sasa angalia aina ya mashtaka...
  18. Tetesi: Aliyekutana na Trump Alaska hakuwa Putin halisi, alikuwa ni moja ya watu waliotengenezwa kufanana na Putin

    Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin. Ushahidi unaotolewa... Inaonekana huyu anamashavu makubwa. Pili hatembei kijasusi kama Putin halisi (KGB au...
  19. Kwanini picha hii sio halisi?

    Taja sababu moja tu ambayo haina maelezo mengi
  20. Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…