hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    JamiiForums Tanzania SARCOPENIA: Hali ya afya ya kupoteza misuli katika mwili

    Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Waliopatwa na hii hali karibuni tufarijiane

    Nadhani kufanya kazi mochwari kuliniathiri sana.. Nilikuwa siogopi picha za kutisha.. Nilikiwa siogopi damu Nilikuwa Niki post picha za kutisha halafu watu wakaogopa nilikuwa nawashangaa sana! Ila kwa kuheshimu hisia zao wakiniomba kuzifuta nilikuwa nafanya hivyo! Sasa kuna hii hali...
  3. Mallerina

    JamiiForums Tanzania Hii Hali inatokana na Nini ?!

    Habari Nafupisha hii mada Kuna huyu mtu nilipanga kumtembelea kwanzia December nitoke mkoa A mpka mkoa B Things went as we planned...ila cha kushangaza tukiplan kuhusu hio safari nikilala tu naota ajali tu ikabidi nimwambie sikukuu ziishe Hali irudi kawaida nitamtembelea... Tukazidi...
  4. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Hali ya Tanzania ingekuwaje kama kisingewaka kwenye MO29 ?

    Guys, Hivi mshawai kujiuliza ,Hali ya Tanzania ingekuwaje kama MO29 isingetokea? Binafsi MO29 imebadili political atmosphere ya Tanzania Kwa Hali ya juu. Kama MO29 isingetokea haya ndo yangekuwa matokeo yake. 1. Samia angekuwa ashaanza ziara za kuwashukuru wapiga kura hewa wake, angekuwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa vyuo kuna ucheleweshwaji wa hela ya kujikimu (meals and accomodations)

    Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa. Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
  6. Zawadini

    JamiiForums Tanzania Haki na amani: Mifano inayotolewa haifanani na hali halisi

    Wanajamvi; nimeamka nikaona niseme kidogo. Kumekuwa na matukio mawili ambayo yamekuwa yakielezwa kama kigezo cha taswira njema kwa yaliyotokea nchini mwetu wakati na baada ya uchaguzi. Matukio hayo mawili ni fainali za AFCON25 na uchaguzi wa Uganda. 1. Katika fainali za AFCON, watu humu...
  7. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hii ni Hali ya kawaida au Kuna Tatizo sehemu

    Salam wakuu. Bila kuwachosha Kuna Hali flani imekuwa ikijirudia Sasa nashindwa kuelewa je ni Hali ya kawaida au dishi lishaanza kuyumba Yaani Kuna Ile unatembea tembea mara umefika sehemu ukiangalia Yale mazingira na kinachoendelea pale ni kama siyo mageni yaani kama ushawahi kufika hapo kabla...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika-survive kwa saa 48 zijazo kutoka sasa. Polisi wamegoma kupokea orders

    Nafuatilia hali ya Iran, sidhani kama Iranian regime inaweza ika survive kwa masaa 48 yajayo kutoka sasa. Police wa Iran wamegoma kupokea orders za IRGC. Reza Pahlavi, ambaye ni crown prince wa Iran anayeishi nchini Marekani, ametuma ujumbe kwa majeshi ya Iran kufanya chagua la kihistoria kwa...
  10. E

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tuliosoma Basic Driving VETA Mpanda hadi leo hatujapaata vyeti vyetu. Kila tukiwatafuta wanasema tusubiri

    Kuna Hali ambayo hatuelewi. Tumesoma veta-mpanda basic short course intake ya 14/8/2025 hadi 14/09/2025 lakin kutokana na changamoto tulimaliza karibu mwezi wa 10. Lakin Hadi Leo hatujapata vyeti kila tukiwatafuta wanasema tusubirie kidogo lakini hakuna dalili yoyote Ile. Pia tulilipia...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi la Uvamizi wa Kasi na Usahihi wa Hali ya Juu

    Operesheni ya Kukamatwa kwa Rais wa Venezuela: Simulizi Linalozua Mjadala Operesheni iliyodaiwa kusababisha kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, Nicolás Maduro, na majeshi ya Marekani imeelezwa kama operesheni ya kasi na usahihi wa hali ya juu. Simulizi hilo linaeleza kuwa shambulio la ardhini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sijui nimepatwa na hali gani, kila mwezi nilikuwa nahesabu mzigo ila imepitai miezi 7 sijahesabu, nikitaka kuhesabu naahirisha au kupatwa na uchovu ?

    Mwaka unaisha huu sijahesabu mzigo miezi zaidi ya saba, kila nikitak kuhesabu naahirisha, nikifosi nakuwa sina mood kabisa. hapo zamani kila mwezi nilikuwa nahesabu
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna video inamuonesha anayesadikika kuwa ni yule Vaileth wa Matonya akiwa katika hali mbaya na uraibu

  14. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali yalalamikiwa, hali mbaya katika Shule ya Msingi Mbosho Wilayani Hai

    Shule Ya Msingi Mbosho iliyopo kata ya Masama Kati Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ni miongoni mwa Shule kongwe zilizopo Wilayani Hai. Kwa Sasa Shule hii Inakabiliwa na Uchakavu Mkubwa wa majengo ya Madarasa na Ofisi ya Waalimu. Shule hii kwa Sasa Ukiitembelea Hali yake inatisha, Majengo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Dar wameacha matumizi ya Underwear (chupi) hali ya kuwa wanaenda maeneo ya public?

    Kwa siku za karibuni imejengeka kasumba ya wanawake wa Dar kwenda maeneo ya public na kutumia usafiri wa umma hali ya kuwa hawavai underwear (chupi) ambazo huwastiri. Tabia hii imekuwa kero hususani kwa wanaume hasa ukizingatia kwamba usafiri wa umma unajaza sana hali inayopelekea baadhi ya...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

    Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu! Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa taarifa sahihi juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya kujiajiri, hali inayowarudisha nyuma kiuchumi na kuchangia

    Ukosefu wa Uhamasishaji wa Kutosha: Wengi wa vijana hawajui kuwa halmashauri hutenga asilimia 10 ya mapato yake ya ndani kwa mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu (kila kundi asilimia 4, 4, Viongozi wa halmashauri hawafanyi kampeni za kutosha kuwafikia vijana katika kata, vijiji au...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sativa ashitakiwa kwa kutoa taarifa za uongo. Mahakama yaombwa kutoa kibali cha kukamatwa kwake

Back
Top Bottom