hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

    Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310. Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tuombeane Watanzania, sababu tuna hali ngumu sana ambayo hatukuizoea

    Unafiki soo mzuri mimi nimeshaanza kumkumbuka Magufuli. Yule mzee pesa za miradi mikubwa alikuwa anapata wapi? Hakukamua wananchi wa kawaida lakini ameacha alama kabisa. Sikumpenda lakini namkumbuka sana. Nimenunua umeme wa 2500 nimepewa wa 500.Nyu mba sio yangu na mwenye nyumba hakai hapo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kama hali yako ipo hivi, taafadhali kapate chanjo ya COVID-19

    Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka 1. Umekaribia kustaafu 2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa 3. Mwenye uzito uliopitiliza 4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk 5. Unafanya kazi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Saalam! Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua, nami leo nimeona niweke wazi mambo yangu ili niweze kusaidiwa kupitia jukwaa hili ambalo kwangu limejipambanua kuwa suluhisho la matatizo mbalimbali katika jamii. Nisiwachoshe ndg wasomaji niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi. Mimi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Human Trafficking: Biashara ya Binadamu - Hali inatisha sasa! - NAFICHUA, NJOO UFICHUE

    Habarini, Leo nazungumza juu ya biashara haramu ya binadamu (human trafficking) naielezea, lengo kuu ni wote tuifahamu tujilinde na tulinde ndugu zetu. Ndio maana naomba sana kama una mchango wa mawazo, uzoefu au mifano halisi utushirikishe ili pamoja tulinde wapendwa wetu. Human trafficking...
  8. JamiiForums Tanzania Hali si shwari Msimbazi!

    Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu. Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hali ya hewa ya Dodoma imenishinda

    Baridi kali, hewa kavuu Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi, mnatumia sabuni na mafuta gani? maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi. Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
  10. JamiiForums Tanzania Ushindi wa UPDP Zambia wachina wana hali mbaya

    ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF. Africa tuna kazi sana kwa kweli
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tumefika hali hii kweli?

    Hii ni picha inayozunguka mitandaoni kuhusiana na yale yaliyokea leo. Siongezi neno lolote bali kila mtu ajionee mwenyewe.
  12. JamiiForums Tanzania Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

    Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana 1.watu wengi sana wanafungua biashara then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa 2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa 3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama...
  13. JamiiForums Tanzania Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  14. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

    Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
  16. JamiiForums Tanzania Makato na tozo yamefika pabaya, wahusika fanyeni hima mrekebishe hali

    Mimi ni mteja wa NMB Bank. Katika kurahisisha huduma zangu za kibenki, nimejiunga na huduma ya NMB Mobile Banking. Huwa nafanya miamala yangu kutoka na kwenda benki yangu. Juzi, nilitaka kufanya muamala wa kutoa pesa benki kupeleka kwenye tigopesa. Kila nikijaribu kuingia kwenye menu ya NMB...
  17. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Hali si shwari Dodoma. Wananchi waendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3, 2021 wakati akizungumza na askari wa usalama wa barabarani na viongozi wa masoko wa mkoa wa Dodoma...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera DED wa Mkuranga, Usipopatwa na hali hii inawezekana usimke

    DED nakushauri usisubiri kubanwa na haja ndogo ndo uamke. Amka hata bila kubanwa na haja ndogo. Ili Wilaya yako iweze fanya vyema. Huu ni ushauri tu. Unaweza chukua au kataa. Sitokulaumu.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo yafaa kauli mbiu iwe "Ukamataji uendelee"

    Kuna mambo dola inafanya hata waliopo CCM wamefika mahali wanakereka japo awasemi adharani. Kuna mambo yanafanyika hata familia ya Mkuu wa nchi inakereka kuona yanafanywa mbele ya ndugu yao. Ukamataji usio na tija wala mkakati ni uhuni kwenye Taifa. Leo unasikia sijui wamekamatwa watu Sirari...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…