Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Habarini ndugu,
Hivi sasa bei za bidhaa kuanzia bidhaa za majumbani kama sabuni, mafuta na vinginevyo mpaka mbolea ,vifaa vya ujenzi n.k vimepanda bei.
Bei zimekua kubwa sana kiasi mtu wa kawaida kuzimudu inakua shida.
Vifaa vya ujenzi ambavyo vingi tunatengeneza hapa hapa nchini navyo...
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni kwamba kibaruani kwangu kuna mwanamke nimetokea kumpenda sana kiasi kwamba najikuta kama sina amani...
Nyakati ngumu hutengeneza wanaume imara, wanaume imara hutengeneza nyakati zenye wepesi, nyakati zenye wepesi hutengeneza wanaume legevu, wanaume legevu hutengeneza nyakati ngumu.
Kukosa mazoezi - wengi wapo kwenye viti makazini au darasani muda mwingi, kutembea ni kidogo sana usafiri umekuwa...
Dart: Mpango wa kulishambulia jiwe kubwa la Dimorphos linalokaribia kugonga dunia wazinduliwa
23 Novemba 2021
Imeboreshwa 24 Novemba 2021
CHANZO CHA PICHA,NASA / JHUAPL / STEVE GRIBBEN
Chombo cha anga za juu kinachotarajiwa kugonga jiwe moja kubwa linalokaribia dunia kwa kasi kimezinduliwa ...
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga.
Ukame mbaya umeripotiwa sehemu kadhaa Nchini Somalia, na vifo vya watu panoja na mifugo vimeripotiwa. Takriban Raia Milioni 3.5 tayari...
Last week kulitokea kutofautiana kati ya Mkurugenzi aliyedai mafuta yaliyopo yatatosha kwa 14 days only, ghafla akarukiwa kama kifaranga na mwewe! Ndugu January akakanusha vikali mno hadi kutishia kumuwajibisha Mkurugenzi.
Kwa mtazamo wangu, naona Mkurugenzi alikua sahihi maana January...
Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua.
Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange
Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee
Eti watu waanze kupanga kazi zao
Nauona upotoshaji mkubwa sana unaoenezwa mitandaoni na mitaani kuwa ndugu Mbowe amebambikiziwa kesi kwa sababu ya mambo ya kisiasa. Mi nadhani kama kweli ingekuwa hivyo basi alikuwa tishio awamu za nyuma kwani nakumbuka huko nyuma Chadema pekee kiliwai kuwa na wabunge 70 na ushee ambapo kisiasa...
Kabla ya kuzamia "dream country" yako America, Asia au Ulaya jiridhishe kwanza na mwenendo wa nchi husika kiuchumi kwa kuangalia kiashiria kimojawapo ambacho ni GDP per capita kwa miaka ya 2019 na 2020 kwa mjibu wa data za Benki ya Dunia. Baadhi ya nchi data zake hakuna.
NB: Ndio utaelewa kwa...
UTANGULIZI.
Mkutano unao address mabadiliko ya hali ya hewa,COP26, umekuwa unaendelea Glasgow.Tunaloaminishwa ni kwamba sisi Wanadamu ndio tunaohusika kwa kiwango kikubwa na hali hii kwa kukata misitu nk.Wamefika mbali zaidi,na kudai kwamba mifugo kama Ng'ombe na hata Kilimo cha zao la Mpunga...
Habari za wakati huu wanajamvi
Naomba nitoe utambulisho kwa kifupi tu,,,,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nina mke na watoto kadhaa ni mfanya biashara hivyo hulazimika kusafiri mara kwa mara hali hiyo imekuwa inaniladhimu kuwa mbali na mama watoto.
Katika kusafiri kwangu hivi karibuni...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mamlaka hiyo kwa vyombo vya habari imeelezwa kuwa hali hiyo inatokana na kusogea kwa jua la utosi na upungufu wa mvua katika maeneo mengi ya nchi.
Aidha imeelezwa pia kwamba vipindi vya jua la utosi itafikia kilele chake mwishoni mwa mwezi Novemba wakati jua...
Ni kweli tuna unapungufu wa wanataaluma katika vyuo vyetu ila haijatokea kwa bahati mbaya. Katika vyuo vyetu hivi kama huna Surname inayofanania ni na Profesa fulani kupata nafasi ya ukufunzi hiyo ni ndoto. Katika sehemu ambazo kwa kiasi kikubwa zimejaa undugu na kujuana kwa kiasi kikubwa ni...
Hivi ni kwanini wanakimbilia kwa wingi Zanzibar ikiwa kazi zenyewe ni kama hizi? kwanini wasitulie nyumbani wakajenga taifa, ufugaji ndio umekua haulipi ama kuna shida gani? Hali ni mbaya kwa kweli, binaadam anauza utu kwa dola 100 - 200,
kwa kifupi tu watanzania tuna machungudoa wa kiume ambao...
Mzuka wanajamvi!
Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia.
Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani.
Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete.
Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
Mungu ONGEZA ukali wa JUA (SUN) maana kihakika SIWEZI fikiri pekeyangu... Hee Mungu baba saidia hao watu wafikirie zaidi hali ya hewa kuliko wanavyomfikia mtu.. Usisahau hata mvua iwe nyingi SAFARI hii maana kweli UNASTAHILI Tufanye tufikiri kwa kitu kidogo ulichokiweka hapa duniani..
1. MAANA...
Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu ziko radhi kupigwa faini kuliko kuingia vyumbani?
TUNAFAHAMU kwamba katika ukanda wa Afrika, nchi ya Tanzania ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na bei rahisi za mabando ya simu kuliko nchi yoyote hapa Afrika (Sub Saharan).
Jambo hili liligeuka kuwa silaha kwa tasnia yetu ya muziki wa Bongo Fleva katika sura ya Bara la Afrika, ilikuwa rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.