hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  2. JamiiForums Tanzania Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Mkutano wa TEHAMA Arusha ni time wastage, hali halisi ni mbaya tusidanganyane

    Yaani kuna watu kabisa wanalipana posho KWENYE UTOPOLO KAMA HUU, mnavyozungumzia watu kujiajiri na mtu akiwakuta kwenye makongamano kama haya jinsi mnavyojifanya mnaipenda teknolojia na internet huku mkitoa mifano ya nchi nyingine zinavyopiga hatua na kuzalisha ajira sababu ya internet yenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mvutano kati ya china na Taiwan hali yazidi kuwa mbaya

    Waziri wa Ulinzi wa Taiwan ameonya kuwa mvutano wa kijeshi dhidi ya China umefikia hatua mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 40 na ametoa tahadhari uwezekano wa mashumbulizi kati ya nchi hizo mbili. ---- Uhusiano wa kijeshi na China ni mbaya zaidi katika miaka 40, waziri wa ulinzi wa Taiwan...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

    Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
  6. JamiiForums Tanzania Uoga uliopitiliza ni ugonjwa wa akili au ni hali ya kawaida?

    Jacinta Wambui ni mwanamke wa miaka 24 , kutoka nchini Kenya . Hisia zake na mawazo yake pamoja na upeo wake hususani kuhusu jinsia ya kiume au wanaume kwa ujumla, ni tofauti mno na ile ya wanawake wengi wa rika lake . Jacinta amejitokeza wazi wazi kuzungumzia hali hii ambayo imegubikwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na Rushwa - 28/09/2021

    Leo tena upande wa utetezi katika kesi ya Mbowe wanaendelea kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ya kesi kubwa ambapo leo tarehe 28/09/2021 Mtuhumiwa Lig'wenya anaendelea na ushahidi wake. ======= Jaji: ameshaingia Sasa Kesi namba 16 Inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021,Jamuhuri dhidi ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vijiji vingapi vinapata umeme hali halisi?

    Nasoma kwenye Daily News ya tar. 27 Septemba kuwab"Dodoma regional Commissioner, Mr Anthony Mtaka thanked the President for supporting the region to address a number of challenges. Others are rural electrification projects saying that out of 531 villages in the region, 461 have been connected...
  9. JamiiForums Tanzania TANESCO hali mbaya, Serikali yasuasua kununua mita na nyaya za kuunganishia umeme

    Tanesco katika maeneo Mbalimbali Hasa Jiji la Mwanza imeshangaza wananchi zaidi 2000 katika eneo la Nyakato kushindwa kuunganishia watu umeme, Hali hiyo inafanya baadhi ya watu kupitia njia za panya kutoa rushwa ili kufungiwa umeme, wananchi wamelalamika bila msaada Tunatumaini 1)Uteuzi Mpya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

    Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda. Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kwenye hali hii ya tofauti ya majina?

    Naombeni ushauri wa nini kifanyike. Mdogo wangu amesoma hadi chuo kikuu. Jina la ubatizo alilolitumia shule ambalo liko kwenye vyeti vyake ni tofauti na jina alilopewa na wazazi kabla ya ubatizo. Jina hilo la kabla ya ubatizo liko kwenye hati za mashamba aliyoachiwa na baba mkubwa, nauliza nini...
  12. JamiiForums Tanzania Hali halisi ya pato halisi (GDP) la Tanzania

    Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
  13. JamiiForums Tanzania Hali tete kwa wakulima, mbolea kg 50 yafikia 120,000

    Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini. Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo nililopo ni elf 24 wakati Bei ya mbolea ni laki na ishirini. Kwamba unatakiwa kuuza gunia 5 Za mahindi ili...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii naamini maneno ya Askofu Gwajima kuwa viongozi wamehongwa ili chanjo ije

    Huu ni mkusanyiko wa watu ktk Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam mbele ya Rais 02/09/2021. Halafu bila soni akasisitiza chanjo. Hivi Rais Samia yuko serious na gonjwa hili ama anaongea kuwafurahisha na kuwapumbaza walotoa hela? Wenye akili wameamua kumchana mheshimiwa rais bila woga.
  15. JamiiForums Tanzania Usanifu wa Majengo: Kwanini ni muhimu nyumba/ Ramani kuakisi hali ya hewa ya mahali husika?

    Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni. Twende kwenye mada! Kuna baadhi yetu nyumba zetu hugeuka makaburi wakati wa joto ila feni hugeuka mkombozi huku tukiomba Tanesco...
  16. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba usiwaadhibu wananchi wa kawaida kwa tozo lukuki, tueleze hali ya uchumi wa nchi ikoje?

    Kwa kifupi serikali ya sasa imerudisha mambo yote yasofaa ambayo mwenzao hayati Magufuli aliyaongelea kuwa ndiyo yalorudisha nyuma nchi hii. Kwa utafiti mdogo ambao mtu yeyote aweza kuufanya hadi sasa ni kwamba; 1. Wafanyabiashara wote wakubwa na walipa kodi wakubwa wote wamesamehewa kulipa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kiswahili Afrika na jinsi ya kukifanza kukua kiurahisi na kiulaini hali tunaongeza ajira kwa Vijana

    TUSIJIDANGANYE kutaka Kiswahili kuenea fumba na kufumbua duniani. Tutosheke na kukiona Kiswahili kinatawala Afrika hatua kwa hatua. KOKOTE Afrika viongozi, wanasiasa, wasomi na jamii kwa ujumla watu wanazungumzia juu ya fursa za ajira na 'baibai kwa umasikini' kwa vijana. Ila hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania mlioko Burundi hali ikoje huko, nataka kuja

    Baada ya mheshimiwa kusema tuhamie Burundi nilijipanga vizuri ili nihamie Burundi ila nikakumbuka kuna watu wamekimbia Burundi na kuja Tz So naomba kuuliza kwa mlioko Burundi hali ya tozo ikoje, amani, na mazingira ya biashara nisije kujikuta naangukia pua
  19. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi aliyemuua Osama amlaumu Biden juu ya hali ya Afghanistan

    akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini. kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban...
  20. JamiiForums Tanzania Hali ya Shule maalumu za viziwi zilizopo nchini Tanzania

    Ripoti ya utafiti wa Hali ya Maisha ya Vijana Viziwi Tanzania uliofanywa na Mwanafunzi wa Sayansi ya Jamii Monica Har kutoka Loma Linda University (2011) ilionyesha changamoto wanazokumbana nazo viziwi kwenye kupata elimu Tanzania. Malengo ya Milenia ya Umoja wa Mataifa (UN) unazitaka nchi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…