Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Wakuu Ramadhan Makbour
Ni suala lililotokea mwezi wa kumi na moja huyu mdada alipewa kashata anavyodai zilikuwa ni za bhangi mmea,
Alipewa na mtu hajui uyo mtu alikuwa na nia gani nae ila baada ya kula alianza kupagawa na kuwehuka kama alienzwa na kichaa
Sasa anadai hadi leo anahali ya...
Mzuka wanajamvi,
Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako.
Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
Watanzania wametakiwa kukubaliana na hali halisi kuhusu bei mpya ya nishati ya mafuta ikiwemo Petrol, Diesel, Mafuta ya Taa na Ndege ambayo itatangazwa Jumanne ijayo Aprili 5, 2022
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Godfrey Chibulunje amesema kupanda...
Moja kwa Moja kwenye mada!
Ukiskiliza Tabiri za Hali ya Hewa kwenye Vyombo vingi vya Habari ni kawaida kuskia sentensi kama hizi "......Maeneo ya Pwani..... Maeneo ya kati ya Nchi pamoja na Kusini kwa Mkoa wa Morogoro.... kutakuwa na Mvua za Hapa na Pale..... kutakuwa na Mvua Kiasi.... na...
Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani...
Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari Nchini.
"Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya uhuru wa vyombo vya habari Nchini Tanzania...
Habarini za muda huu,
Kumekuwa na Vita nchini Ukraine ambapo majeshi ya Ukraine yanalinda nchi Yao dhidi ya uvamizi wa Rassia katika nchi Yao.
Dhamira ya nje ya Ukraine ni kujilinda dhidi ya uonevu wa Rassia.
Dhamira ya nje ya Rassia ni kuwalinda wa Ukraine wanaonewa na serikali yao wenyewe...
Hali ya Ndoa za utotoni Barani Afrika kwa ujumla
Kulingana na Taasisi ya Takwimu ya UNESCO, kuna watoto milioni 32 ambao hawajaenda shule wa umri wa msingi barani Afrika na vijana milioni 28 wasioenda shule - viwango vya juu zaidi ulimwenguni.
Inaelezwa kuwa katika Bara la Afrika, wasichana...
Nimekaa tu na kujiuliza kama raia wa kawaida kwamba serikali yetu inakopa na inaendelea kukopa, na inaonekana kila inapotokea uhitaji au upungufu wa aina yoyote, ufumbuzi unaowajia viongozi wetu vichwani ni kutafuta mahali pa kwenda kukopa.
Huenda wako sahihi kwa sababu wao Wana wataalam na...
Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine.
Kadhalika kuna wanafunzi ambao wameamua kwenda kuishi kwa ndugu na jamaa zao huko Denmark, Slovakia na Sweden.
Wanafunzi 11 wako...
State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa.
Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
Urusi ina silaha ngapi za nyuklia?
Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa vinavyosababisha mlipuko wa nyuklia - ingawa hii inajumuisha takriban 1,500 ambazo zimechoka na zinatazamiwa...
Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo;
1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000.
2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane.
Maestro de Quimica!!OP
Bunge la Ukraine limepitisha azimio la nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari kwa siku 30 kutokana na mzozo uliopo kati ya Nchi hiyo na Urusi
Mamlaka nchini humo zimeruhusiwa kuzuia raia kutoka, kuzurura na kuzuia Mikutano ya Vyama vya Siasa na Taasisi kwa maslahi ya Taifa
Pia, Serikali...
Habari za jioni ndugu zangu wapendwa wa mtandao huu wa JF kupitia Jukwaa hili mahsusi la Jamii Health. Naamini tuko hapa kwa ajili ya kuelimishana na kuongeza ufahamu wa mambo mbalimbali kwenye vichwa vyetu - Yote ni katika kukabiliana na changamoto za kila siku za kimaisha. basi bila...
Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana.
Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.