hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Hali ya vyama vya Siasa Tanzania katika Picha

    Toa maoni yako kuhusu tafsiri ya Mchoro huu
  2. CCM kujadili mfumko wa bei kutokana na hali ngumu ya maisha

    Mbeya. Kutokana na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchini, Makamu Mwenyekiti was Chama Cha Mapinduzi CCM, Abdulrahman Kinana amesema Chama hicho kimejipanga kufanya kikao mwezi ujao kujadili suala hilo. Kinana amebainisha hayo leo Julai 28, 2022 baada ya kupokewa na wakazi wa Mkoa wa Mbeya...
  3. Tunakabiliana vipi na Hali ya bidhaa kupanda bei?

    Jambo hili nimeanza kuliona mwisho wa mwezi huu kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali na kwenye biashara yangu pia tayari zaidi ya 50% bidhaa nazojumua siku zote kwa sasa bei ni kubwa mno faida kiduchu mauzo nayo yamepungua Sana.
  4. Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais Biden

    Utafiti kura za maoni ulifanywa na CNN umeonesha 75% ya Wamarekani wanataka chama cha Democratic kiteue mtu mwingine na sio Rais @JoeBiden uchaguzi wa 2024. Kura imefanyika wakati ambao kukubalika kwa Biden kumezidi kushuka na watu wengi kutoridhishwa na hali ya nchi na uchumi
  5. Mtaani hali ngumu hata kazi za kujitolea hakuna wap tunaekea?

    Nimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
  6. J

    Waziri Makamba: Kama hali imeboreka semeni kwamba sasa hivi ni bora kuliko ilivyokuwa, mkisema sio tunanyong'onyea

    Waziri wa Nishati, Januari Makamba amesema kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo na anachoomba uelewa na uwepo wa subira pamoja na kutiwa moyo. "Kazi inafanyika na dhamira nzuri ipo tunachoomba ni uelewa na subira tunaomba kutiwa moyo kama hali imeboreka semeni kwamba Sasa hivi ni bora kuliko...
  7. Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje?

    Nawasalimu wakulungwa. Naomba tujifunze kwa pamoja kwa wenzetu wa Zanzibar ongezeko la Mshahara lipoje maana wakati wa May Mosi, Rais Mwinyi aliahidi kuongeza asilimia 17. Sasa naomba tujifunze, je nyongeza ipo na kama ipo imekaaje? Maana huku Tanganyika Chief Hangaya kafanya yake.
  8. Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

    Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao. Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo. Misaada hii ililegwa kwa...
  9. Maandamano yaibuka Madagascar Wananchi walia hali ngumu ya maisha

    Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo. Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
  10. Walimu tuna hali ngumu

    Walimu tuna hali ngumu (walimu) Na sisi tuna umuhimu (walimu) Tutazua kitimutimu (walimu) Hadi wizara ya Elimu (Walimu) Nimeukumbuka huu wimbo wa wagosi wa kaya jamani
  11. Je, hali ya ofisi nyingi na makampuni mengi kutaka interns na volunteers ni jambo sahihi?

    Siku hizi kumeibuka tabia ya mashirika na makampuni binafsi na ya serikali kupenda ma intern/volunteer/wa kujitolea kwa sana. Je, ni jambo jema? Wengine hawalipwi kabisa, wengine wanalipwa kidogo. Pia wanatoa ahadi hewa za kukupa ujuzi au kukupa mkataba ambao hautaupata bila connection. NB...
  12. Joto kali lasababisha vifo zaidi ya 1000 nchini Ureno

    Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo Nchi kiwango cha juu cha Joto kilifikia Nyuzi Joto 47C kikiwa ni cha juu zaidi Nchini humo kuwahi...
  13. Tusali sana hali inazidi kuwa mbaya

    Wasalaam JF..!!! Ni weekend moja baada ya kushinda kutwa nzima nikiwa nyumbani huku muda mwingi nikiutumia kulala baada ya shuhguli ndogo ndogo za home kama mjuavyo weekend. Imefika mida ya jioni kuanzia saa moja hivi kila nishikacho nakuwa bored. Nikasema ngoja nisogee mahali nipate mbili...
  14. M

    KWELI Hali ya hewa hupelekea watu kuugua

    Habari zenu wakuu Hivi nmekua nikijiuliza sana ni hali ya hewa ndio inapelekea watu kuumwa sana sasahivi au ni nini?? Maana nmekua nikishuhudia watu wangi wakikohoa sana ambapo hali hii yakukohoa wengi wamekua wakieleza kua huwakuta sana ifikapo mida ya saa 12 jioni ambayo huwafanya hata...
  15. M

    Sura ya mtu huakisi hali ya moyo: Hii sura unaionaje? Ni katili iliyojaa chuki au ni ya upole iliyojaa upendo?

    Ni waziri wa mambo ya nje wa Ukraine-Kuleba.
  16. J

    Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

    Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu, Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
  17. Kukosa pesa kunaweza kitu watu wengi wenye tabia mbovu wanajificha humo (camouflage) na kuonekana ni wastarabu ilhali sio

    Salaam wadau.! Natumaini kabisa mko njema. Kwenye maisha yetu kila siku tumekua tukipitia vipindi tofauti tofauti ambavyo vimejaa furaha, machungu na Majonzi wakati fulani. Binadamu anaweza kuwa ni kiumbe pekee mwenye hisia hasa hasa kwenye masuala ya kiuchumi na kijamii, ambaye kwenye...
  18. Hali ya joto kali bara la Ulaya (Europe)

    Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo), Njombe(Makete), hali ni tete. Baridi maeneo hayo ni kali mno. Hadi baadhi ya wananchi wa maeneo ya jiji la...
  19. Hali ya CHADEMA katika picha muundo wa Ngalawa

  20. Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

    Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao. Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki. Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati. Imefika hatua sasa hivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…