hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya usalama Washington DC ni mbaya kiasi cha kuhitaji Trump kuwapelekea jeshi mitaani kama alivyofanya?

    Mlioko Marekani hali usalama Washington DC ilikuwa inahitaji Trump kuwapelekea raia wa huko wanajeshi na magari ya kivita kama alivyofanya?
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanin wapinzani dhaifu kiuchumi hususani Chadema masalia wanaumizwa sana na hali ya CCM kua na wanachama matajiri wa hoja, mali na fedha?

    Nini hasa sababu ya wapinzani kughadhabishwa mno na wanaCCM kukichangia chama chao mabilioni ya fedha ndani ya masaa kadhaa tu? My friends, ladies and gentleman, Chama cha siasa ambacho kimeshindwa na hakiwezi kujikomboa chenyewe kiuchumi kwa mikakati yake na hazina ya wanachama wake, kamwe...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi waazimia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani

    Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi. Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
  4. verify

    JamiiForums Tanzania Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

    Mara nyingi mtu hujuta baada ya kufanya ngono isiyo sahihi kwa sababu tamaa huisha, lakini matokeo yake hubaki — hisia za aibu, huzuni, kutotimia kwa matarajio, na hisia ya kujidharau. Mwili hushiba kwa muda, lakini roho huumia kwa muda mrefu. Na mara nyingi hii hali huwakuta watu wenye tabia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa ukipata bilioni, kiongozi mzito wa serikali au idara wakitaka nusu unaweza kukataa ?

    Umefanikiwa kupata B ( Bilioni 1) Kiongozi mzito au idara ya serikali wanahitaji bilioni 1 nje ya mfumo rasmi . Unatoa wapi nguvu za kukataa ?
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo ana familia kweli? na kama ipo wajitafakari kwa hali hii aliyonayo wanamruhusu vipi kufanya siasa badala kupambania Afya yake

    Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake. Namshauri apambanie Afya yake kwanza. Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya. https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kama nchi tunapitia wakati mgumu na baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya

    Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa. Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ,tungehairisha Uchaguzi kwa mstakabali mwema wa taifa letu.

    Mh POLEPOLE ameshamwaga ugali na mboga kidogo anakaribia kumaliza kabisa kumwaga mboga zote. Wananchi waliyompenda hayati JPM ni kama wanahisi kuna mchezo ulichezeshwa kulingana na taarifa ya Mh POLEPOLE, Wananchi hawa wanaweza kuwa na chuki moyoni isiyoisha. La pili ni kwamba wapinzani wa...
  10. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Kijana niko Dar natafuta kazi

    Kijana niko dar natafuta mishe mimi sichaguii kazi ni kazi hata shamba nakaaa namba yangu 0685059306 mwenye kibarua tusaidiane na mungu awabariki sana
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  12. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Familia za Viongozi ni Watanzania wana haki ya kugombea Uongozi

    1. Inasikitisha kusikia eti watu wanaingia wivu watoto/wenza wakiomba nafasi za Uongozi. Ni haki hao ya kikatiba kama Watanzania wengine. 2. Tunataka Mtoto/mwenza wa Kiongozi asigombee ili tupate nini?. Amevunja kufungu gani cha Katiba? 3. Kama lawama tuzipeleke kwa Walezi/Wazazi wetu kwa...
  13. Setfree

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo hali itakavyokuwa Yesu atakapokuja! Ni mshikemshike!

    Kama kuna habari tunayopaswa kuisikia tena na tena ni habari ya Ujio wa Bwana Yesu Kristo. Hilo ni tukio la hakika na la kutisha kwa wasiomwamini, lakini lenye furaha kuu kwa waaminio. Maandiko yanathibitisha wazi kuwa Yesu atakuja mara ya pili kama alivyokwenda mbinguni. Malaika waliwaambia...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Pamoja na hali mbaya tuliyonayo kisiasa, Heri rimoti kaishikilia mtu alietoka kabila dogo na sio mdini, Ni heri nusu shari kuliko shari kamili

    Pamoja na hali mbaya tunayopitia kisiasa, Ntaendelea kusema kwamba heri nusu shari kuliko shari kamili. Imagine Remote ingeshikwa na Msukuma, Mnyakyusa, Mchaga au Mhaya, Pangetosha ? Imagine Rimoti ingeshikwa na mdini, aiseee ? Na bado ninaendelea kuwakumbusha, Kumuondoa mwenye remote kwa...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hamas wakionesha Utaalamu wa hali ya juu katika nyanja hizi. Gaza wanateswa na wao wenyewe.

    Hamas wanaiba chakula na kwenda uza na kingine kutumia kwa majidai makubwa kabisa bila kujali wenzao.
  16. V

    JamiiForums Tanzania Duveti zenye ubora wa hali ya juu

    --- 🌟 DUVETI KALI! 🌟 Pata kifurushi kizima kwa bei nafuu sana: 🛏️ Duveti 1 🛏️ Shuka 1 🛏️ Foronya 2 📏 Size: 6/7 💸 Bei: 35,000 TSH tu! ✔️ Ubora wa hali ya juu ✔️ Laini na ya kisasa ✔️ Inafaa kwa msimu wowote 🚚 Delivery ipo Dar na pia tunatuma mikoani! 📍 Fika kwetu au wasiliana: [Weka namba...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Nazidi kuwakumbushia kufanya mazoezi hali ni mbaya sana

    https://www.jamiiforums.com/threads/kama-bado-upo-kwenye-ujana-jitahidi-sana-kufanya-mazoezi.2359916/
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Druze inavyofutwa huko Syria. Hali inatisha sana

    Allah Akbar...! Alisikika mwanajeshi mmoja baada ya kumuua Mdruze huyu. Wadruze wamejikuta wakilengwa au kuingia kwenye migogoro nchini Syria kutokana na sababu za kisiasa, kijamii na kidini, lakini sio tu kwa sababu ya imani yao ya kipekee. Sababu kuu ni hizi: 1. Mgogoro wa Syria (2011 hadi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uongozi wa Chuo cha UDOM uboreshe usafi hasa vyoo vya mabweni, hali si nzuri huko

    Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya barabara Kariakoo Dar

    Kama hali ya barabara katika eneo lenye soko la kimataifa la Kariakoo ndio hii, basi ni hatari. Hali ikoje maeneo mengine ya ndani ndani Dar es Salaam na mikoani?
Back
Top Bottom