Inatamausha mno kwa namna hali ilivyo. Inafikirisha vilevile kushuhudia hayo yawayo
Hofu yangu, huyu ndugu ataondoka kweli kwa utaratibu uliozoeleka?
Binafsi sioni akiondoka ki kawaida. Pengine namkosea Mungu, lakini ni muhimu kujiandaa kwa lolote
Dalili zi wazi, huyu ndugu atataka kuongoza...