hakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hakuwa na Hatia, Wakatafuta Kosa: Somo la Marcus Garvey Kwa Wanaojua Kusoma Alama

    Habari za wakati huu wanajamii, na heri ya Jumapili wanajukwaa. Leo nimeona nije na makala hii fupi ya kihistoria kuhusu mwanaharakati Marcus Garvey, mzaliwa wa Jamaica. Nimefuatilia kwa karibu sana maisha ya huyu nguli wa uanaharakati, na hivi karibuni nimemaliza kuiangalia documentary ambayo...
  2. M

    Kwanini LEMA hakuwa shahidi wa LISSU?

    Kwanini LEMA hakuwa shahidi wa LISSU? Kama kweli LEMA anaaminiwa na Lissu kama alivyosema
  3. K

    Lissu atafungwa kutokana na maneno yake, hata kama hakuwa na nia hiyo. Yalitokea kwenye uchaguzi ni rahisi kumhusisha nayo

    Ndugu wadau, habari zenu. Kinacho mbana lisu ni matokeo ya kauli zake, hakuonesha au kusema wafuasi wake watatumia njia gani kuzuia uchaguzi usifanyike na hilo lipo wazi. Matokeo yake Sasa, yaliyotokea siku ya uchaguzi yanaipa nguvu serikali kusema yalichochewa na kauli za lisu. Mfano ukisema...
  4. Mzee Warioba: Nchimbi hakuwa chawa ndani ya CCM alikemea maovu

    Mzee Warioba ameweka wazi👇
  5. M

    Mzazi usimchagulia mtoto masomo

    Mwaka 2002 ni mwaka ambao kwa familia hakuwa mwaka mzuri, familia ilipata uzuni ya ghafla kila mmoja aliumia kwa wakati wake Baba yangu aliumia sana kwa sababu katika watoto wa familia dada yangu alikuwa ni mtoto pekee wa baba yangu na kwa kweli kwa darasani akili zake ziliwashinda kaka zetu...
  6. Miaka zaidi ya 30 ya bongo flava: Hizi ndio biti kali ambazo siku hio majani alikuwa ameamka vizuri na hakuwa na hangover za billcanas

    1: nini mnataka mazee - piggy black https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI 2: sonia - juma nature https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh 3: ya leo kali - wachuja nafaka https://youtu.be/sB1mDNApBMk?si=M3SI1vQAvIa5ucy4 4: Mitungi/Mikasi - Ngwair...
  7. Kwenye industry ya music Machel Jackson hakuwa mtu wa kawaida.

    Huu ni ukweli usiopingika MJ alikuwa hatari sana kwenye mc na dance.
  8. Watu weusi mlipigwa mchana kweupe na mkakubali

    Ukweli ni kuwa Obama hakuwa raisi wa kwanza mweusi hapo US bali Raisi wa kwanza chotara.
  9. Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  10. K

    Magufuli hakuwa rafiki mzuri ndiyo maana familia wapweke

    Raisi Magufuli tatizo lake mmoja hakuwa rafiki mzuri kwa wale watu ambao wamemjua kabla hata ya siasa. mifano miwili 1. Kuna mtu ambaye yeye ndiye alimshauri Magufuli agombee kwa CCM, yeye ndiye aliyempa teksi ya kwanza kwenda kuchukuwa form ya kugombea miaka hiyo ya mkapa. Mzee yule ambaye...
  11. Matola Aliwaambia wachezaji ukiona goli we piga tu. Au chenga wote kafunge. Hakuwa na plan yoyote ya attacking

    Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool. Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool. Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
  12. Hasira ya leo imechangiwa na ukweli kuwa anajua hakuwa amechaguliwa watu

    Nimemuelewa sana Samia, hasira zake si maandamano, bali ni kitendo cha wananchi kugoma kujitokeza kumpigia kura. Anajua waliotoka kuandamana ni kama walikuja kujazia tu hesabu, lakini ukweli unaomuuma hadi ni sasa ni ile voters turn out ya aibu.
  13. Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua

    Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali. Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
  14. E

    Huyu hakuwa raia mwema, haiwezekani umpige askari kwa teke na ngumi

  15. J

    Rostamu hakuwa Live, Polepole huongea akiwa Live, kati yao nani kajificha?

    Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV. Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia. Wapo makasuku humu wanamwandama Polepole kuwa anazungumza akiwa mafichoni utadhani hiyo ni hoja ya msingi. Sasa mimi nauliza kati ya...
  16. Tetesi: Aliyekutana na Trump Alaska hakuwa Putin halisi, alikuwa ni moja ya watu waliotengenezwa kufanana na Putin

    Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin. Ushahidi unaotolewa... Inaonekana huyu anamashavu makubwa. Pili hatembei kijasusi kama Putin halisi (KGB au...
  17. Kushangilia kifo cha Ayubu hakumuudhi wala kumkera Belshaza, maana Ayubu hakuwa mtu wake

    Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala). Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja. Kwahiyo kushangilia...
  18. Ndugu yangu wa damu alikuwa ameajiriwa na kazi yake ilikuwa kuua na kutesa ,na hakuwa polisi .

    Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
  19. "Manusura" wa ndege ya India hakuwa abiria kwenye hiyo ndege

    Hakupanda ndege wala hakuwa abiria kwenye ndege. Kuna video footage ina trend now inaonyesha angle nyingine kwenye eneo la tukio, inamuonesha jamaa akitembea calmly kutoka ulipo upande ndege ilipo lipukia huku akiongea na simu... Kuna taarifa zinasema jamaa amekuwa arrested, atoe maelezo...
  20. Inaelekea Mbowe hakuwa tatizo!

    Kabla ya kuachia Uwenyekiti wa Chama chake, ilikuwa siyo rahisi siku ipite bila kutupiwa dongo! 1. Mara Mwenyekiti wa maisha... 2. Mara CHADEMA ni SACCOS yake... 3. Mara CHADEMA ni Chama cha Wachaga... 4. ...n.k. Baada ya kuuachia Uwenyekiti, kibao kimegeuka. Mashambulizi yaliyokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…