haki

  1. Carlos The Jackal

    Nchi hailindwi Kwa Bunduki ,inalindwa Kwa UMOJA na Mshikamano wa Wananchi kupitia Haki ! Wairan wameishinda Israel na Marekan si Kwa Uwezo wa kijeshi!

    Uwekezaji Mkubwa a Kijasusi alouwekeza Israel nchini Irani, ulifikia Hatua ya kudhani Operation ya Kumuua Kiongozi wa Iran, Ayatollah, na kuwaua Wakuu wa MAJESHI nchini Iran haraharaka kungepelekea Taharuki ambayo ingewainua Wairan na kuwafanya waingize Barabaran na kupindua Serikali yao kama...
  2. mfuaji

    Uzi wa kuwakumbuka wale waliotangulia mbele ya haki pamoja na mambers ambao hawajaonekana jukwaani kwa muda mrefu.

    Kuna wenzetu tuliokuwa nao katika jukwaa hili lakini isivyobahati kutokana na sababu mbalimbali leo hii hawaonekani. Kutokuonekaa kwao ama kunasababishwa na kutangulia mbele ya haki ama kubanwa na shughuli mbalimbali za Kila siku. Pia kuna members wameachana na ID zao za zamani hivyo hii ni...
  3. Genius Man

    Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi

    Uchaguzi hauwezi kufanyika bila upinzani wenye nguvu na uwepo wa haki kinachoenda kufanyika ni maigizo sio uchaguzi. Hakuna uchaguzi bila mabadiliko bali maigizo.
  4. B

    Nimejifunza kutoka Irani kuwa Nchi ikichafuka hata viongozi hawatakuwa Salama, Kulinda Amani na Haki ni wajibu kwa Sote

    Kumekuwa na nyimbo za kila siku. Makabwela tunaambiwa tutunze amani amani...... Linapokuja swala la kutendewa haki sisi makabwela hatukumbukwi. Tunahimizwa tu tutunze na kulinda amani. Kilichotokea kwenye Machafuko ya sasa huko Nchini Irani kimetupa funza kali Mkuu wa Nchi hiyo amekimbia...
  5. GENTAMYCINE

    Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  6. GENTAMYCINE

    Hongereni sana Yanga SC wote kwa Kutufunga ki Haki, ki Mpira na ki Mafunzo ya Mpira wa Kisasa (wa Kiufundi) jana kwa Mkapa

    Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
  7. R

    Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

    Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM! KWELI HAKUNA UTEKAJI?
  8. R

    Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  9. X factor

    Sioni sababu ya Rais Samia kuogopa uchaguzi huru na wa haki

    Ikiwa ni kweli wewe 👇 •Umefungua nchi kutoka kwenye ban za kutosha ,umeifanya iaminike kimataifa na Sasa tunakopesheka wakati wowote tunapohitaji,na umedhihirisha Hilo kwa vitendo na Sasa deni la taifa ni T 107.7 na bado ni stahimilivu. •Umeleta 4R na umezitekeleza Kwa vitendo ukishirikiana na...
  10. Prof_Adventure_guide

    Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  11. Nyani Ngabu

    Kila nchi ina haki ya kuwa na silaha za aina zote

    Naunga mkono Iran kuwa na silaha za nyuklia. Naunga mkono hata Tanzania kuwa nazo. Namna pekee ya kuheshimiana hapa duniani ni kila nchi ikiwa na silaha za maangamizi makubwa. Iran ingekuwa nazo hizo silaha za nyuklia, Israel na Marekani zisingethubutu kuishambulia. Iran haijatenda kosa...
  12. Zanzibar-ASP

    Uchaguzi huru na haki hauwezi kamwe kufanyika TFF ikiwa Karia atakuwa anagombea

    Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka. Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
  13. The Watchman

    PreGE2025 ACT Wazalendo: Tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna matumaini makubwa ya haki na msingi ya demokrasia kuzingatiwa

    Akizungumza katika uchambuzi wa Bajeti Kuu ya Serikali 2025-2026 uliofanywa na ACT Wazalendo, Mwenyekiti wa chama hicho Dorothy Semu amesema, "Kwa mwaka mwengine tena tunaenda kwenye uchaguzi tukiwa hatuna matumaini makubwa ya haki na msingi ya demokrasia kuzingatiwa. Tumeamua kuingia kwenye...
  14. Ex Spy

    Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  15. N

    Hata mnilishe nishibe tumbo, mnilaze pazuri na mnipe mahela yote, mkinyima haki ya kuongea na kuwakosoa manjisumbua tu!

    Ndivyo wanavyotufanyia hawa watawala. Wanajifanya wametufanyia mambo mazuri lakini wapi bhana. Mei Mosi walipandisha mishahara ya kima cha chini kwani kuna mtu amenyamaza kuwasema kwa wanavyomtenda TAL. Wamezindua madaraja na mavivuko lukiki kwani kuna watu wanasahau Gwajima aliyoyasema...
  16. DolphinT

    Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  17. A

    KERO Ofisi ya Rais Utumishi ni kero kuhusu hamisho kwenye mfumo wa ESS

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano kupitia ofisi ya Rais- Utumishi ilianzisha mfumo wa ESS ambao umerahisisha shughuli nyingi za kiutumishi, moja ya suala lililorahisishwa ni ushughulikiwaji wa uhamisho wa Watumishi kwa njia ya mtandao. Cha ajabu ni kwamba Watumishi walioidhinishiwa hamisho zao na...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Prophet Denis: Matusi kwa rais Samia hayaleti haki tunayo itaka, bali ni kuchukua laana

    Kumtukana rais aisaidii, kuna kijana sasa hivi anapigana hatima anandoto ya kuwa mtu wa maana halafu sasa hivi anaenda mtandaoni, akiona tu picha ya Rais Samia anamtukana akiwa tu kwenye simu yake, yeye akiamini kwamba kwenye simu yupo salama, hajui kwenye ulimwengu wa roho unarekodi kila kitu...
  19. The Father of All

    Akifa muisrael au kupigwa hospitali ni kosa ila haki ikifanya hivyo kwa wengine

    Hakuna taifa la hovyo kama Israel. Likishambuliwa ni uharifu wa kivita na mauaji ya kimbari. Likiua, ni haki na sawa. Sijui ni akili gani wanyama kama Netanyahu na Trump wanatumia. Kumbe mkuki kwa nguruwe siyo? Halo halo!!
  20. kalisheshe

    Unajua ni Kwanini wapigania haki duniani kote huishia kupewa kesi za uchochezi? Hizi ndio sababu.

    Sababu kubwa zinazofanya watu wanaoielimisha jamii kuhusu unyonyaji fulani kupewa kesi za uchochezi ni: 1. Kutishia maslahi ya wenye mamlaka. – Mara nyingi wanaosema ukweli huibua maovu yanayohusu viongozi, taasisi au makundi yenye nguvu. – Hii huonekana kama tishio kwa mfumo uliopo. 2...
Back
Top Bottom