hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Wakili Abshir Abdi Afika Mahakamani Milimani Baada ya Kupatikana Hai Siku 11 Tangu Kutoweka

    Wakili wa Nairobi, Ahmedsadak Abshir Abdi, amefika katika Mahakama Kuu ya Milimani Ijumaa, Novemba 13, 2026, siku moja baada ya kupatikana akiwa hai katika eneo la Sololo, Kaunti ya Marsabit. Abdi alikuwa ametoweka kwa siku 11 tangu Novemba 1, 2026, baada ya kuripotiwa kutekwa na watu waliokuwa...
  2. O

    Wakili Abshir aliyetoweka Nairobi aripotiwa kupatikana akiwa hai Isiolo baada ya Siku 11

    Taarifa mpya zimeibuka kuwa wakili wa Nairobi, Abshir Ahmedsadak Abdi, aliyekuwa ametoweka kwa siku 11 baada ya kudaiwa kutekwa nyara na watu wenye silaha, amepatikana akiwa hai katika Kaunti ya Isiolo. Kwa mujibu wa taarifa ya Kenyans.co.ke ya Alhamisi, Novemba 12, 2026, wakili huyo...
  3. F

    Intuition yangu inaniambia kuwa Polepole yu hai Bado. Tumwombee

    Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili. Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia. Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
  4. Jeff (Ontario), mwanachama hai wa JF kapatwa na nini?

    nipo twita huko naona watu wanamlilia ki ukweli niliacha kumfatilia zamani sana ila kila mtu anaongea lake kapotea au kapatwa na nini "role model"
  5. Mchungaji adai mume wa Zari bado yupo hai

    Mchungaji Mondo Mugisha ameibua mjadala mpya kuhusu kifo cha mfanyabiashara na aliyekuwa mpenzi wa Zari The Bosslady, Ivan Semwanga, baada ya kudai kuwa bilionea huyo hakufariki dunia kama ilivyoripotiwa mwaka 2017, bali bado yuko hai na amejificha. Kupitia video iliyosambazwa kwenye mtandao wa...
  6. C

    Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake. Agizo hilo...
  7. F

    PostGE2025 Majeruhi wengi wa Oktoba 29, 2025 waliopelekwa hospitali za Wakatoliki wapo hai, tusirudie makosa

    Hili liwe fundisho, Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao, Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
  8. Ifikapo 2126 tulio hai leo hatutakuwepo

    Duniani kwa Sasa tunakadiliwa kuwa watu bil 8.3. Hii idadi ya watu hatutakuwa hai ifikapo mwaka 2126. Fikiria alafu chukua hatua
  9. Q

    CHADEMA yalaani uvamizi wa ofisi yake Jimbo la Hai.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026. Hawa UVCCM baada ya kuumbuliwa kudai rushwa wanataka kumalizia hasira zao kwenye...
  10. Kulikoni hakuna feedback ya mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa ndugu John Heche pale Bomang'ombe ground, Hai?

    Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena? Na kama ulifanyika, Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
  11. W

    CHADEMA Hai wajipanga kususia mkutano wa Heche, wataka amuombe radhi kwanza Mbowe

    Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, wameeleza msimamo wa kutoshiriki mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, John Heche, unaotarajiwa kufanyika jimboni humo, wakitaka kwanza atoe ufafanuzi na kuomba radhi kwa...
  12. Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

    Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki. Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu. Soma Humphrey Polepole...
  13. I

    Oburu Odinga Yuko Hai - Secretariat Yapuuza Ripoti Za Kifo

    Ofisi ya Kiongozi wa ODM, Dkt. Oburu Oginga, imekanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Seneta huyo wa Kaunti ya Siaya amefariki. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, sekretarieti yake imesema Oburu yuko hai, salama na yuko katika hali nzuri, na kuwa Aananchi wanapaswa...
  14. E

    kipindi yupo hai walimwita sir wicknel chivayo, leo salamu za lambi lambi neno sir limesahaulika

    hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
  15. idadi ya watu waliokufa na walio hai ipi kubwa?

    Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
  16. Wafu walio hai na siri za kuzimu zilizofichwa kwenye ulimwengu wa roho

    Hapa duniani tunaishi tukiwa tumezungukwa na mambo mengi tusiyoyaona kwa macho ya nyama. Leo nataka tusafiri pamoja hadi kwenye vilindi vya chini kabisa, mahali ambapo nafsi za wafu hukaa, na jinsi ulimwengu wao unavyoingiliana na maisha yetu ya kiroho. Watu wengi hudhani kifo ni mwisho wa...
  17. W

    Siku mbili, Wanaharakati wawili: Collins Otieno Apatikana akiwa hai.

    Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
  18. Irene uwoya ni mfano hai tuliojionea kupitia Tv kuwa ni hatari kupokea ushauri wa ndoa/mahusiano kutoka kwa mwanamke asiye na ndoa.

    STUPID ME. Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uzi🙏🙏 Active Moderator Boqin BlackBold celix 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
  19. Huwa napenda kuwaambia rafiki zangu wayatazame maisha kwa mtazamo wa bungani mfano wa fisi wanavyomuua swala kikatili kwa kumuanza kumla akiwa hai

    HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo. Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani. Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu. Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
  20. Mzee Warioba ni mwanaCCM hai?

    Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa. Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake? Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…