Wakili wa Nairobi, Ahmedsadak Abshir Abdi, amefika katika Mahakama Kuu ya Milimani Ijumaa, Novemba 13, 2026, siku moja baada ya kupatikana akiwa hai katika eneo la Sololo, Kaunti ya Marsabit.
Abdi alikuwa ametoweka kwa siku 11 tangu Novemba 1, 2026, baada ya kuripotiwa kutekwa na watu waliokuwa...
Taarifa mpya zimeibuka kuwa wakili wa Nairobi, Abshir Ahmedsadak Abdi, aliyekuwa ametoweka kwa siku 11 baada ya kudaiwa kutekwa nyara na watu wenye silaha, amepatikana akiwa hai katika Kaunti ya Isiolo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kenyans.co.ke ya Alhamisi, Novemba 12, 2026, wakili huyo...
Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili.
Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia.
Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
Mchungaji Mondo Mugisha ameibua mjadala mpya kuhusu kifo cha mfanyabiashara na aliyekuwa mpenzi wa Zari The Bosslady, Ivan Semwanga, baada ya kudai kuwa bilionea huyo hakufariki dunia kama ilivyoripotiwa mwaka 2017, bali bado yuko hai na amejificha.
Kupitia video iliyosambazwa kwenye mtandao wa...
Mahakama Kuu ya Kenya, iliyopo Milimani jijini Nairobi, imewaagiza maafisa wa serikali na Jeshi la Polisi kumfikisha Twaha Mwaipaya mbele ya mahakama hiyo akiwa hai au amefariki dunia, pamoja na hati halisi ya kumweka kizuizini, ili kubaini alipo na mazingira ya kuzuiliwa kwake.
Agizo hilo...
Hili liwe fundisho,
Ukijeruhiwa Kwa dhulma za hawa vibaka wanaojiita walinda amani, kamwe usiende au usipeleke ndugu yako hospitali hizi wanazodai zao,
Siku Ile mbaya, ndugu zetu wengi walipojeruhiwa, tulipowafikisha hospitali hizo, tuliamini watakuwa salama, cha kusikitisha hata miili Yao...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini kimelaani vikali kitendo cha uvamizi na uharibifu katika ofisi ya chama hicho Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, usiku wa kuamkia tarehe 20 Oktoba 2026.
Hawa UVCCM baada ya kuumbuliwa kudai rushwa wanataka kumalizia hasira zao kwenye...
Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena?
Na kama ulifanyika,
Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, wameeleza msimamo wa kutoshiriki mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, John Heche, unaotarajiwa kufanyika jimboni humo, wakitaka kwanza atoe ufafanuzi na kuomba radhi kwa...
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.
Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki.
Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu.
Soma Humphrey Polepole...
Ofisi ya Kiongozi wa ODM, Dkt. Oburu Oginga, imekanusha vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa Seneta huyo wa Kaunti ya Siaya amefariki.
Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, sekretarieti yake imesema Oburu yuko hai, salama na yuko katika hali nzuri, na kuwa Aananchi wanapaswa...
hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena kuwa mnafiki
Wasalaam.Kutokana na Theory na vyanzo mbali mbali vya kidini na kisayansi huthibitisha dunia iliumbwa miaka mingi iliyopita.Je watu waliokufa wakafufuliwa leo idadi yao itazidi walio hai? Naomba wataalamu mnijuze
Hapa duniani tunaishi tukiwa tumezungukwa na mambo mengi tusiyoyaona kwa macho ya nyama.
Leo nataka tusafiri pamoja hadi kwenye vilindi vya chini kabisa, mahali ambapo nafsi za wafu hukaa, na jinsi ulimwengu wao unavyoingiliana na maisha yetu ya kiroho.
Watu wengi hudhani kifo ni mwisho wa...
Mwanaharakati mwengine Collins Otieno amepatikana akiwa hai, siku moja tu baada ya mwanaharakati mwenzake Boniface Mulinge Muteti pia kupatikana baada ya kuripotiwa kutoweka.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa Hussein Khalid wa Vocal Africa, Collins alipatikana kando ya Thika Road majira ya saa...
STUPID ME.
Moderator naomba mnisaidie kufuta huu uzi🙏🙏
Active Moderator
Boqin BlackBold
celix
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani
Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo.
Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani.
Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama swala, unang'atwa nyama ya paja huku ukiwa hai ukisikilizia maumivu.
Hakuna faraja ya mnyonge hapa...
Kama ningekuwa mimi ningemfukuza uwanachama wa CCM mzee Sinde Warioba kwa kulitoboa jahazi lizame na waliomo ndani yake waliwe na papa.
Sera ya CCM ni serikali mbili, yeye anataka serikali 3. Hii haitoshi kumvua uanachama wake?
Mzee Warioba haoni zuri hata moja CCM na serikali yake wanafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.