hadithi

  1. Hadithi ya Adam na Hawa katika Quran

    Wote wawili Adam na Hawa walikuwa na wajibu sawa kwa kula tunda Waliomba msamaha Allah aliwasamehe Hakuna aliyelaaniwa. Mwanamke hakupewa adhabu ya kuzaa kwa uchungu, mwanaume hakupewa adhabu ya kula kwa jasho na wala Nyoka hakupewa adhabu ya kutambaa kwa tumbo. Hakuna dhambi ya kurithi kwa...
  2. Kauli za David Kafulila ni kama hadithi kwa Wananchi wa kawaida

    Wakuu, Kuna jambo ambalo limekuwa likileta tafakuri nyingi kuhusu baadhi ya kauli za kiuchumi zinazotolewa na David Kafulila. Baadhi ya kauli hizo ambazo zinzweza kuzua mijadala ni kama zifuatazo 1. DIRA 2050 – Uchumi wa dola trilioni moja. Kafulila amekuwa akihamasisha kwamba Tanzania...
  3. U

    Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  4. R

    Hadithi za ajabu ndani ya Biblia yetu

    Baruch Spinoza, mwanafalsafa wa karne ya 17 na mmoja wa watu waliothubutu kupinga mitazamo ya kawaida katika fikra za kisasa, alithubutu kumtazama Mungu bila hofu, kuitazama akili na mantiki bila vikwazo, na kuutazama uhuru bila kuomba ruhusa kwa mtu yeyote. Kupitia kipindi cha Beyond Sacred...
  5. Hadithi hii 👇 katika Makuadi wa Soko Huria ya Chachage Seithy Chachage inatufundisha nini?

    Hadithi. Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. 😂 Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za...
  6. J

    Uchakachuaji wa hadithi ya Yesu - Injili ya Marko

    Bringing the Celestial Superjew Down to Earth Ingawa katika sehemu kubwa ya historia ya Ukristo, Injili ya Mathayo imepewa nafasi ya kwanza, heshima hiyo kwa kweli inapaswa kwenda kwa Injili ya Marko. Hii ndiyo Injili fupi zaidi na yenye simulizi rahisi zaidi kuhusu Yesu. Simulizi la Marko...
  7. J

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa?

    Safari za Mtume – Safari ya Kwanza ya Paulo: Kupro na Galatia Ni Ukweli au Ni Hadithi Iliyotungwa? Je, Mtakatifu Paulo, ambaye alidai kuwa mzaliwa wa Tarso na raia wa Roma, kweli alifanya safari ambazo anaelezwa kuwa alifanya? Au safari hizo zilitungwa tu ili kutoa msingi wa kuweka barua zake...
  8. J

    Mtakatifu Paulo Mtume Je, Yote Inaweza Kuwa Hadithi Iliyotungwa?

    Myahudi aliyeitwa Sauli? Mtume aliyeitwa Paulo? Au ni hadithi iliyotungwa tu? Kutoka kuwa mtu aliyekuwa akiwafuatilia na kuwakamata wapinzani wa dini, hadi kuwa kiongozi mkubwa wa kanisa; kutoka kupambana na wanyama huko Efeso, hadi kuuawa kwa kukatwa kichwa huko Roma—hadithi ya Paulo ina...
  9. K

    Hadithi

    MWIZI WA KUKU 😂 Usiku mmoja, Juma alisikia kelele nyuma ya nyumba: “Kuku! Kuku! Kuku!” 🐔 Akaamka haraka, akachukua tochi na kwenda kuangalia. Akamkuta mtu ameshika kuku wake! Juma akapiga kelele: — “WEWE MWIZI!” Mtu akakimbia. Juma akamfuata mpaka akamkamata. — “Acha kuku wangu hapo!”...
  10. G

    TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
  11. Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Biblia imejaa utata wa kimantiki (logical contradictions) nyingi sana kitu ambacho unaona wazi hizi ni hadithi zilizotungwa na watu tu, kufurahisha na kuburudisha watu tu. Biblia SIO NENO LA MUNGU! Bali ni hadithi kama zilivyo hadithi zingine za Mfalme Juha, Abunuwasi, Alfu Lela Ulela, Esopo...
  12. Ukweli una pande mbili

    Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana. Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza wengine. Kusikia upande mmoja tu wa story ni hatari. Mara nyingi mtu anakwambia sehemu inayomfaa yeye na...
  13. A

    Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

    Miaka kadhaa nyuma nilikuwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya kijana mmoja kwenye kanisa nililokuwa ninasali hapa Dar. Upekee wa hii ndoa ni misuguano na mabishano yaliyokuwepo kati ya kijana na familia yake hasa mama yake na dada zake. Sababu ya mabishano ni dada anayetaka kuolewa na kijana...
  14. Wakuu, ipeni marks hii hadithi.

    Wale mpendao Hadithi za Ujasusi, mnasemaje?
  15. Hadithi ya kusisimua sana ya Jakaya Kikwete na Catherine Conrad

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete amekutana na Mwanafunzi wa Udaktari kutokea Chuo Kikuu cha Kairuki, Catherine Conrad ikiwa ni miaka 18 imepita tangu alipomuona katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI). Dkt. Kikwete alikutana na Catherine, Novemba 14, 2008 akiwa na umri wa miaka...
  16. Kundi la kigaidi likitokea kuna Watu Wanasema ni mkono wa CIA au Mossad,mbaya zaidi hadithi za vijiweni zinaaminiwa mpaka na wasomi

    Nimegundua kuna watu ambao kwao kila kundi la kigaidi duniani lazima liwe limeanzishwa na CIA au Mossad. Ukitaja ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram, Hamas, Hezbollah, Taliban, TTP, Jemaah Islamiyah na mengine mengi, jibu lao ni moja tu Marekani ndiyo waliunda.kwamba CIA ndo wanafadhili mafunzo na kuyapa...
  17. Kwanini miungu yazamani ina favoritism?

    NITATUMIA HADITHI YA MUSA NA DAUDI KAMA REFERENCE. Ushawahi kujiuliza kwanini Musa akaua akatoroka, lakini akawa shujaa? Kwanini daudi akazini, akaua, lakini akawa "mtu wa moyo wa mungu"? Au historia huandikwa na washindi? Nikaja kugundua; A. HADITHI ZINA AJENDA Vitabu vya Dini sio CCTV...
  18. Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  19. Hadithi: Umslopogazi na Nada

    Mwandishi: H. Rider Haggard, 1892. Install app ya Maktaba Sauti kutoka playstore uweze kusoma na kusikiliza vitabu mbalimbali. Utangulizi Miaka mingi imepita—wakati wa baridi, kabla ya vita vya Wazulu, kulikuwa na mzungu aliyekuwa akisafiri kupitia Natal. Jina lake si muhimu kwa sababu...
  20. Binadamu mnamjua Mungu aliyewaumba au mnakariri hadithi tu?

    Baada ya kupotea mda mrefu nimerudi tena ndugu zangu. Mniwie radhi kwa simulizi nilizoshindwa kuzimalizia.... sababu zilikua nje ya uwezo wangu. Leo ningependa niwaulize watu ambao mnajiita kua mna ubini wa Adamu. Mnamjua Mungu aliyeumba au mnakariri hadithi na mapokeo. Mungu yupo ila asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…