Leo Dkt . Slaa amevuliwa hadhi ya Ubalozi na Rais wa JMT, Samia Suluhu. Dkt. Slaa anaingia katika orodha ya viongozi wengine waliovuliwa hadhi ya Ubalozi.
Katika kumbukumbu zangu nakumbuka Profesa Mahalu aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Italy alivuliwa hadhi ya Ubalozi baada ya kuwa na...