hadhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mwanza imepitwa hadhi na Arusha, ni local city kama Mbeya na Tanga. Uwanja wa Serengeti utaipush Mwanza, tatizo ni kukosa elimu kwa baadhi ya viongozi

    Juzi nilisikiliza podcast moja na walitoa hoja ambazo kwa kweli zilikuwa na mantiki sana kuhusu hadhi ya majiji yetu nchini. Hoja kuu ilikuwa kwamba Mwanza haina utambulisho au hadhi yoyote ya kipekee nje ya kuwa jiji la kikanda, isipokuwa tu ni kubwa kijiografia, majengo na idadi ya watu...
  2. Xmonster

    Korogwe kupandishwa hadhi hadi kuwa Manispaa

    Habari wakuu. Hii taarifa imesemwa bungeni jana kama itafanikiwa itakuwa hatua nzuri sana kwa Wananchi wa Tanga na Maendeleo ya Tanga Korogwe Karibuni tunadili
  3. and 998 others

    Riverside ipandishwe hadhi! Nyama zinabondwa 24/7

    Pale Riverside sio usiku wala mchana ukiwa na 5,000 tu unapata vyote (nyamA, chumbA na zanA). **Hivi TAKAIDS bado wapo?
  4. Mshana Jr

    Keupe kapewe heshima na hadhi yake❗❕📌🔨

    Usikaseme vibaya kwakuwa hukapendi Ama kamekushinda Au kamekuzingua Na pengine ulizidisha kipimo kwenye offer Na au ulitaka kuleta upinani wa kuonesha umwamba ukakameza kavukavu gudugudu wakati msosi ulihemea🤣
  5. instinct desire

    TCU ondoeni entry ya division II & III kidato cha sita kujiunga na chuo kikuu otherwise ni kushusha hadhi ya Elimu

    Haiwezekani sifa za kujiunga na chuo kikuu na diploma ziwe sawa lazima pyramid ionekene, Hivyo basi mifumo ya TCU iondoe kabisa sifa za waombaji wenye daraja la pili na tatu kujiunga na chuo kikuu, chuo kikuu iwe ni sehemu iliyojaa vipaji . Zamani sifa za kujiunga na chuo kikuu ilikuwa lazima...
  6. Zack Abdul

    Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  7. O

    Zaidi ya Ekari 15,000 za Misitu Kuondolewa Hadhi: Nani Anasubiri Kunufaika?

    Taarifa zinaonesha kuwa zaidi ya ekari 15,000 za ardhi ya misitu ziko katika mchakato wa kuondolewa hadhi ya misitu (degazettement), hatua inayoweza kufungua njia ya ardhi hiyo kupewa hati miliki. Maeneo yanayotajwa ni Mount Elgon Forest – ekari 11,483, Turbo Forest – 3,069, Kakamega Forest...
  8. britanicca

    In Tz activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022

    In Tanzania, activism activismus pro justitia was hitherto executed with profound peritia and modus operandi of erudite professionalism until circa 2022. Nunc autem, it has degenerated into sheer chaos et tumultus. Any homo vulgaris who acquires mere data bundle or WiFi gratuitum and...
  9. The Palm Beach

    Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais. Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria: Ibara ya...
  10. R

    Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  11. Haki Madhubuti

    Katiba haina hadhi

    Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT. Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua...
  12. Raia mpya

    Je, Tanga imeondelewa hadhi ya jiji?

    Tanga sio jiji , bajeti ya mwaka 2025/2026 katika miundombinu ya majiji haikuhusishwa hasa barabara kubwa ,na bajeti ya juzi ya mwaka 2026/2027 napo pia haipo kwenye list yaani mpaka Njombe ndani ikiungajishwa na Mbeya ila Tanga hola. Kwenye bajeti za flyover waziri wa ulega alitaja watajenga...
  13. M

    Hadhi ya Mwanza na majiji mengine ipo wapi? Tukisema hizi ni dharau tunakosea? Bajeti na mikopo ni kwajili ya miradi ya Dar na Dodoma?

    MIRADI YA MIUNDOMBINU YA MAJIJI – BAJETI YA MWAKA 2026/27 1. JIJI LA DAR ES SALAAM BRT na Maboresho Makubwa ya Barabara I. BRT Awamu ya 3: Maktaba – JNA – Gongolamboto (km 23.3) II. BRT Awamu ya 4: Maktaba – Morocco – Mwenge – Tegeta pamoja na Mwenge – Ubungo (km 30.1) III. BRT Awamu ya 5...
  14. instinct desire

    Jaji Warioba amepoteza hadhi ya Ujaji avuliwe ujaji, asiendelee kuitwa Jaji ili kulinda hadhi ya Ujaji ambayo inaambatana na uzalendo

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kwa kauli za Jaji Warioba ni dhahiri kwamba ameshapoteza hadhi ya ujaji ni vema akatangazwa kuwa siyo Jaji tena kwasababu kauli zake zinaondoa hadhi ya ujaji, kauli zake zimekosa vinasaba vya kizalendo, kauli zake zimekosa ulezi wa Taifa letu kama Mzee. Hii...
  15. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa Airport ya Mwanza

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa. Amesema hayo bungeni jijini...
  16. masopakyindi

    Jaji Mwambegele umeshusha hadhi ya Ujaji na tume yako ya Uchaguzi-Jaji Warioba asema matokeo ya uchaguzi ni FAKE!

    Kwa kule ninakotoka watu husimamia misimamo ya UKWELI NA UWAZI. Huyu ndugu yetu Jaji Mwambegele katushushia heshima watu wa Mbeya-Tukuyu. Nakubaliana na Jaji Warioba, Jaji Mwambegele kajivunia heshima, kama Jaji Chande.
  17. GANJIBHAAI

    USHAURI: Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station linafaa kuwa Hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano

    Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front, Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na...
  18. GoLC

    Mambo matatu yanayoweza aidha kukupa heshima au kukushushia hadhi

    Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani alishushiwa/jishushia heshima au alipewa heshima. Mambo hayo ni haya; 1. Chakula 2. Maongezi 3. Ngono Jiweka...
  19. Roving Journalist

    Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

Back
Top Bottom