Fikiria kuwa na uwezo wa kutengeneza video zinazovutia, zenye transitions nzuri, effects za kuvutia, maandishi yanayosogea na audio iliyopangwa kitaalamu, ukitumia simu yako tu!
Unajua kitu kizuri zaidi?
UNAWEZA KUJIFUNZA CAPCUT BURE!
Watu wengi wanatamani kuwa Content Creators, Video Editors...
Nimekutana na kijana mmoja mwenye umri wa miaka 25 na kwa sasa tiyari amesomea masuala ya ufundi magari kupitia VETA, kwa sasa hana kazi rasmi abayo ameajiriwa lakini hakosi kazi za hapa na pale.
Lakini kijana huyo kaja na wazo ataka awe mtengenezaji vipindi kupitia mtandao wa You Tube na awe...
Waandishi wa habari nchini wamemetakiwa kuandaa habari za kina zinazoibua changamoto zinazowakabili wananchi katika kuanza na kuendelea kutumia nishati safi ya kupikia, ikiwemo gharama, usalama wa vifaa, upatikanaji na usambazaji.
Wito huo umetolewa Novemba 13, 2026, na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa...
Taasisi ya Waandishi wa Habari za Jamii za Pembezoni (MAIPAC), kwa kushirikiana na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), imewataka waandishi wa habari nchini kuimarisha uandishi wa habari za uchunguzi kuhusu mazingira ili kuongeza uwajibikaji na kusaidia kulinda rasilimali za...
Waandishi wa habari wa Tanzania wanaongozwa na Balile?
Uongozi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF)
Mwaka 2016 alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa TEF.
Mwaka 2021 alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa TEF.
Tarehe 5 Aprili 2025 alichaguliwa tena kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka minne.
Katika hali ya kushangaza taarifa za Habari nchini zimekuwa na mfumo mpya, stesheni zote za runinga zinatoa taarifa za Habari zinazoandikwa na mtu mmoja! Na taarifa hizo ni za mikutano ya viongozi wa CCM hakuna taarifa zinazohusu wananchi pekee. Taarifa zinahusu rais wa Zanzibar ni lazima...
Naomba niwambie fu, hawa watu hawatakaa kwa amani hata kidogo baada ya kufanikisha dhamira yao ovu kwa Tundu Lissu
Kwahiyo, katika kuhangaika, siku si nyingi wataitisha mkutano wa waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine, warazungumzia swala la Lisu.
Moja ya jambo watalokujanalo...
Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake.
Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani.
Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
Habari, kama mdau wa JamiiForums, ningependa kuwasilisha kero kuhusu magari ya kubeba zege (Concrete Mixers) ambayo yamekuwa yakimwaga mabaki ya zege ovyo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam.
Kwa mfano, hali hiyo imekuwa ikijitokeza eneo la Msasani, karibu na geti la kuingia...
Habari, tunaomba msaada wa kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa mishahara inayotukabili wafanyakazi wa TBE katika miradi mbalimbali ya ujenzi wa Gridi ya Taifa ya Umeme, isipokuwa mradi wa Chalinze.
Hadi kufikia tarehe 6 bado hatujapokea mishahara yetu, licha ya utaratibu wa malipo kuwa...
Wandugu Wananchi wa USA hawataki utani .
Wamemchoka Trump na Drama zake .
Alipoingia alikuta wananchi wake wakinunua mafuta dola 3 na sasa ni dola 6 kwa gallon.
Alidanganya Dunia kwamba akipata Uraisi angemaliza tatizo la Ukraine ndani ya masaa 24 ila kinachoendelea ni shidaaaaaaa.
Alikengeuka...
Kwa hali iliyopo sasa tutajikuta tumepoteza Taifa kimaadili ,kisaikolojia na kiuhalifu.
Leo hii Social media au individual anaamua kupost Sherehe ya Mashoga iwe kwa kuituhumu au kwa kuishabikia na anaachwa tu!!
leo hii Online TV Inaachwa tu ikipost mtu kachinjwa au kajinyonga au kanywa sumu...
Habari ,Mimi ni mpya hapa jamii forums,naendesha non profit organization ,ambayo ni charity hapa Tanzania na imesajiliwa.
Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe...
| ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
Nakuomba uzidi kijilinda wewe kama wewe! Wewe ndiye uliyemhoji mzee huyu kwa hiyo basi uwezekano wa kuongea mengi off mic upo mkubwa sana. Utanifanya nishinde naangalia tanzania safaris peke yake maana umebaki wewe tu mwanahabari mpenda haki usiefanya kazi ili baadae ufikiriwe, unafanya kazi...
Ikumbukwe ni mara ya pili mkutano wa Wa Waandishi wa Habari wa Nabii Godless Lema kuingiliwa na sintofahamu leo pia kuna Msiba Wa Allute Mughwai Lissu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini pia ni Kaka wa Tundu Lissu.
Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV.
Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
Magaidi wawili walitoka Hebron na kuwashambulia Waisraeli. Walipanga mauaji makubwa. Walisimamishwa na kuangamizwa, lakini si kabla ya wanajeshi wawili wa IDF kuuawa wakati wa shambulio hilo. Jeshi la IDF linaingia Hebron kuharibu miundombinu ya magaidi, handaki walizochimba na kuwang'oa magaidi...