godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. tucker carlson

    Godbless Lema: Mnataka nipande jukwaani nikahamishe fujo? Njia ya chuki haitoki

    Wakuu, Lema anasema njia ya chuki haitoki na kwamba hawezi kusimama kwenye stage na kuanza kuhamasisha fujo Mimi ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama. Mnataka nipande jukwaani nikahamishe fujo? Mnataka hiki chama kifutwe?" Mimi sio mwoga, nina miaka 24 kwenye siasa. Siwezi kuongea kama mtu...
  2. Dennis Robert Shughuru

    CHADEMA iwafute uanachama Godbless Lema, Boniyai, Sugu na Mbowe. Wanakiharibu chama

    Ukisikiliza press conference ya leo ya Lema ni wazi chadema wanatakiwa wawafute haraka sana uanachama Lema, mbowe, boniyai na sugu wana-comprimise chama Mimi sio mwanachama wa chadema ila as long hao watu ni wanachama wa chadema watavuruga kisawasawa sababu wanapiga miguu yote Mfano press...
  3. tucker carlson

    Lema: CHADEMA haijakataa kuongea na Serikali ila imetoa masharti kabla ya kuongea na Serikali

    Mwanasiasa Godbless Lema ameweka wazi msimamo wa CHADEMA kuhusu mazungumzo ya maridhiano, akieleza kuwa chama hicho hakijakataa kuzungumza na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wala Serikali, bali kimeweka masharti makuu mawili kabla ya kurejea kwenye meza ya mazungumzo: "CHADEMA haijakataa kuongea na...
  4. T

    GODBLESS LEMA AMETUPA CODE: BILA MAANDAMANO YA WANANCHI TUTASUBIRI SANA

    Mheshimiwa Lema umeongea vizuri sana. Na upetupa code. Bila maandamano ya wananchi hakuna ushindi. Sasa ni sisi wananchi kujipanga
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Naungana na Lema katika hili; Huwezi jiita jasiri na shujaa wakati uko nje ya nchi wanawasapuza wenzako wakachinjwe na wanyonya damu

    Hamjambo! Mimi Binafsi Lema Simuamini tangu siku ya kwanza nimemwona. Najua hilo halimsumbui hata yeye kwa sababu sio lazima kumuamini mtu. Lema licha ya kutokumuamini ila ni miongoni mwa viongozi wa Chadema ambao ninaweza kusema anaongea kwa hoja. Na mimi mtu anayeongea kwa hoja hata kama...
  6. Mwande na Mndewa

    Lema: Tusiilaumu Serikali, tuwe watu wa amani

    Katika zama hizi za kutekwa,kuuawa na kupotea kwa watu,Godbless Lema anasema tuwe watu wa amani sababu dawa ya muovu ni kuwa mtu wa amani kama Zito Kabwe alivyo mtu wa amani kwa Serikali ya sasa ambayo ilisababisha mauaji ya Oktoba 29,2025.Godbless Lema anasema wananchi waanzishe nguvu ya Umma...
  7. tucker carlson

    Lema: Lissu ndo alitaka mimi niwe Makamu Mwenyekiti lakini nilikataa nikampendekeza Heche

    Wakuu, Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza kuwa Tundu Lissu alimtaka yeye agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti (Bara) badala ya John Heche, lakini alikataa nafasi hiyo ili kulinda mshikamano wa chama. "Wakati wa kuulizwa anayetaka kugombea, chaguo la Lissu ilikuwa ni mimi Lissu akaniambia...
  8. tucker carlson

    Lema: Mange ni 'Project' anataka kuigawa CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amemtuhumu mwanaharakati Mange Kimambi kuwa anatumika kuleta mgawanyiko ndani ya chama hicho, akipinga madai yanayotolewa dhidi yake kuwa yeye ni mradi wa kukigawa chama. Lema amesema hayo leo Novemba 1, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa...
  9. tucker carlson

    Lema: Ikithibitika mimi ndiye dalali kama inavyodaiwa nitajiuzulu nafasi zangu zote CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amemtuhumu mwanaharakati Mange Kimambi kuwa anatumika kuleta mgawanyiko ndani ya chama hicho, akipinga madai yanayotolewa dhidi yake kuwa yeye ni mradi wa kukigawa chama. Lema amesema hayo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari na...
  10. tucker carlson

    Lema: Mange anahamasisha Maandamano, watu wakifa haendi kuzika

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Godbless Lema amesema anasikitishwa na wanachama wa chama hicho kumwamini Mwanaharakati Mange Kimambi ambaye amedai amekuwa akihamasisha maandamano watu wafe na hashiriki hata misiba ya hao waliofariki Amehoji hilo leo Novemba 1, 2026 akizungumza na waandishi wa habari...
  11. R

    Lema: Mbowe bado ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama na yuko kwenye group la WhatsApp mijadala yote kuhusu kesi anaiona

    Mwanasiasa na Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Godbless Lema amefanya mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha leo Novemba 1, 2026, ambapo amefafanua kuwa Freeman Mbowe bado ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA kwa mujibu wa katiba ya chama hicho. Lema ameeleza kuwa Mbowe...
  12. R

    Lema: Kuna upumbavu ulisemwa nikaambiwa nisiite press, leo nilisema kuliko niahirishe nitaahirisha kuishi

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Novemba 1, 2026, Mwanasiasa mkongwe na Kada wa CHADEMA, Godbless Lema ameeleza kuwa aliamua kuendelea na mkutano huo licha ya kushauriwa na baadhi ya watu kuahirisha hadi baada ya tarehe sita ambapo itatolewa hukumu ya mwenyekiti wao.
  13. Mindyou

    Godbless Lema anazungumza na Wanahabari muda huu

    Wakuu Habari ndio hiyo Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Godbless Lema, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari mchana wa leo. Mkutano huo unafanyika katika Hoteli ya Kibo Palace kuanzia saa 8:00 mchana. https://www.youtube.com/watch?v=al2tjufsyVQ
  14. Troll JF

    Nabii Godbless Lema ataahirisha Mkutano wa waandishi wa Habari leo?

    Ikumbukwe ni mara ya pili mkutano wa Wa Waandishi wa Habari wa Nabii Godless Lema kuingiliwa na sintofahamu leo pia kuna Msiba Wa Allute Mughwai Lissu Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini pia ni Kaka wa Tundu Lissu.
  15. Mto wa mbu

    Tetesi: Godbless Lema kujiuzulu ujumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Novemba 1, 2026

    Habari ndo hiyo. Mto wa mbu.
  16. C

    Godbless Lema atazungumza na waandishi wa habari kesho November 1 ,2026

    Kulinda taasisi ni wajibu, kulinda ukweli ni dhamana. Si kila anayezungumza anataka vita, na si kila anayenyamaza analinda amani. YOHANA 8:32 “Nanyi mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru.” Karibuni Kesho Kibo Palace Hotel Jumapili Tarehe 1 /11/202 Soma Pia: Godbless Lema kufanya...
  17. MamaSamia2025

    Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

    Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake. Hii CHADEMA ya sasa inapaswa...
  18. Troll JF

    Godbless Lema amchomesha John Pambalu

    Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA...
  19. Dennis Robert Shughuru

    Uwezo wa Godbless Lema ni mdogo sana

    Lema uwezo wake ni mdogo kwenye mambo mengi sana ila leo ntaongelea chapisho lake linalohusu katiba mpya 👇👇👇👇 Kuna chapisho lema amesema katiba mpya haina umuhimu ila fikra moja ya point ya hovyo ni hii piga picha watu kama wakina lema ndo wanapewa nchi mambo siyatakuwa yaleyale Fikra zetu zipo...
  20. Tlaatlaah

    Tetesi: Godbless Lema kujivua nafasi zake zote za uongozi CHADEMA

    Haijabainika maramoja, sababu wala lengo la uamuzi huo wa Lema kisiasa. Wala haijawekwa wazi atatangaza uamuzi huo kabla au baada ya hukumu ya mwenyekiti wa chadema taifa. Una maoni gani dhidi ya hatua hii ya lema ndani ya chadema? Kuna mahali anaelekea kufanya siasa na kupata changamoto mpya...
Back
Top Bottom