goba

Goba is a town and separate District located in the Bale Zone of the Oromia, Ethiopia approximately 446 km southeast of Addis Ababa, this city has a latitude and longitude of 7°0′N 39°59′E and an elevation of 2,743 meters above sea level.
The town is known for its Wednesday market and for honey, basketry and cotton shawl making; Bale National Park is 10 km to the southwest. A few kilometers outside of Goba are the remains of an old rock church. Goba shares Robe Airport (ICAO code HAGB, IATA GOB) with neighbouring Robe.
Ethiopian Airlines has a scheduled flight four times a week connecting Goba to the capital Addis Ababa and to the southern city Arba

View More On Wikipedia.org
  1. Jaji Mfawidhi

    Siri Nzito Yafichuka kwa vijana hawa waliokutwa Goba!

    Vijana kuleni, maisha ni mafupi, kula nyama na pombe uwezavyo, mambo ya figo ni majaliwa tu!
  2. A

    KERO Tatizo la maji Goba, DAWASA inampango gani?

    Hii shida tunapigia kelele miaka nenda rudi. Dar haina shida ya maji, lakini Goba ni zaidi ya ukame, maji kutotoka miezi miwili ni jambo la kawaida. Saa nyingine maji yatatoka mtaa wa juu, wa chini wote hampati maji. Ni changamoto sana, kununua deli moja ya maji sasa hivi ni elfu 20 kutoka...
  3. A

    KERO DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo maeneo ya Goba Matosa (kwa Bishilingi na Br Hotel)

    Nina kero yangu, Wakazi wa Goba Matosa maeneo ya kwa Bishilingi na Br hotel, DAWASA wanafungulia maji kwa upendeleo, baadhi ya nyumba zetu hatuna maji huu ni mwezi wa pili na cha kushangaza tunaketewa bill za maji kama kawaida. Ukiwaambia wale wasoma mita wao hawatoi majibu ya kueleweka,kwa...
  4. Duh Aisee

    KERO Mwezi sasa hapa Goba maji hayatoki, viongozi hakuna wanachofanya, nikicheki media wananibluetick

    Kwa kipindi cha Mwezi sasa hapa Goba maji hayatoki, viongozi wameshindwa kutusaidia hadi sasa. Nimepelekea hadi kwenye vyombo vya habari wanasoma ujumbe tu bila majibu Acha nipeleke kwa mwanangu aipeleke mjini, watu wajue mjini tunaishije. Kwasababu ndugu zetu wa vijijini wanadhani huku...
  5. C

    KERO GOBA Osterbay hatuna maji week ya 3 sasa

    Hili lalamiko limwendee waziri wa maji bw Aweso, sisi wakazi wa goba mtaa wa osterbay karibu na bar ya triple B hatuna maji week ya 3 sasa. Tunataka uwaelekeze watendaji wa dawasco ubungo watufungulie maji
  6. Roving Journalist

    Responded DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  7. Roving Journalist

    Responded TTCL yafafanua sababu za Mdau wa Goba kukosa huduma ya Faiba licha ya kulipia

    Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti Ufafanuzi umetolewa kutoka TTCL 👇🏼 Tunamshukuru mteja kwa kuwasilisha hoja yake na kutupa fursa ya kufuatilia suala hili...
  8. A

    KERO TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti

    Mimi ni mkazi wa Mbezi, barabara ya Goba (Mageti), nimelipia Huduma ya Faiba mlangoni kupitia Mtandao wa TTCL, wakati nafanya maombi kwenye mfumo wao nilionekana huduma imeshafika nilipo. Baada ya kulipia kila nikipiga simu naambiwa huduma haijafika bado huku nilipo, sasa kama haijafika kwanini...
  9. radhiya

    House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  10. M

    Traffic Goba Njia nne mbona kama uwepo wenu umeongeza foleni?

    Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni...
  11. radhiya

    House For Sale Goba kwa robert

    House For Sale at Goba. Location: Goba Kwa Robert. *The house is new, no one has lived in. *It is located alongside goba road, kwa Robert. *1.5 km away. *Finished with PVC windows and Spanish Tiles. *4 bedrooms all self contained plus public toilet, sitting room, dining, kitchen and store, it...
  12. J

    KERO Goba Lastanza hatuna maji tunaelekea mwezi wa pili sasa. Nani ananufaika na hali hii?

    Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari. Tatizo hili si geni na limekuwa likijitokeza mara kwa mara. DAWASA, Serikali za Mitaa, Mbunge na uongozi wa mkoa wanafanya nini...
  13. A

    KERO Daladala za Mbezi-Goba-Kawe zinatoza nauli isiyoelekezi, ukiuliza wanakuwa wakali

    Mwezi Aprili, LATRA ilipotangaza nauli mpya, ilieleza kuwa safari zisizozidi kilomita 10 zitatozwa Shilingi 700, huku safari zisizozidi kilomita 20 zikitozwa Shilingi 900. Hata hivyo, kwa takribani wiki mbili sasa, daladala za njia ya Mbezi–Goba–Kawe zimekuwa zikitoza nauli ya Shilingi 1,000...
  14. A

    KERO Wanasema tujiandae na El Niño lakini Matosa Uzaramuni – Goba tunateseka na Kalavati bovu

    Uongozi wa Wilaya ya Ubungo umekuwa ukitoa tahadhari kwa wananchi kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño, lakini wakazi wa baadhi ya maeneo tunahoji hatua zinazochukuliwa kukabiliana na maeneo ambayo tayari yamekuwa na changamoto tangu mvua za El Niño za mwaka 2023. Miongoni mwa maeneo hayo...
  15. Dalali_wa_kimataifa

    House for rent (stand alone) 5bedroom price:Tsh 3.5m per month Located at Goba lastanza

    HOUSE FOR RENT (stand alone) 5bedroom price:Tsh 3.5m per month Located at Goba lastanza 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforrent #goba #daressalaam #viral #video
  16. radhiya

    Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  17. Mtaachana

    Leo nimemwona jini live nilipanda naye kwenye bajaji mwenge goba pisi kali muda wote ipo kmy ila miguu yake ilinishtua sana

    Yule hakuwa binadamu wa kawaida aisee.... Tangu tunaanza safari kutoka Mwenge, mwili wangu wote ulikuwa unasisimka.. Mara nyingi kwenye mwili wa binadamu yoyote yule kama upo sehemu isiyo salama au upo na mtu asiye wa kawaida basi lazima mwili wako ukupe taarifa. Ndicho kilicho tokea, ila...
  18. A

    KERO Goba tuwekewe Kituo cha Daladala, kutegemea hizi zinazopita kunatuathiri na kutupa gharama kubwa

    Nikiwa mmoja kati ya Wakazi wa Goba, naomba kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto kubwa ya usafiri wa umma inayotukabili sisi wakazi wa Goba na maeneo yanayotuzunguka. Kwa sasa hatuna magari ya umma ya kutosha yanayotoa huduma moja kwa moja kama daladala za uhakika. Mara nyingi tunategemea...
  19. Sonship

    Lodge nzuri inauzwa Goba, njia panda ya Tegeta A kwa niaba ya benki

    LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara Umiliki: Mkataba Wa Mauziano Ukubwa Wa Eneo: SQM 810 Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A" Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road Maji...
Back
Top Bottom